East Africa Fibre Optic Cable: Connectivity, issues & progress | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

East Africa Fibre Optic Cable: Connectivity, issues & progress

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Steve Dii, Sep 5, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Finally they'll start laying cables for this much anticipated ICT project in East Africa. I was delighted reading about it, but will it really be a saviour?

  Source:ippmedia

  SteveD.
   
 2. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  In any case, the project is very important to our economy,,, wasiwasi wangu ni kwa corporate international company zitakuwa na sababu nzuri sana ya kuhamisha data centre zao Ulaya/Middle East na wabongo mtabaki na kuangalia kwamba server zinapata umeme au network cable iko plugged!
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kilitime,
  Hiyo ni point nzuri sana kuhusiana na electronic data, lakini pia huoni kuwa the opposite might be true for 'physical goods' nikimaanisha kuwa, hardware maintanance ya vitu ambavyo viko imported itawezekana hapo Tanzania kwani high speed communication to and fro zihusianazo na debugging/repair ya vifaa itawezekana online. Mafundi waliopo Tanzania wataweza kupata interactive help/learning on problem solving kutoka katika nchi zitengenezazo vifaa hivyo. Pia mambo ya telemedicine kutoka sehemu nafuu kama India nadhani yataweza kupunguzia gharama Taifa yakiwa implemented.

  SteveD.
   
 4. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2007
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145

  Rafiki Yangu SteveD,


  Hoja zako ni nzuri lakini kwa ujumla wake umegusia mambo madogo madogo!!! faida kubwa ninazoziona ni hizi lakini kama tu tutakuwa makini!


  1. Kuwa karibu na dunia nyingine in terms of communicaitons, biashara zitaenda kwa urahisi zaidi kama ulivyosema... lakini upande mwingine wa shillingi kama mtu aliyeko South Africa Ataweza ku-logon kwenye server pale PPF tower na kufanya mambo yote ikiwa ni pamoja na backup and restore,,, si atahitaji tu technician huku Tanzania wakuweka tape, au cable?

  2. Telemedicine, Video Conference na n.k ni solution zinazofanya kazi vizuri kwenye LAN/MAN na national backbone... hivyo tunahitaji zaidi mtandao mpana humu ndani! hivyo project ya EASSY haisaidie hii more direct sana... ingawa ina mchango wake.

  3. Kama moja hapo juu!!! lot of applications zita-be hosted London etc... kwa kuwa sio tatizo kwenye access na speed, na ukichukulia watanzania walivyowashamba ndio itakuwa wakati wake tena..

  Pamoja na changamoto zote bado ni mradi muhimu sana, na tukichangamkia kiasi tukawa gateway kwa mataifa yasiyo na bahari... mambo yakuwa poa kwetu...

  Nina mengi tutaongea baada ye!
   
 5. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2007
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Telecommunications costs will certainly go down! Hapa ndipo wazalendo tutaponea, labda tutakuwa tunapigiana simu nakuongea sasa kwa unafuu badala ya ku-beep na texting 24/7!
   
 6. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kisura, point ni nzuri, ila hilo la texting sidhani kama ni kwa sababu ya gharama tu.. miye naona sababu mojawapo ni upenzi wa text. Si wajua tena wengine hatuwezi kuongea, ila furaha iko katika kuandika. Nasema hivyo maana services za text zisingelikuwepo nyingi kwenye nchi ambazo ICT iko hali ya juu, lakini the opposite seems true.

  SteveD.
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kili, samahani mkuu na ahsante kwa mchango wako, lakini sioni kama kitu nilichokiongelea kama mfano ni swala dogo... sijui kwa kweli, labda unamifano futuristic mikubwa zaidi mingine ambayo utaitoa baadae zaidi ya hilo la communication enhancement ulilosema hapo juu.

  Kuhusu hilo swala la LAN/MAN na national backbone; kwani hizi zinatengenezwa na nini... si ni cables zikiwemo hizo fibre optic ndiyo zinajenga backbone network...au ulimaanisha kitu kingine?!

  Kili, na pale unaposema kuwa technical centers hapa nchini kazi yake itakuwa ni zile ndogo ndogo tu, je hizo centres hazitahitaji hardware?!... ndiyo kwenye hili swala la hardware (physical goods) niliposema kuwa, mawasiliano yakiimarishwa basi hapatakuwa na haja ya vifaa hivyo kupelekwa nje ya nchi kutengenezwa au ma-technician kutoka nje ya nchi, maana naamini matengenezo mengi ya vifaa vya kisasa hutegemea sana distant online interactive help/debugging.. hivyo kama unavyosema, nami natumaini mengi yatatokea...

  SteveD.
   
 8. Kisura

  Kisura JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2007
  Joined: Jun 21, 2007
  Messages: 363
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  SteveD,
  Right, najua mko wengi mnao- prefer to 'text' and what not, but in Tanzania, it's just not an option. Cell phone charges are outrageous! Makampuni ya simu yana-charge pesa nyingi sana kupiga simu. Hii inawaacha watu bila ya option, ndio maana texting is used by most citizens as opposed to making a phone call. Sending a text costs 100/- or so Tshs while ukipiga simu its almost 600/-Tsh? na hiyo ni a minute. Sasa hapo mzee chagua mwenyewe. Anyhow, hii kitu ikikaa vizuri, itaweza kusaidia itapunguza zile charges makampuni ya simu yanalipa, thereafter(hopefully)reduce cost za simu za mikono. Siku hizi hata TTCL nao wamepandisha bei. Its' ridiculous!

  PS: Hivi unajua kwa kampuni kama ya Voda, kupiga simu international is almost cheaper than making a phone call local??? I don't understand the logic in this, maybe someone can explain this to me...
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Habari zinasema kuwa SEACOM fibre optic cable itaanza kutumika June mwaka huu.
  Wadau mlio kwenye IT and Telecoms industry ya bongo naomba mtupe habari kama serikali na sekta binafsi inafanya maandalizi yoyote kuhakikisha kuwa TZ nzima inafaidika na Cable hiyo.

  Nimesoma habari kuwa Kenya wanatandika fibre nchi nzima, Rwanda na Uganda nao wanafanya hivo. Sijasikia kitu kuhusu TZ, mwenye habari atafahamishe kinachoendea.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tanzania wanasa hela za kampeni muda huu unadhani wana muda wa kuunganisha mawasiliano nchi nzima?? unataka wananchi waelimike ili wakulu wakose kura?
   
 11. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Kama kawa, we are reactive instead of being proactive.Ikishafika pembezoni mwa bahari ndo tutajiuliza tufanye nayo nini.Bado hatujajua ina msaada gani kwenye kampeni na mambo yetu ya kisiasa.
  Ipo kazi hii nchi
   
 12. SnEafer

  SnEafer Senior Member

  #12
  Apr 22, 2009
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fingers crossed, hopfully tanzania will be connected.
   
 13. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2009
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nasikia TCRA wanawapa TTCL kibali cha kusambaza fibre dar nzima halafu makampuni mengine ya simu yatachota kutoka kwa TTCL. Kisichokuwa wazi ni kama mtandao wa TTCL (fiber backbone) utapita silver sand ambako ndipo fiber hiyo itafikia.
  kuhusu Kusambaza fiber nchi nzima, haina umuhimu sana hiyo maana makampuni ya simu tayari yana mtandao wa Microwave ya kasi kubwa (High capacity SDH systems). Pamoja na hayo kuna baadhi ya maeneo yatahitaji fibre connection kwa siku za usoni kwa ajili ya kuunganisha ma-jiji.
  mwenye taarifa zaidi atupe.
   
 14. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Just a quick fact ndugu Kang hivi hiyo title ''Maataarisho'' ni kiswahili sahihi au ndugu unatokea nje ya Tanzania??

  Kuuliza si ujinga.
   
 15. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Ahsante mkuu, imesaidia kidogo info.
   
 16. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  It is not bad but just unhelpful at this material time and subject!
   
 17. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wewe, yule na mimi tumefanya matayarisho gani kupokea Fibre Cable?


  Not very long hopefully, I will be a very successful person. May God not give me roho ya uchoyo.  .
   
 18. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Mimi nina list yangu ya vitu vya kudownload tayari! Naanza na Planet Earth HD Edition!
   
 19. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nadhani umeona vibaya mkuu!
  tehe! tehe!
   
 20. Sabode

  Sabode Senior Member

  #20
  May 12, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Heshima mbele jamvini
  Wazee leo nimekuja na suala moja kuhusu fibre optic cable. Hope wote mnazo habari za ujio wa hii kitu. Suala ni kuwa kwa watumiaji wa kawaida mbali na kushuka kwa gharama za mawasiliano JE? kutakuwa na haja ya kufanya marekebisho yeyote katika vifaa vyetu vya kielektroniki?
  Na kwa Tanzania itakuwa katika operation kamili wakati gani? ISP waliopo leo watashusha kwa kiasi gani gharama zao? Pia nimesikaia TANESCO ndo ita tumika katika usambazaji wa huduma hii kupitia miundo mbinu yake je haitakuwa na longolongo kama kawaida yao?
  Msaada wa majibu plizzzzzzz
   
Loading...