East African musicians with most YouTube Subscribers

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,554
2,000
East African music industry.

253D5750-8898-44E4-9E75-3D2A3C0021CA.jpeg
 
Ndombwindo

JF-Expert Member
Nov 23, 2013
654
1,000
Watakwambia wana 45 million internet users lakini wameshindwa hata kupata 700k subscribed artiste
Hapa nipo sambamba na Wakenya, Waganda na hao majirani wengine, Tanzania wanamuziki wetu hao content zao ni mapenzi full, hamna kingine cha maana na ndio wanapewa promo kubwa sana mpaka na Government for the sake of diverting concrete agendas, a reason why, whenever there's a serious national matter, these so called mostly subscribed artists tends to emerge with scandalous acts....

Hao uimba Genge kina Major hawawezi kuchua attention kiivyo kwa Wakenya, same in Uganda, Rwanda nadhani mpaka Burundi. Wabongo siasa ni kwenye kila kitu, mpaka Muziki. Kwanza hao wote hapo ni pro CCM, sina chama lakini it's just a freedom of speech.
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,877

Nimependa ulivyomaliza

freedom of speech
As you got that freedom, they got it too so ngoma draw
 
Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,877
2,000
Wanakuambia wanatumia Internet kwenye vitu vya msingi!

Hivyo vitu vya msingi mbona hata Watanzania wanavifanya?

Wana visingizio lukuki visivyo na mashiko.
Wana maisha mabovu sana, hawawezi kumiliki devices za maana wala kua na bundle za kutumia, chakula kwao tu ni shida, internet ni luxury thing

Wakenya wana maisha mabovu asikwambie mtu, ukifika kwa ground unaweza kutoa machozi watu wa Mungu wanavyoteseka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom