East Africa yazidi kupendeza. Hii ni video ya Dar

Kenya ya leo kama Ulaya, yaani kuna vitu vnajengwa na kutuacha midomo wazi

images-1-jpeg.1153289

south2.jpg
Copy n paste bila hata kuumiza kichwa,enhee iyo picha ya kwanza hapo Ni sehemu gani Kenya
 
Vesus green city in the sun,yaani NBO kuna miti tu na vibanda
Miti ni ya maana Sana mijini kubwa kusaidia kusafishwa hewa na pia inavutia...ushamba ni kufikiri a concrete jungle ndio mambo yote...angalia hata New York na Tokyo
 
Miti ni ya maana Sana mijini kubwa kusaidia kusafishwa hewa na pia inavutia...ushamba ni kufikiri a concrete jungle ndio mambo yote...angalia hata New York na Tokyo
Mbona wana eac amweki picha za video ni porojo tu tunstaka kuona video za mini siyo maneno mobu
 
Ona wakenya wenzako wanavyo tembea dar

Kigali, Blantyre, lilongwe, Dar es salaam, juba, Mogadishu, Kismayu , Kampala, Goma, Mombasa, Addis Ababa Ni mojawapo was miji Wakenya wanapenda kutembea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom