East Africa Should Let Tanzania Go...

Pilipili usiyoila yakuwashia nini? Mwanaume huwa halalamiki bali ni mtoto wa kiume ndo hufanya hivyo. Muulize Rais wako Uhuru ni nchi ipi katika EAC inanunua bidhaa nyingi sana za Kenya hafu mambo ya siasa za Kagame na M7 hao ni vijana waliokulia Tanzania, hivyo tunawafahamu kuliko wewe uliyewaona wameshakuwa Marais. Siasa za EAC Tanzania ndiye huwa msuluhishi kwa migogoro kumbuka mfano mdogo tu wa mwaka 2008 hapo Kenya. Hafu sisi ni wakalimu sana Mwai Kibaki tumeita barabara jina lake, Kenyatta kuna barabara ipo, Je hapo kenya kuna hata mtaa unoitwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa au Kikwete? Acheni kutulaumu sisi hata mkitutenga mtakuja tu kwa umoja wetu Watanzania hatutatetereka.

East Africa should let Tanzania go
Share this story: By Peter Wanyonyi
Tanzania is behaving badly. Something has spoilt the people of hela and dala dala. They are clearly growing horns and something needs to be done about it before they begin thinking they are the regional bullyboys. In the village, neighbours drop by unannounced for a cup of tea every now and then. Thus, a few months ago, President Museveni of Uganda dropped by the cattle boma of President Kagame of Rwanda. Over a cup of tea, they agreed to bury their past disagreements and forge new relations. Shortly afterwards, President Kagame paid a revenge Christmas visit to Uganda. Since then, matters have been smooth between those two countries. Makerere Down here, President Kibaki paid a visit to his alma mater, Makerere University, the other day. Apparently, he was so sharp a learner that he was invited back to teach at Makerere shortly after graduation. At any rate, he received an honorary doctorate thanking him for his service to the institution, had a chat with President Museveni and flew back home. Hardly a couple of weeks later, President Museveni dropped by Kisumu to preside over a harambee. Never mind that, in days past, he had taken to calling our Prime Minister’s people "hii wanjaruo" in that inimitable Nyankole-accented "chiswahili" that he speaks so well. Well, bygones are bygones, and President Museveni is now Ruoth â€" senior elder of the Luo Nation. Noisy stink Not so Tanzanian leaders. Tanzania is cold and haughty where East African matters are concerned. They attend East African Community (EAC) meetings only to throw spanners in the works. Double standards reign in that country. Evidence is everywhere. A few days ago, the Kenya- Tanzania border crossing had to be closed after Kenyans did what we do best: raise a noisy stink over double standards. You see, because of our good neighbourliness and some EAC protocols that we have signed, Tanzanians can drive into Kenya and conduct their business here with no problem. No charges, no permits, no questions asked. But the reverse is not true for Dar. Kenyans who want to drive into Tanzania for business must cough US$200 (Sh16,400) each time they cross the border. Tanzania’s GDP per person per month is a mere US$100 (Sh8,200), so every Kenyan vehicle that crosses into that country pays the equivalent of two Tanzanians’ monthly economic output. Even passenger vehicles are not spared the levies. And it doesn’t stop there. Whereas Tanzanians visiting Kenyan public facilities â€" like game parks â€" are charged the concessionary rates that Kenyans and other East Africans pay, Kenyans doing the same in Tanzania are charged exorbitant "tourist" levies. These guys are also hell bent on sport hunting, notwithstanding the fact that our elephants routinely stroll across the common border. Which explains why President Jakaya Kikwete hasn’t seen it fit to drop by Kenya, Uganda, Rwanda or even Burundi for a cup of chai. Why should he? Tanzania â€" with their South African sounding national anthem â€" after all, pays little more than lip service to the idea of East African cooperation, enraptured as it is by the glittering prospects offered up by South Africa. The time has come to bid kwaheri to Tanzania and move on with EAC integration.
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/?articleID=2000052893&story_title=east-africa-should-let-tanzania-go&pageNo=2
 
Mind you, you started this dirty game. What Tz does is to help you in streamlining the formation of the so called coalition of willing. That's the end result of what these three countries did to Tz and Burundi, it has come back to hurt you. Take it.
 
EAC is here to stay nyie ant EAC ni makelele tuu humu yanayoongozwa na hali ngumu ya maisha na ****** tuu wa kutoelewa,hasira zenu pelekeni kwa corrupt & uninformed politician wenu wanaouza nchi kwa rushwa,billions of gold zinaondoka kila siku huku mkilipwa maji ya visima na kuachiwa mashimo...EAC will stay na kelele zenu zitapita tuu


Yeah it will stay but on what ground? Tatizo cc wa-Tz tunajifanya tunajua, na mbaya sana tunapenda sana maisha ya sinema bila kufanya analysis ya kutosha na kujua kuwa watu wa sinema hawafi kama wanvyooneshwa ktk sinema hizo. Hakuna maelezo ya nguvu yanayo hitajika kujua kuwa muungano na nwatu wa nchinkama Kenya, Rwanda na Burundi kunahitaji umakini wa kutosha. Hawa jamaa wapo hapa Tz na bado wanaweza kuwanyanyasa wazawa. Umimi wao ni kiwango cha juu. Huko kwao kukoje? Ardhi ya Kenya inamilikiwa na watu wasifika 8% ya watu wote. Rwanda na Burundi aihitajiki kueleza sana. Je si vitu vinavyoweza kukujadilisha? Iwepo isiwepo bado si ridhaa ya wananchi.
 
I generally do not prescribe to protectionist attitudes but kwenye hili la EAC nasema to hell with it. Hili shirikisho halina manufaa kwa m-Tanzania. Hawa majirani zetu wote wanaiangalia Tanzania na jinsi ya kuitumia kwa maslahi yao especially wa-Kenya. All this hullabaloo by Kenyans over Tanzania stonewalling the integration process is nothing but a deliberate attempt to intimidate Tanzania into signing this ill-prepared document. Namsifu JK kwa kuwashtukia hawa jamaa na kuwawekea ngumu. Tanzania comes first, kama wanaona vipi basi waungane wao watuache sisi na Tanzania yetu. Walishazoea kututumia kama ma-bangusilo for decades lakini sasa tumewashtukia. They need us more than we need them. In fact we don't need them that much. Screw the EAC!
 
Back
Top Bottom