Eartel wanaboa sana sijui nihame.

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
Siku 4 sijapata chekatime wala vifurush.ukibofya menu et huduma hii haipatikan kwasasa jaribu badae.nimewachoka
 
hata ukiham, wote n walewale tu, hakuna voda, tigo, sijui zantel! yaani uozo mtupu! labda ttcl
 
Mimi wame niibia dakika zangu nimelipia wiki nzima nikaongea sekunde 80 wakaniambia nmemaliza huu ni wizi mkubwa wadau tutoe taarifa kwa mamlaka husika ili lifanyiwe kazi tcra au tume ya ushindani
 
Mimi wame niibia dakika zangu nimelipia wiki nzima nikaongea sekunde 80 wakaniambia nmemaliza huu ni wizi mkubwa wadau tutoe taarifa kwa mamlaka husika ili lifanyiwe kazi tcra au tume ya ushindani

Tatizo ni ukimya wa hizo mamlaka, usiadhani kwamba ndo wataanza kusikia leo. Huwa nafikiri kuwa wana kamisheni yao huwa wanachukua ili "kuvumilia" madudu yao..
 
faza kila mtandao tz unaboa, voda nao ukiweka jero ukinunua kifurushi cha jero wanakwambia hunasalio la kutosha, tigo balaa tupu
 
Huku bush kwetu kuna mtandao wa airtel. Huo unaokuboa wa eartel utakuwa mpya usioaminika! Hamia kwa mabingwa
wa airtel!
 
Mimi nashauri JF tuanzishe mtandao wa simu. lakini kama eatel wanasumbua ahamie airtel hakatwi mtu pale.

Huyu nae sijui ni Eartel alifuata nini..? mitandao ambayo hata haijasajiliwa sijui ameitoa wapi??
 
Sasa nimekuelewa, kuna wazo nimempa Mwenyekiti Baba V la kuanzisha kampuni ya simu ya jf chitchat naona anaifanyia kazi.

Hilo wazo linauzika na linalipa mkuu, ngoja tulifanyie upembuzi yakinifu kabla hatujalipeleka kwa washika dau ili waangalie namna ya kurasmisha mchakato wa kukasmisha baadhi ya huduma za mitandao mingine kwenye huu mtandao wetu.
 
Back
Top Bottom