EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

mwenyekiti wako ni mbinafsi .kwenye kudai katiba mpya akuwashirikisha wezie hakina zito ,mbatia nk , mwisho wa siku akapewa kesi lakini wezie hakina zitto wakampigania afutiwe kesi na hatoke mahabusu na kweli wakafanikiwa akatoka na kesi ikafutwa nimekumbuka wakati mwenyeki wako yuko ndani ,ACT wakaanzisha kampeni ya kudai tume huru ya uchaguzui kama kawaida yenu ya ubinafsi mkishirikiana na makatibu wenu mkawakejeri na kuwadharau .sasa na Leo tena mwenyekiti yuko peke yake hapo mahakamani kwa kujifanya yeye ndie anajua sana mwenye uchungu ya vyama vipinzani mikamera inammulika yeye tu .kwa mwendo huu kwa jiona nyie bora chadema kwa kweli amtofika mbali A C H E N I UBINFSI
 
We jamaa muongo sana !
 
mmh
 
Tatizo lako unamchukulia Kila mtu mweñye mtazamo na hoja kinzani na zako hajasoma au ana elimu duni! Elimu uliyonayo wewe inakusaidia Nini! Nikikuambia kuwa ubora wa elimu uliyo nayo unaonekana kwenye makaratasi unayoyaita vyeti utabweka kuliko mbwakoko!
Kazana kujisifu umesoma huku tusiosoma tunakulipa mshahara! Kushindana na nature ni kujidanganya ndugu msomi! Kaa nalo hili litakufaa siku moja!
Elimu ni muhimu ndugu tajiri. Ukipata nafasi jisomee hata visivyo kuhusu usije jikuta unatulipa mshahara hewa.
Elimu INA faida nyingi hata isipokuingizia kipato.
Elimu....elimu...elimu.
 
Elimu ni muhimu ndugu tajiri. Ukipata nafasi jisomee hata visivyo kuhusu usije jikuta unatulipa mshahara hewa.
Elimu INA faida nyingi hata isipokuingizia kipato.
Elimu....elimu...elimu.
Elimu hii ya bongo yenye umahiri kwenye manila ngumu zilizochorwa maua ambazo umezipamba sebuleni kwako zinakutia kiburi unapoziangalia hazina maana kwani zinakulaza njaa Kila iitwayo Leo!
Fikiri kivingine ndugu msomi! Kalime hata viazi utapata pesa!
 
25 March 2022

HUKUMU KESI YA MBOWE YATOLEWA NA MAHAKAMA YA AFRIKA MASHARIKI.. Mahakama ya Afrika Mashariki Imetoa Hukumu juu ya Pingamizi la Vyama vya Upinzani Tanzania juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya siasa.

Source : Global TV online

East African Court of Justice
Group_1141_bm_pattern.png

Application No. 2 of 2019 (Arising from Reference No. 3 of 2019) Freeman A. Mbowe & 4 Others vs The Attorney General of the United of Tanzania​

Application filed on: 27th May 2019.

Articles: 6(d), 7(2), 8(1) & 38(2) of the Treaty for the Establishment of the East African Community.
Rule: 21 of the EACJ Rules of Procedure, 2013.

Subject matter: Refraining order against the Respondent from applying and using certain provisions of the Political Parties (Amendment) Act 2019.

The Applicants are natural persons and citizens of the United Republic of Tanzania.

The first Applicant is a member and party chair of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), a political party registered in Tanzania.

The second Applicant is a member and party leader of Alliance for Change and Transparent-(WAZALENDO), a political party registered in Tanzania.

The third Applicant is a member and party Chair of the Chama cha Umma, a political party registered in Tanzania.

The fourth Applicant is a former first Vice President of the Revolutionary Government of Zanzibar and a member of the Alliance for Change and Transparent (WAZALENDO), a political party registered in Tanzania.

The fifth Applicant is Zanzibar Deputy Secretary General for Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

The Applicants seek for Court orders refraining the Respondent from applying and using certain provisions of the Political Parties (Amendment) Act 2019, which are challenged in the main Reference, pending the hearing and determination of this Application inter-parties and pending hearing and determination of Reference No. 3 of 2019.

In the Reference out of which the Application arose, the Applicants are challenging the Political Parties (Amendments) Act No. 1 of 2019 in its current form for allegedly; placing unjustified restrictions on the freedom of association; being discriminative and restricting people’s right to participate in public affairs; denying people’s right to personal security and safety; and contravening the principles of democracy, rule of law, good governance and human rights which the United Republic of Tanzania (Respondent) has committed to abide by through the EAC Treaty, the International Covenant for Civil and Political Rights, the Universal Declaration of Human Rights and the African Charter of Human and Peoples’ Rights.

It is the Applicants’ case that, the urgency of this Application is borne out of the fact that, the Government of the United Republic of Tanzania through the office of the Registrar of Political Parties has started applying the use of the provisions of the Political Parties (Amendment) Act, 2019 which are complained of by the Applicants in Reference No.3 of 2019, a matter pending determination by the East African Court of Justice – First Instance Division.

The Applicants allege that, the application of the Act puts their individual rights at jeopardy and the political parties at the danger of being deregistered; its members (including the Applicant) being suspended from conducting political activities; its leaders (including the Applicants) being fined a sum of money equivalent to U.S Dollar 45,000/- or being imprisoned or both; being denied to form coalition at their choice of time and agenda; and rendering political party leaders without security and protection.

Further that, the application of the Act forces political parties to form policies which are contrary to political parties’ ideologies and stands.

Moreover, the provisions enacted in the Act infringe the basic Constitutional rights enshrined in the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 and well established principles of international law, the provisions of the Treaty Establishing the East African Community, the African Charter on Human and Peoples Rights, the International Covenant for Civil and Political Rights and several other international instruments.

It is the Applicants submission that, it is imperative and in the interest of justice that this Application be heard and determined expeditiously for the sake of the wellbeing of Tanzania democracy, rule of law and human rights.

The Respondent is the Attorney General of the Republic of Tanzania sued on behalf of the Government of Tanzania.

Source : Application No. 2 of 2019 (Arising from Reference No. 3 of 2019) Freeman A. Mbowe & 4 Others vs The Attorney General of the United of Tanzania - East African Court of Justice

This case summary is a document produced by the Registry to assist in understanding forthcoming matters before the Court. It does not bind the Court. For authoritative Decisions, Judgments and general information about the Court please visit https://www.eacj.org/
Contact: Registrar, East African Court of Justice, P.O. Box 1096 Arusha, Tanzania Tel: +255 27 2506093 Fax: +255 27 27 2509493 Email: eacj@eachq.org
Download PDF

© 2020 East African Court of Justice. All rights reserved.
 
Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) yaishauri Serikali ya Tanzania kubadilisha sheria ya vyama vya siasa

Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) imetoa ushindi kwa vyama 10 vya siasa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) vilivyokuwa vikipinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya Mwaka 2019, huku ikiitaka Serikali kurekebisha vifungu vya sheria vinavyolalamikiwa.

Freeman Mbowe na wenzake Walikuwa wakipinga marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa yaliyofanyika mwaka 2019 na vilisema inakiuka mkataba wa EAC ibara ya 6(d), 7(2), 8(1) (c), 27(1), 30 na kanuni za mahakama hiyo.

Pia LHRC katika madai yake ilisema mkataba ulioanzisha EAC ibara ya 4, 6(d), 7(2), 8(1) (c), 27(1), 30(1) na 38 (2) pamoja na kanuni za mahakama hiyo ibara ya 1 (2) na 24 ya mwaka 2013 zimekiukwa, pia inadai mabadiliko ya sheria yanazuia demokrasia, utawala bora na haki ya kukusanyika.

Akizungumza kwa simu jana, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alikiri kuisikia hukumu hiyo ya Mahakama ya Africa Mashariki EACJ akisema, “Tumeipokea, tunaitafakari na tutatolea uamuzi.”

Kesi hiyo namba 3 ilifunguliwa mwaka 2019 na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Naibu Katibu wa chama hicho, Salum Mwalimu, aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad (marehemu) na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa Chaumma, Hashim Rungwe kwa niaba ya vyama 10 vya upinzani.
 
Back
Top Bottom