EAC ya zamani imerudi rasmi, je zile nchi zingine zimetengwa?

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Messages
23,042
Points
2,000

idawa

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2012
23,042 2,000
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alifanya ziara binafsi kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Wilaya ya Chato, waliongea mengi zaidi walisisitiza umoja na ushirikiano kwa wananchi wote bila kubaguana.

Leo Rais Museveni akitokea Angola amefanya Ziara binafsi Kama Uhuru Kenyatta kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Chato.

Nimefuatilia hotuba zao leo mara nyingi walipokuwa wanaitaja Jumuiya ya Afrika Mashariki walikuwa wanataja nchi tatu tu Tanzania,Kenya na Uganda na hiyo imetajwa mara nyingi sana kwa viongozi wote wawili.

Ajabu haijatajwa Burundi, Rwanda ama Sudan Kusini.

Zaidi wamehitisha kwa kusema inabidi wajane wa Marais wa Zamani, Mwalimu Nyerere, Obotte na Moi inabidi wakutanishwe ili waweze kutoa ushauri jinsi mabwana zao walivyodumisha umoja wa EAC kwa wakati huo.

Wataalamu wa siasa za Afrika Mashariki hili mnalionaje, hasa ukizingatia Uganda na Rwanda mpaka wao haujatulia, Rwanda na Burundi kila siku migogoro kila mmoja akimshutumu mwenzake kutaka kumpindua.... Sudan Kusini nae ndio vile.

Maana imefika wakati vikao vya viongozi wa EAC havifanyikia sababu ya migogoro hiyo.

Je EAC ya Zamani ndio imerudi rasmi na kuwaacha wanachama wapya wahangaike na migogoro yao.?
 
Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
15,567
Points
2,000

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
15,567 2,000
The Real East Africa Community is TANZANIA, KENYA and UGANDA

Hao wengine hawajakidhi vigezo vya kuungana nasisi kwasababu za msingi sana za kiuchumi.

Nimeshaenda kwenye vikao kadhaa vya EAC tangu hawajahamia jengo lao jipya jirani na AICC

Kwa mfano, Sudan haitatufaidisha kwa chochote kuanzia kiresource, kimakazi, kielimu n.k. tutakuwa tunawasaidia tu na wao watanufaika kupitia sisi.

Rwanda na Burundi pia ni hivyohivyo, nafuu Kenya na Uganda tutafaidi viwanda kwa Kenya ambapo tutaexchange na Mali ghafi na chakula. Pia Elimu yao na maarifa yametuzidi kwa kiasi flani.

Uganda nao wana resource ambazo tutaweza kufaidi.

Sababu nyingine ni Ukaribu, ni rahisi kwa mfano kuunganisha bombs za gesi, barabara, reli na Umeme kwa Tz, Kenya na Uganda kuliko Tanzania na Sudan.

Haiwezekani Tanzania pekee yenye 52% ya eneo lote la Afrika mashariki iungane na nchi ambayo ni sawa na Mkoa wetu mmoja yaani Rwanda na Burundi.

Wasije kutujazia Wakimbizi na wategemezi.

Tunapaswa tutafakari kabla ya kufanya maamuzi.
 
doup

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2009
Messages
2,178
Points
2,000

doup

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2009
2,178 2,000
Kumbuka pia hizi nchi ndigo zinaweza changia rasilumali watu. Hasa kwenye shilughuli za kutumia nguvu, hawa watu niwafanyakazi hodari sana hasa mashambani. Usichukulie tu wao tu.
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
Ule umoja ulitengenezwa ili kuitenga Tanzania baada ya kuona Tanzania inakuwa ngumu kwenye swala la ardhi.....
Kwa taarifa yako anachokifanya Magufuli ni kuwaita hao marais kuwaonyesha huo uwanja wa ndege huko kwao, hamna lolote jipya. Makubaliano kabisa ya hiyo jumuiya yapo ndani ya maandishi kwenye mikataba na hakuna anayeyatii kama yalivyokubaliwa. Sasa kama yaliyoandikwa hawayafuati watafuata haya wanayokutana kwenye ziara binafsi? Huu uhuni ulifanyika enzi za JK, kwa Museveni, Uhuru na Kagame kuanzisha umoja wao ndani ya hiyo jumuiya. Leo imebaki ni vichekesho. Kinachofanyika hapo ni kuringishiana uwanja na huenda hata hizo ziara gharama zinalipwa na nchi yetu ili kusaka sifa binafsi.
 
tracebongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Messages
969
Points
1,000

tracebongo

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2018
969 1,000
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alifanya ziara binafsi kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Wilaya ya Chato, waliongea mengi zaidi walisisitiza umoja na ushirikiano kwa wananchi wote bila kubaguana.

Leo Rais Museveni akitokea Angola amefanya Ziara binafsi Kama Uhuru Kenyatta kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Chato.

Nimefuatilia hotuba zao leo mara nyingi walipokuwa wanaitaja Jumuiya ya Afrika Mashariki walikuwa wanataja nchi tatu tu Tanzania,Kenya na Uganda na hiyo imetajwa mara nyingi sana kwa viongozi wote wawili.

Ajabu haijatajwa Burundi, Rwanda ama Sudan Kusini.

Zaidi wamehitisha kwa kusema inabidi wajane wa Marais wa Zamani, Mwalimu Nyerere, Obotte na Moi inabidi wakutanishwe ili waweze kutoa ushauri jinsi mabwana zao walivyodumisha umoja wa EAC kwa wakati huo.

Wataalamu wa siasa za Afrika Mashariki hili mnalionaje, hasa ukizingatia Uganda na Rwanda mpaka wao haujatulia, Rwanda na Burundi kila siku migogoro kila mmoja akimshutumu mwenzake kutaka kumpindua.... Sudan Kusini nae ndio vile.

Maana imefika wakati vikao vya viongozi wa EAC havifanyikia sababu ya migogoro hiyo.

Je EAC ya Zamani ndio imerudi rasmi na kuwaacha wanachama wapya wahangaike na migogoro yao.?
Kumkaribisha Rwanda EAC ulikuwa uamuzi mbovu na unaoigharimu EAC mpaka leo.
 
Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
7,309
Points
2,000

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
7,309 2,000
Kwa taarifa yako anachokifanya Magufuli ni kuwaita hao marais kuwaonyesha huo uwanja wa ndege huko kwao, hamna lolote jipya. Makubaliano kabisa ya hiyo jumuiya yapo ndani ya maandishi kwenye mikataba na hakuna anayeyatii kama yalivyokubaliwa. Sasa kama yaliyoandikwa hawayafuati watafuata haya wanayokutana kwenye ziara binafsi? Huu uhuni ulifanyika enzi za JK, kwa Museveni, Uhuru na Kagame kuanzisha umoja wao ndani ya hiyo jumuiya. Leo imebaki ni vichekesho. Kinachofanyika hapo ni kuringishiana uwanja na huenda hata hizo ziara gharama zinalipwa na nchi yetu ili kusaka sifa binafsi.
We jamaa sometimes unakuwaga na mawazo huru! Lakini hapa naona umetangukiza chuki zaid
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
We jamaa sometimes unakuwaga na mawazo huru! Lakini hapa naona umetangukiza chuki zaid
Narudia tena, makubaliano halisi yako kwenye maandishi ndani ya mikataba ya east Africa lakini hayatekelezwa ipasavyo. Sasa unategemea jipya lipi kwenye ziara zinazoitwa binafsi? Nilichounga mkono ni hao viongozi kukutana huko huko Chato maana hapa mjini kungeishia kuwa na jam hadi kutufanya tufike kwenye shughuli zetu kwa shida.
 
tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
26,539
Points
2,000

tindo

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
26,539 2,000
The Real East Africa Community is TANZANIA, KENYA and UGANDA

Hao wengine hawajakidhi vigezo vya kuungana nasisi kwasababu za msingi sana za kiuchumi.

Nimeshaenda kwenye vikao kadhaa vya EAC tangu hawajahamia jengo lao jipya jirani na AICC

Kwa mfano, Sudan haitatufaidisha kwa chochote kuanzia kiresource, kimakazi, kielimu n.k. tutakuwa tunawasaidia tu na wao watanufaika kupitia sisi.

Rwanda na Burundi pia ni hivyohivyo, nafuu Kenya na Uganda tutafaidi viwanda kwa Kenya ambapo tutaexchange na Mali ghafi na chakula. Pia Elimu yao na maarifa yametuzidi kwa kiasi flani.

Uganda nao wana resource ambazo tutaweza kufaidi.

Sababu nyingine ni Ukaribu, ni rahisi kwa mfano kuunganisha bombs za gesi, barabara, reli na Umeme kwa Tz, Kenya na Uganda kuliko Tanzania na Sudan.

Haiwezekani Tanzania pekee yenye 52% ya eneo lote la Afrika mashariki iungane na nchi ambayo ni sawa na Mkoa wetu mmoja yaani Rwanda na Burundi.

Wasije kutujazia Wakimbizi na wategemezi.

Tunapaswa tutafakari kabla ya kufanya maamuzi.
Mkuu naona umeamua kutoa mpya. Sisi Tanzania tumeungana na ZnZ, ina watu wachache kuliko wa Rwanda au Burundi na hata kieneo. Mbona hizo sababu zako za paragraph ya mwisho hazipo kwa ZnZ?
 
ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Messages
684
Points
500

ROMUARD KYARUZI

JF-Expert Member
Joined Sep 18, 2018
684 500
Mwalimu Nyerere aliishawai kuonya waziri mmoja aliyekuwa fureign minister by then kuita nchi YA Burundi kanchi au Rwanda kanchi kutokana na size /eneo la nchi zao kuwa dogo alisema ni lazima tuzieshimu kama sovereign states zina hadhi sawa na sisi wana Africa Mashariki tuwaeshimu tusiwadharau.
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,015
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,015 2,000
Nduli na dikteta yuko busy kuitafutia biashara hotel yake ambayo iko empty. Marais wanne na wapambe zao kibao ni biashara tosha kabisa kishakuwatambia mnaona nilivyokujenga kwetu kwa pesa ya kukwapua toka kwa walipa kodi!? chato ni pango la madikteta.

Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alifanya ziara binafsi kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Wilaya ya Chato, waliongea mengi zaidi walisisitiza umoja na ushirikiano kwa wananchi wote bila kubaguana.

Leo Rais Museveni akitokea Angola amefanya Ziara binafsi Kama Uhuru Kenyatta kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Chato.

Nimefuatilia hotuba zao leo mara nyingi walipokuwa wanaitaja Jumuiya ya Afrika Mashariki walikuwa wanataja nchi tatu tu Tanzania,Kenya na Uganda na hiyo imetajwa mara nyingi sana kwa viongozi wote wawili.

Ajabu haijatajwa Burundi, Rwanda ama Sudan Kusini.

Zaidi wamehitisha kwa kusema inabidi wajane wa Marais wa Zamani, Mwalimu Nyerere, Obotte na Moi inabidi wakutanishwe ili waweze kutoa ushauri jinsi mabwana zao walivyodumisha umoja wa EAC kwa wakati huo.

Wataalamu wa siasa za Afrika Mashariki hili mnalionaje, hasa ukizingatia Uganda na Rwanda mpaka wao haujatulia, Rwanda na Burundi kila siku migogoro kila mmoja akimshutumu mwenzake kutaka kumpindua.... Sudan Kusini nae ndio vile.

Maana imefika wakati vikao vya viongozi wa EAC havifanyikia sababu ya migogoro hiyo.

Je EAC ya Zamani ndio imerudi rasmi na kuwaacha wanachama wapya wahangaike na migogoro yao.?
 
BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
98,015
Points
2,000

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
98,015 2,000
Unapochukuwa trillions kutoka hazina bila ya IDHINI ya Bunge ni WIZI! Hakuna aliye juu ya mkono wa sheria.
 
Selule

Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
95
Points
125

Selule

Member
Joined Sep 12, 2016
95 125
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alifanya ziara binafsi kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Wilaya ya Chato, waliongea mengi zaidi walisisitiza umoja na ushirikiano kwa wananchi wote bila kubaguana.

Leo Rais Museveni akitokea Angola amefanya Ziara binafsi Kama Uhuru Kenyatta kumtembelea Raisi Magufuli kijijini kwake Kilimani Chato.

Nimefuatilia hotuba zao leo mara nyingi walipokuwa wanaitaja Jumuiya ya Afrika Mashariki walikuwa wanataja nchi tatu tu Tanzania,Kenya na Uganda na hiyo imetajwa mara nyingi sana kwa viongozi wote wawili.

Ajabu haijatajwa Burundi, Rwanda ama Sudan Kusini.

Zaidi wamehitisha kwa kusema inabidi wajane wa Marais wa Zamani, Mwalimu Nyerere, Obotte na Moi inabidi wakutanishwe ili waweze kutoa ushauri jinsi mabwana zao walivyodumisha umoja wa EAC kwa wakati huo.

Wataalamu wa siasa za Afrika Mashariki hili mnalionaje, hasa ukizingatia Uganda na Rwanda mpaka wao haujatulia, Rwanda na Burundi kila siku migogoro kila mmoja akimshutumu mwenzake kutaka kumpindua.... Sudan Kusini nae ndio vile.

Maana imefika wakati vikao vya viongozi wa EAC havifanyikia sababu ya migogoro hiyo.

Je EAC ya Zamani ndio imerudi rasmi na kuwaacha wanachama wapya wahangaike na migogoro yao.?
Mleta hoja usitufarakanishe wananchi wa EAC. Tuache tuendelee kutekeleza mtangamano wetu kama ulivyoainishwa kwenye mktaba ulioanzisha Jumuiya.
Hakuna mkutano wa viongozi watatu uliofanyika. Mikutano yote ilikuwa bilateral kujadili ushirikiano baina ya nchi moja na nyingine.
Unashauriwa uwe unatafiti kabla ya kuhitimisha. Mikwaruzano baina ya nchi moja na nyingine ni ya matukio madogo ya kawaida tu katika mtangamano.
 
much know

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
2,644
Points
2,000

much know

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
2,644 2,000
Nduli na dikteta yuko busy kuitafutia biashara hotel yake ambayo iko empty. Marais wanne na wapambe zao kibao ni biashara tosha kabisa kishakuwatambia mnaona nilivyokujenga kwetu kwa pesa ya kukwapua toka kwa walipa kodi!? chato ni pango la madikteta.

Kibaraka wa nduli mbowe kazini.
 
Volatility

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Messages
2,098
Points
2,000

Volatility

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2018
2,098 2,000
The Real East Africa Community is TANZANIA, KENYA and UGANDA

Hao wengine hawajakidhi vigezo vya kuungana nasisi kwasababu za msingi sana za kiuchumi.

Nimeshaenda kwenye vikao kadhaa vya EAC tangu hawajahamia jengo lao jipya jirani na AICC

Kwa mfano, Sudan haitatufaidisha kwa chochote kuanzia kiresource, kimakazi, kielimu n.k. tutakuwa tunawasaidia tu na wao watanufaika kupitia sisi.

Rwanda na Burundi pia ni hivyohivyo, nafuu Kenya na Uganda tutafaidi viwanda kwa Kenya ambapo tutaexchange na Mali ghafi na chakula. Pia Elimu yao na maarifa yametuzidi kwa kiasi flani.

Uganda nao wana resource ambazo tutaweza kufaidi.

Sababu nyingine ni Ukaribu, ni rahisi kwa mfano kuunganisha bombs za gesi, barabara, reli na Umeme kwa Tz, Kenya na Uganda kuliko Tanzania na Sudan.

Haiwezekani Tanzania pekee yenye 52% ya eneo lote la Afrika mashariki iungane na nchi ambayo ni sawa na Mkoa wetu mmoja yaani Rwanda na Burundi.

Wasije kutujazia Wakimbizi na wategemezi.

Tunapaswa tutafakari kabla ya kufanya maamuzi.
Wakenya wakifiri namna hii nao siwatakataa kuungana na tanzania.

Akili za kibaguzi ni akili dhaifu
 
Forum statistics

Threads 1,389,956
Members 528,065
Posts 34,039,614
Top