East Africa yazidi kupendeza. Hii ni video ya Dar

tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Messages
10,506
Points
2,000
tuusan

tuusan

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2016
10,506 2,000
Kenya ya leo kama Ulaya, yaani kuna vitu vnajengwa na kutuacha midomo waziCopy n paste bila hata kuumiza kichwa,enhee iyo picha ya kwanza hapo Ni sehemu gani Kenya
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,352
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,352 2,000
Vesus green city in the sun,yaani NBO kuna miti tu na vibanda
Miti ni ya maana Sana mijini kubwa kusaidia kusafishwa hewa na pia inavutia...ushamba ni kufikiri a concrete jungle ndio mambo yote...angalia hata New York na Tokyo
 
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
2,866
Points
2,000
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
2,866 2,000
Miti ni ya maana Sana mijini kubwa kusaidia kusafishwa hewa na pia inavutia...ushamba ni kufikiri a concrete jungle ndio mambo yote...angalia hata New York na Tokyo
Mbona wana eac amweki picha za video ni porojo tu tunstaka kuona video za mini siyo maneno mobu
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
14,546
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
14,546 2,000
Mbona nai picha zake chakavu au ndiyo sababu mlimwambia wode Maya kuwa camera yake anayotumia dar ime improve kuliko aliyo tumia naii

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe!! Nilijua itakuuma...mavitu ya kisasa, mji unatetemesha ukanda huu, mkija mnajihisi mko Ulaya.
 
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,352
Points
2,000
mwaswast

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,352 2,000
Ona wakenya wenzako wanavyo tembea dar
Kigali, Blantyre, lilongwe, Dar es salaam, juba, Mogadishu, Kismayu , Kampala, Goma, Mombasa, Addis Ababa Ni mojawapo was miji Wakenya wanapenda kutembea.
 

Forum statistics

Threads 1,336,573
Members 512,661
Posts 32,543,979
Top