Earthrising-video jionee jinsi dunia inavyochomoza ni muonekano wake mwezini

Great video..Astronaut Anders alikuwa katika Apollo 8..hii Apollo haikutua mwezini. ilifanya flyby.
 
Mnamo mwaka 1968 mwanaanga William Anders. alipiga picha ya muonekano wa dunia yetu na sehemu ya mwezi jinsi dunia inavyoenekana mwezini.
https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/0/00/Apollo_10_Earthrise.ogv

mwaka 2007 chombo cha japan kiitwacho selene ama kaguya kilichukua video na picha yenye megapixel 1080 ya kuchomoza kwa dunia huko mwezini kwa mara ya kwanza. hii chini ni video.

yaan hapo kwenye dunia duara me kichwa kinauma sana na nashindwa kuelewa uko chin kwenye hilo duara je kuna watu wanaish na n bara gan kwann maji hayamwagiki mfano bahar
 
cha kwanza unapaswa uwelewe dunia imeundwa katika layer tatu ambazo ni core, mantle na crust kwa hiyo hizo sehemu za ndani ya hii dunia zina joto sana sisi tupo kwenye outer surface ya crust kwa mfano joto kubwa ambalo lipo tu kwenye hii earth crust inasababisha convention current kiasi hufanya kutokea kwa magma(yale mauji mauji ya moto) hivyo panapotoke disturbance katika earth inaweza sababisha zile magma kutoka nje sana sana kwenye ile milima ya volcano ama tetemeko kiufupi hakuna mtu anaeishi huko
Earth_poster.svg

hiyo ndo structure ya hii dunia yetu.
kinachosababisha maji yasidondoke au sisi tusidondoke ni gravity, hii ni force inapull vitu vyote toward the center kila kilichomo na kila sayari ina gravity yake, kama ukiangalia video za ISS utaona vitu vinaelea hata yule mwanaangaa na wenyewe ni pia wanaelea kwa sababu gravity kule ni 0.
unaweza angalia video hapa.
VIDEO: Jionee jinsi wanaanga wanavyoishi katika kituo cha anga cha kimataifa
 
asante sana mkuu umenifungua sasa angalau nazid kupata mwangaza kwenye haya mambo
 
Back
Top Bottom