netein
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 281
- 479
- Thread starter
- #21
hilo dubwasha linajiona juaji ila ni kiazi tu....sasa George Job ni kitu gani kwa mfano!?
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo dubwasha linajiona juaji ila ni kiazi tu....sasa George Job ni kitu gani kwa mfano!?
Mshamba wewe
Unajua maana ya dubwasha wewe?hilo dubwasha linajiona juaji ila ni kiazi tu....sasa George Job ni kitu gani kwa mfano!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu kashasha ni mkufunzi wa makocha nimehudhuria semina zake uwanja wa Taifa 2018 mbili.Mashine mwl kashasha tuu..hawa wengine wasoma mitandao na kuleta story tuu.ila ukitaka ndani ya ndimba twwnde kwa kashasha
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo ni mawazo yako kutokana na uelewa wako....Mwalimu kashasha ni mkufunzi wa makocha nimehudhuria semina zake uwanja wa Taifa 2018 mbili.
Anaufahamu mpira vizuri, lakini kila mmoja ni mbobevu katika eneo lake ukitaka kusikiliza uchambuzi wamichezo wa ligi ya mpira ya ndani basi Msikilize Musa Kawambwa pamoja na Mwalimu Kashasha na ukitaka uchambuzi uliotukuka wa ligi za nje basi msikilize George Ambangile pamoja na Jeff.
George anaenda deeper and deeper hata kama unasikiliza Radio unajiona kama uko Signal Iduna Park kabisa.
Akianza kukuchambulia mchezaji mmoja mmoja sasa ndio utapenda zaidi it's like amewahi kukutana hata na mmoja!
Kwa E.A Radio wachambuzi wao ni wapiga kelele kwa mtu asiyependa kelele kama mimi hawezi kuwasikiliza.
Pale wanapotengeneza arguments zao Kampista na Ibra inakuwa ni fujo na kwakuwa Tigana ni mpole ananyamaza.
Tigana amepata exposure ya kwenda kujifunza angalau kidogo mwaka jana Germany anajitahidi, hapa nimekiweka kando kipindi cha Goza Chuma.
Nyongeza Kawambwa kabarikiwa pia kuujua mchezo wetu pendwa wa BBALL akihamia hapa ndio balaa
You killed it G!Ila kile cha mchana kinachoongozwa na GOZA CHUMA Dah pale Hakuna kitu mwamba anachojua yeye n simba na yanga tu mm binafsi namuona Kama mpiga kelele aliyebahatka kuongoza kipindi
Kwa kipindi cha Usiku Kwel Wapo vizuri ila kuna mambo madogo ya kurekebisha wao ndio pekee hawacopy kutoka radio nyingne n wanautofaut na wengine
Ukisikiliza e FM kipindi chao n Kama wasafi tu
Ila wanaojua kuchambua mpira kwa sasa hapa bongo ni
George ambangile
Jeff lea
Ibrahimu masoud maestro
Tigana lukinja
Yahya njenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hamna wachambuzi wa mpira pale kuna wapiga umbeya tuWasafi FM
Umbeya❌ = Umbea.✔
ingependeza Goza wamtafutie issue nyingine ya kutangaza...michezo hajui kituIla kile cha mchana kinachoongozwa na GOZA CHUMA Dah pale Hakuna kitu mwamba anachojua yeye n simba na yanga tu mm binafsi namuona Kama mpiga kelele aliyebahatka kuongoza kipindi
Kwa kipindi cha Usiku Kwel Wapo vizuri ila kuna mambo madogo ya kurekebisha wao ndio pekee hawacopy kutoka radio nyingne n wanautofaut na wengine
Ukisikiliza e FM kipindi chao n Kama wasafi tu
Ila wanaojua kuchambua mpira kwa sasa hapa bongo ni
George ambangile
Jeff lea
Ibrahimu masoud maestro
Tigana lukinja
Yahya njenge
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu mwamba Ambangile sina tatizo naye...jamaa anajuaHili swala la nani ni mchambuzi mzuri nadhani pia linategemea na matarajio ya msikilizaji, nini unachotaka, unachopenda kusikia kutoka kwa mtu unayemsikiliza.
Binafsi George Ambangile ananipa kile unachotaka kupata kutoka kwa wachambuzi wetu wa ndani, toka yuko Magic FM na sasa Wasafi. Ingawa kipindi chao cha michezo hakiko vizuri ukilinganisha na Clouds FM.
EA Radio siko karibu nao kabisa.
Mkuu umeua n kwamba yeye mwenyewe hajijui Kama hajuiJeof Lea anajitahidi, anaufahamu wa michezo mingi zaidi ya soka! Kwenye kikapu ndio balaa! Yule Osca wa EFM hajui, ila hajui kama hajui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefika Leo npo njian naelekea huko ABASIA YA PERAMIHOPeramiho yetu msalimie Padre wangu Frederick Mwabena hapo Peramiho