Steve, sijui ni kwanini, lakini baada ya kusoma ile thread ya Haiti na ile theory ya kwamba ile earth quake ni manmade, nilianza kusubiri yatokee chile kwani ni mwiba, je yawezekana kweli au ni coincidence tu??