Earth Quake In China Wa A Man-made! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Earth Quake In China Wa A Man-made!

Discussion in 'International Forum' started by pingiring'ombe, Jun 28, 2008.

 1. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi habari za tetemeko lililotokea Sichuan China. Wakuu, Im a bit shocked nilichosoma baadhi ya sehemu. Nimeileta hapa tuone ukweli/uwezekano wake.

  Kuna habari nyingi ambazo zinasema tetemeko la ardhi nchini China limetengenezwa na Marekani kama shambulio. Ukweli ni kuwa Marekani wanayo tekinolojia ya kubadili hali ya hewa ikiwa ni pamoja na kusababisha mafuriko, ukame, vimbunga, na matetemeko ya ardhi. Soma hapa

  From a military standpoint, HAARP is a weapon of mass destruction. Potentially, it constitutes an instrument of conquest capable of selectively destabilising agricultural and ecological systems of entire regions.
  World renowned scientist Dr. Rosalie Bertell confirms that "US military scientists are working on weather systems as a potential weapon. The methods include
  the enhancing of storms and the diverting of vapor rivers in the Earth's atmosphere to produce targeted droughts or floods."
  Already in the 1970s, former National Security advisor Zbigniew Brzezinski had foreseen in his book "Between Two Ages" that:
  "Technology will make available, to the leaders of major nations, techniques for conducting secret warfare, of which only a bare minimum of the security forces need be appraised... Techniques of weather modification could be employed to produce prolonged periods of drought or storm. "
  Marc Filterman, a former French military officer, outlines several types of "unconventional weapons" using radio frequencies. He refers to "weather war," indicating that the U.S. and the Soviet Union had already "mastered the know-how needed to unleash sudden climate changes (hurricanes, drought) in the early 1980s." (3) These technologies make it "possible to trigger atmospheric disturbances by using Extremely Low Frequency (ELF) radar [waves]."
  A simulation study of future defense "scenarios" commissioned for the US Air Force calls for: "US aerospace forces to 'own the weather' by capitalizing on emerging technologies and focusing development of those technologies to war-fighting applications." … In the United States, weather-modification will likely become a part of national security policy with both domestic and international applications. Our government will pursue such a policy, depending on its interests, at various levels. (Source forgotten)

  Kama kuna mtu anapenda kujua zaidi kuhusu HAARP, nenda any search engine type the word and search.

  Je ni kweli tetemeko hili limestengenezwa? Au ndo kwa sababu ni Marekani basi hata natural "happenings" (especially the negative ones) zinakuwa zimesababishwa na USA?
   
 2. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2008
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Therefore, what is the connections between this and Sichuan earthquake? Americans did it? what about Katrina and now Iowa, are the Americans doing against themselves or else China did it? What is Tsunami? Change your topic please; kuna matetemeko mengi yametokea na hamkusema Marekani imefanya Tsumani, Katrina, Storm in Myammar etc
   
 3. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its better, to underestand before one answers. Read again and understand the nature of my thread. It is a possed problem for people to search the truth of it, and discuss. Karibu.
   
 4. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Really its shocking..to read this...But very interesting...hebe tufuatilie...!!
   
 5. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2008
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Hapo juu umesema:"Kuna habari nyingi ambazo zinasema tetemeko la ardhi nchini China limetengenezwa na Marekani kama shambulio. Ukweli ni kuwa Marekani wanayo tekinolojia ya kubadili hali ya hewa ikiwa ni pamoja na kusababisha mafuriko, ukame, vimbunga, na matetemeko ya ardhi."
  Lete hizo habari zilizosema kuhusu habari hiyo, mieo sioni kabisa connection ya hiyo Sichuan Earthquake na hiyo habari uliyo-kopi na kupaste hapo. In short ni kama vile watu tulipoongelea Y2K, na sasa hivi climate change bado kuna ubishi mkubwa lakini wewe kuelekeza Sichuan earthquake na waMarekani you making it too big! We can discuss the pasted theory but you shud not bring about sichuan issue. In my opinion the heading should be: "Can weather systems be potential weapon of mass destruction"
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nilikuwa nawaza si kwa hilo bali kuweza kwa binadamu kubuni mbinu za kusababisha tetemeko ,na hiyo hali ya kimbunga naamini bindamu tunaweza kugundua jambo hilo kwani si tayari wameweza kugundua namna ya kusababisha mvua au kuifukuza mvua ni utaalamu tu na kusoma na majaribio mengi sio kukaa na kula feza za umma halafu utarajie kupata wasomi wenye kipaji.
   
 7. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2008
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  wewe usiwe mbishi na kubisha vitu usivyovielewa... kuna uwezekano wa kutengeneza tetemeko la ardhi unajua chochote kuhuse earth electromagnetic force? umeshamsikia Tesla... jieleimisha kwanza kabla ya kupayuka na kuanza kupisha.........
   
 8. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndo maana nasema kuwa tunahitaji kusoma zaidi kabla ya kujibu kama huna uhakika na unachojaribu kukisema please try to lead first.

  I cant coment on this lakini vile vile inawezekana kwani science has gone beyond expectations, kama wanajua tectomic basins zote they can tringer one with little energy yenyewe ikajibu kwa natural energy kubwa zaidi.

  Eneo la marekani ya kasikazini lianjulikana since ancient earth kuwa ni trable area kwahiyo hawahitaji kutenengeza vimbunga kama katrina bali sasa wanafanyia majaribio mbinu za kuzuia effect ya vimbunga hivyo kwa kureduce water particles kwenye core ya vimbunga.

  Anything is possible in this world, kaa macho kwani sayansi inafanya kila kitu ulimwenguni.
   
 9. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2008
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  ranting!!!!.........., read it very careful, please, you maybe having understanding problems; my issue here are not those elementary theorems you are talking about; my issue is the heading: EARTHQUAKE IN CHINA WAS A MAN MADE! and the writer didn't tell us exactly how this Eartquake IN CHINA was man made; and how America did it; he is just trying to spread rumours unnecessary that American made that eartquake. YES we can discuss a topic in the subject, Earthquake as a weapon of war!
   
 10. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ecactly that is the nature of my thread. Not to tell how, rather make people who know contribute and those who dont to find what up! Seems you fell under the second category, it a challenge for you to find out!
   
 11. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu heshima mbele. Nimejaribu sana kuweka slides ya issue hii toka you tube bila mafanikio. Anaeweza naomba msaada. Follow this link [media]http://www.youtube.com/watch?v=ecLwVgvvTvU&feature=related[/media]

  Kuna wnasayansi na watu wengine wanazungumzia how issue ya HAARP is linked to China Earth quake. Kuna slides zinaonyesha what happened at SICHUAN 30mins, 10mins b4 the earthquake. Hali ya hewa ilibadilika ghafla na kuwa siyo ya kawaida.
   
 12. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu. Nimejaribu sana kupost slides zinazoonyesha what happened at SICHUAN China 30min, and 10mins b4 the earth quake lakini sijafanikiwa. Kama kuna mtu anaweza kupost hizo slide hapa tutashukuru. Follow this link http://www.youtube.com/watchv=ecLwVgvvTvU&feature=related

  Hali ya hewa ilibadilika ghafla na kuwa siyo ya kawaida b4 the quake. Kuna wanasayansi na other people wanmetoa maoni kuhusu uhusiano wa hali hiyo, olympics, na quake. Lets talk about this, it is serious. (Msipate shida na vichwa vya habari hii sio dissertation) Karibu.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hata kama what happened in China was not man made; it is always interesting to learn new things. Tupe more update and we appreciates whoever contributes on this interesting topic. Dunia ina mambo...
   
 14. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  samahani wakuu kwa kuweka posti mbili zinazoongelea same thing. Ilikuwa katika jitihada za kupost slides
   
 15. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  10mins b4 the quake

  [media]http://www.youtube.com/watch?v=hzVamNQzfYA[/media]
   
 16. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Here we go HAARP CBC BROADCAST WEATHER
  [media]http://www.youtube.com/watch?v=Zi1nLmlicxU&feature=related[/media]
   
 17. p

  pingiring'ombe JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2008
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 386
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Im Having A Prob In Posting Slides! Will Post Them When Im Ok With That.
   
Loading...