East Africa Radio ndiyo radio yenye wachambuzi na watangazaji bora wa michezo Tanzania.

Kitenge ana haribu vipindi vya michezo kila anapoenda angalau alivyokua Redio one alikua vizuri..sa ivi yeye ndo Muongoza umbea mkuu anapenda sana kuona vilabu vina migogoro hasa simba Yanga haigusi kwa kua ni mnazii wake.. Namshauri Geog Job kama anataka kufika mbali angetafuta kijiwe kingine kama EFM au EAREDIO kujichanganya na Kitenge ataishia mtu wa majungu tu wakati safari yake bado mno..namjua vizuri huyu chalii ana pasion ya soka

Sent using Jamii Forums mobile app
kile kipindi kimekosa muongozaji...bora kitenge kuliko yule mwingine...unakuta Edo anachambua anataka aende kwenye main point linadakia na kuacha kuongoza mazungumzo linageuka lichambuz.....sijui wanafeli wapi yan...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku alisema sadio Mane ni mchezaji wa nigeria ,mpaka kipindi inaisha hamna aliyemsahihisha
Ila kile cha mchana kinachoongozwa na GOZA CHUMA Dah pale Hakuna kitu mwamba anachojua yeye n simba na yanga tu mm binafsi namuona Kama mpiga kelele aliyebahatka kuongoza kipindi

Kwa kipindi cha Usiku Kwel Wapo vizuri ila kuna mambo madogo ya kurekebisha wao ndio pekee hawacopy kutoka radio nyingne n wanautofaut na wengine

Ukisikiliza e FM kipindi chao n Kama wasafi tu

Ila wanaojua kuchambua mpira kwa sasa hapa bongo ni

George ambangile
Jeff lea
Ibrahimu masoud maestro
Tigana lukinja
Yahya njenge



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom