East Africas got talents

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
2,536
4,513
Show hii yaoneshwa CLOUDS na AZAM...lakini kawaida sanaa...

Nilitegemea makubwa sana na hii TV SHOW ambayo tumeitohoa kwa wenzetu huko kama America' got talent...

Nikategemea tutaona vipaji vya/vyenye maajabu...kama ambavyo tunaona maajabu tofauti ambayo vipaji vyake havipati UWANJA WA KUONEKANA KWENYE TV SHOWS KAMA BONGO STAR SEARCH...AU DANCE MIAMIA CHALLENGES...Kwa sababu vipaji hivyo sio vya huko...

Badala yake kwenye EAGT tunaona vipaji vilivyotawala ni SINGING, UIGIZAJI and DANCING(ambayo kwa sasa hivi ACROBATIC imo ndani yake).

Mwanzoni nilitegemea kuwa hapa ndipo WALE WANA MAZINGAOMBWE na WACHAWI kupiga pesa...wazungu wanaita MAGICS...

Hakuna kabisa jipya...TUMECHOKA KILA MAHALI KUIMBA IMBA KUCHEZA CHEZA SEREKASI...

NOTHING NEW...TUNAHITAJI MORE THAN NORMAL TALENTS...

THOUGH Mimi sijatoa hela yangu kumchangia KUSAGA na wenzake kuyaandaa mashindano...lakini I THINK HATA WENYEWE WANAONA HELA YAO INAENDA KWA KAWAIDA SANA...

Nyie maoni yenu ni gani...
 
Wanachokitafuta wanakijua wenyewe...ila haya maoni ingefaa uwape na mbadala wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom