EAC: The inline plan of the NEW WORLD ORDER? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EAC: The inline plan of the NEW WORLD ORDER?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdulhalim, Apr 24, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mojawapo ya maazimio ya New World Order, na jumuia zake ndogondogo kaa Freemasonry, Bilderberg et al, ni ku-centralize kada za maamuzi. Tumeshaona Europian Union na makeke yake,na soon tunaona tunavopelekwapelekwa kwenye hili dudu linaloitwa EAC. Hii itafanikisha maamuzi ya pamoja, na hawa mabwana wataeza ku-exploit hili eneo with an ease.

  Tunaona kwa kasi mambo kadhaa, mathalan, 'Catholic' or 'Global' financial crisis, global swine flu, global invetsment, global war on terror, and so many other 'globals'. Hizi ni movements ambazo 'zinatengezwa' maabara ili kuekwe in place 'global solutions'. Hii ni ground ya police global state, global police, global army, global central bank etc.

  Natarajia wengine mtaongezea nyama hapa..Karibuni.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Can this explain why our dear beloved president is always on the road to the US?

  My theory is simple, he might be coached, trained or whatever it is ovethere, or maybe briefing the bosses about the progress of the plans. Possibly with 2010, some funds for election might be wired to bongoland to his disposal, to maintain the train of ambitions.

  Its best we do not miss the larger picture here, EAC might not be demand driven by the wananchi bali hawa mabwana vita.
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Global culture.
   
 4. m

  mtoto wa mjini JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 1,542
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  Global village"internet".
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  so what is your problem here? new world order? how bad is it for you?

  kwangu mimi ni mbaya, lakini sababu mojawapo ya new world order ni waislam na ugaidi, inafika kipindi watu wanaona bora waungane ili kufanya jumuiya moja washirikiane. wasipofanya hivyo, nchi mojawapo ya kiislam wakati wowote wanaweza kutangaza jihad, au boycott ya bidhaa za nchi fulani kama Denmark na Switzerland bila hata sababu. waislam wameungana kusapoti ugaidi through NGO zao, sasa nchi zingine wafanye nini wakati wanaona kufanya biashara ni kugumu, maisha magumu...si watatafuta instrument moja itakayowashurutisha wanadamu wote duniani ili wafuate kile mtu mmoja anachosema? and this is what is going to happen, the new world order preparing kwaajili ya mpinga Kristo...hapo ndipo kwenye hekima ya watakatifu, kwasababu ukiona hivyo ndo mwisho wa dunia umekaribia.

  hata hivyo, EAC si mpango wa new world order, new world order ni zaidi ya east africa community. ungeongelewa Umoja wa mataifa walipotoa proposal ya New world order, Uingereza na marekani walipotoa hiyo proposals, na nchi zingine, nitasoma kwenye kitabu hapa halafu nitoe maelezo vizuri kuhusu hii order anayoongelea hapa, ila for sure, haihusiani na EAC. HIVI KWANINI WAISLAM WOOOTE WANAICHUKUA EAC? kisa chao ati wanaona watamezwa na wakristo.....akili ya samaki hii...ubongo wake mdogooooo, libichwa hilooooo.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,012
  Trophy Points: 280
  New world order ni mkakati wenye mafungamano ya viongozi wa dini na kisiasa. Dini kwa maana ya muungano(madhehebu) sii chochote ila ni siasa kwa kufuniko cha mungu.

  Huu muungano wa viongozi wa kisiasa na kidini umezaa mfumo kurutu sana ujulikanao kama uyezebel(Babilony system). Umezungumziwa vizuri tu katika kitabu cha ufunuo 13 kwamba kuna mnyama aliyetoka baharini (europe) DINI na aliyetoka nchi kavu (Amerika) SIASA.

  Wameanzisha utawala wa kisekula nje ya utawala wa Mungu. Ilimlazimu huyu mnyama wa baharini (dini) kujibadili umbo na kumkabizi yula mnyama wa nchi kavu yaani siasa mamlaka kwa sharti la kuwatiisha(salimisha) watu kwake. Jambo hili linawezekana sasa kwa vyombo kama UN na workshop zake na kwa upande wa dini ni baraza la ekomonika na workshop zake.

  Wana mikakati mingi na iliyosukwa kiakili sana ya kuihofisha dunia kama vile -hatari ya ugaidi, anguko la uchumi duniani, magonjwa yasiyotibika, uharibifu wa mazingira, hofu ya vikundi vya kidini vilivyojitenga nk, ambavyo vinajumuishwa na kupewa jina global crisis. Baada ya kuzitengeneza hofu hujitokeza wakiwa na suluhisho la tatizo kwa kuzitaka serikali zote duniani na dini zote kuwa kitu kimoja na wao katika suluhisho walilokuja nalo.

  Na kama hutataka kuwa sehemu ya muungano wao basi watakunyanganya haki zako zote na kukuita kila jina baya. Hilo ni jukwaa tu linalotoa mlio wa mbali kufanikisha ule mkazo mkuu wa utendaji wa mnyama yule wa namba 666. Maana hutanunua wala kuuza usipokuwa mwanachama wa dhehebu fulani au chama fulani ndani ya system. Wana mpango wa kutengeneza taifa moja dini moja nje ya Mungu wa kweli.

  HII NI BABILONY NYINGINE AMBAYO LUGHA ZIMESHAANZA KUCHAFULIWA NA HAWAELEWANI... ITAKUWA NI VITA YA KUUFIKILIA MPAKA WA MWISHO!!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Global culture ni mojawapo ya malengo, na watu wengi tunaingia humo bila kujijua. Manipulation kubwa inafanywa kupitia vyombo vya habari, mambo ya burudani na michezo, ambapo certain lifestyle is encouraged REPEATEDLY. Unaeza kuangalia mathalan, suala la mahusiano ya watu wa jinsia moja, kwa jinsi linavotia kasi kwenye media, movies etc, soon the whole world will crumble to accept it as 'something natural'. Huu ni mfano tu.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Internet is a tool which can be used by both, wanaopinga na wasiopinga huu mfumo ujao. With time mashirika yote makubwa ya kutoa huduma yatakuwa chini ya hawa wanachama wa hizi secret societies, na kama tulivoona kwene vita dhidi ya ugaidi, POLICE STATE is a part of deal, kwamba kila mtu anaetumia internet anaeza kuanikwa maelezo yake wakati wowote ikiwa kuna 'reasonable concern'.
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160

  NWO has NOTHING to do with religion. Religion inatumiwa ktk kutengeneza matukio 'maabara' na pia some of the these major religions and their heretical wings ni wanachama wa hizi secret societies. Wapo hapo wanamanipulate matukio kutoka ktk angle hiyo. Haya matukio yakiwa na nia moja au nyingine kuendelea kuwatia wanadamu utumwani na kuwachakaza zaidi na umaskini huku wao wakizidi kujikusanyia utajiri. Hapo walengwa wa madhila hayo sio kikundi fulani cha watu, bali ni entire mankind. Fuatilia historia sahihi utaona kwamba hao 'maadui' wa Marekani leo hii, walikuwa marafiki siku za nyuma, na matukio ya vita au war on terror, ukiyaangalia vizuri unaona kabisa hayaingii akilini. Na mojawapo ni suala la kuivamia Iraq kwa kisingizio cha 'silaha za maangamizi' ambazo HAZIPO. Wakati ukiendelea kushangilia vita hiyo elewa kuwa kuna watu wanafaidika na accounts zao zinazidi kuflood miela kutoka kwa deals mbalimbali, kama makampuni ya silaha, mafuta, madawa etc etc.
  Huu ni mfano tu.


  NWO ni mpango wa kidunia sio EAC au US per se. Of course their best interest ni kutengeza one government kuitawala dunia. This dream will not be realized overnight, ndio maana wanaanza kushinikiza maeneo kidogo. Wanajua wakianza na EAC, kuna nchi kaa DRC with its multi-billion resources can be easily attracted, na nchi zingine vilevile, na mwishowe it will be the entire continent, entire world. Hivi ndivo ilivo. Unaeza ukafuatilia jinsi hawa jamaa walivoivunja USSR, na sasa wana-recruit vile vijinchi vilivotoka kwa USSR na Yugoslavia, Czechoslovakia etc into Europian Union, baada ya kucomply na mambo fulanifulani ikiwemo currency. Kumbuka kuwa global currency ni mojawapo ya malengo ya NWO.

  BTW: USHAURI WA BURE: Hii sio thread ya kidini na nitafurahi kama utaona vinginevo ukaanzisha thread yako uzungumzie chuki zako za kidini na nwo.

  Wasalaam.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kiby, nice contribution.

  I have come crossed recently from the legend kwamba vaccine ya Swine Flu ilishatengezwa prior to occurence ya first case ya Swine Flu kule Mexico. It is pretty strange how human beings can be so CRUEL, na kuwafanya wanadamu wengine mbuzi wa kafara au panya wa maabara ? Is this a true Reptilian Race(cold-blooded, heartless and soulless) is in control? Nashindwa kukubali au kukataa..lol
   
 11. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  HATUNA UHAKIKA NA MNACHOKISEMA BALI KILA MTU HUJARIBU KUVUTIA KWAKE.MUISLAM NA MKRISTO WOTE WANAMITAZAMO YAO TOFAUTI.New world order sio kitu kilichobaya kivile.mambo haya ni vigumu kuyaelewa kwa kutazama mifumo ya kiutawala na matukio yaliyopo sasa.tusiwe watabiri kwa kila jambo jamani.
   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Miundombinu, this has nothing to do with religion.

  Kuongeza utamu, tembelea hapa. Utakayokutana nayo huko ni uamuzi wako kuamini au kutokuamini, binafsi kuna vitu naviona viko obvious, na nimepata kusikiza even some of the x-members wa hizi secret societies, na wana-confirm hizi behind the scenes manipulations na nia zao OVU. Nways, all in all, nia ya thread sio kuongelea hizi societies maana hilo ni somo pana sana, nadhani kuna thread hapa JF inayoongelea mambo ya Freemasonry, unaeza kui-search ukaona mawili matatu.

  Hoja ya thread haswa ni hili dudu liitwalo EAC, ambalo hakuna utetezi wa maana tunaopewa kwanini tunaingia, na media zinajaribu kutumanipulate kwamba 'umoja ni nguvu' which is senseless. Hoja inatakiwa ijengwe kwenye sababu sahihi na sio slogan au methali. Nia haswa ya kuunganisha nchi ni ku-break stubbornness inayoambatana na nationalism.Ndio sababu za kuivunja USSR plus many other Eastern Europe states, na kuzipeleka nchi zile kwenye EU baada ya ku-surrender mambo fulanifulani. Inasemekana the way forward itakuwa ni kuivunja US, na kutengeza union moja ya itakayojumuisha nchi nyingine za America.
   
 13. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #13
  Apr 25, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Nashindwa kuelewa mbona developed countries wanakataa New International Economic order but wako ready kuona EAC tukiungana faster?Ujenzi wa EAC Hedquoters uko sponsered na EU

  Hawa jama wanataka tuungane ili waeze kutunyonya tukiwa in block.Makampuni mengi yaliyoko kenya yanamilikiwa na wazungu na Asians,hao ndio watakaofaidi zaidi matunda ya EAC kuungana pamoja na viongozi wetu ambao ni selfish
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ben,

  You can imagine jinsi mabepari kwa kupitia Kenya walivocheza karata zao na kuivunja jumuiya ile ya kwanza ya miaka ya 70s ambayo ilikuwa ni self-driven, na sasa the same people wanafinance mambo ya jumuiya mpya(?)..It doesn't take a genius to see whats going-on.
   
 15. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  First off let as look at how this whole process of people governing themselves started off. During the early days of existence humans were loners then slowly families, clans then tribes started to form. After that we so the emergence of city-states then finally countries. Now we are seeing the efforts to centralize governance within continents( Eu et). So it follows are certain path that a global government is the ultimate goal. So I won't be surprised if that happens one day.

  Secondly, if this is the case, it won't be the first time a global government was attempted. Look at old empires that stretched across continents. As recent as the 20th century England(where the sun never set) ruled over nearly one-third of the earth. So it is possible that world powers are trying to form a global government when they still hold most of the power.

  Again these are all theories but one can see the possibility. If it is true it will take a lot of time, say a few centuries. I don't know whether this process is underay or not but I would certainly not dismiss it.
   
 16. h

  housta Senior Member

  #16
  Apr 26, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  NWO has got everything to do with religion!Fanya research yako utaona. Vitu hivi vilitabiriwa na kama unajua hostoria vizuri ya Freemasonry utaafikiana na mimi kuwa everything has been planned.Vitu havitokei tu ili mradi.Vitu vimeshaandaliwa tayari na vinatokea in phases.Phases hizi zinakuwa carefully executed not to create any doubts kwa sasa hivi.Once phases zote zikishakamilika utaona jinsi final implementation itakavyokuwa.Soma historia vizuri ya wato kama Rothschild family,Disney family et al.Hizi familia 13 zina control uchumi wa dunia na mambo yote yanayohusiana na decision-making kwenye serikali karibu zote za dunia hii.Nchi ikikataa kuwa controlled na huu muungano ndio unasikia mambo kama war on terror.The last time I checked nchi 6 tu ndio zilikuwa bado kuwa controlled na hawa watu.Nazo ni Libya,N.Korea,Iran...zingine nimesahau.Hawa watu wanacontrol all Central banks za nchi karibu zote.

  Kwa kumalizia tu yote haya ni EOD.Tengeneza njia yako.
   
 17. j

  jingoist Member

  #17
  Apr 26, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  eac ni soo hata bila mambo ya nwo. ni mbaya sana tunapokuwa hatujatuma clear msg kuwa hatukaki huo muungano wakati ni wazi kuwa hatutaki. at the end ni walewaleeee....viongozi wetu!! mara nyingine tunakosoana kuwa sisi wenyewe (raia) ndo wenye matatizo! sasa hapa mimi ambaye sio kiongozi ntawaambia wakenya hatutaki muungano kupitia wapi? maybe demonstrations/maandamano, which is unnecessary na kwa system zetu za kiutawala (bila demokrasia) ni ghali sana hii approach!!
   
 18. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #18
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Jingoist,

  Tatizo la EAC kwa Tz lina vyanzo vingi, mojawapo kaa ulivosema ni kukosekana kwa platform imara za kuelimisha wananchi au wananchi kutoa mawazo yao. Kwa mfano, hamna hata huko kwenye siasa chama ambacho unaeza kukiita Nationalist Party au Conservative Party vyene muelekeo wa kutetea waTZ kwa jema au baya. Vyama tulivonavo vipo ktk muelekeo mmoja wa kuchumia matumboni na ndo maana mikakati yao mikubwa ni kwenye kushiriki chaguzi ili wachumie tumboni vizuri. Pia pressure groups kaa zipo ni dhufulkhali, na zimekaa ktk staili ileile ya kuchumia tumboni. Hakuna pltaforms kwenye media serious ambazo wazalendo wanaeza wakakaa kitako kutema cheche na wananchi wakasikiliza.
   
 19. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnapo yaona hayo, changamkeni mkijua kuwa ule mwisho u karibu. Watajaribu kuunganisha ulimwengu lakini kabla hawajafanikiwa, Mfalme wa wafalme ataubomoa mpango huo kama ilivyokuwa katika mnara wa Babeli. Na huo ndiyo utakuwa ule mwisho.
   
 20. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mwisho hautatokea hivyo mkuu, ni kweli unaposema ya kuwa mnapoyaona hayo jueni ya kuwa ule mwisho umekuja. mwisho utakuwa hivii, Kanisa la Yesu Kristo litanyakuliwa kwenda kumlaki Bwana mawinguni, wawili watakuwa wakilima shambani au wamelala mmoja atatwaliwa mmoja ataachwa etc and such kind of staffs. hapa duniani, huu mfumo wa dini moja, uongozi chini ya mtu mmoja na mamlaka chini ya mtu mmoja ndo vitaanza kufanya kazi. kutakuwa na mtikisiko mkubwa sana wa kiuchumi wakati huo na more than great depression au economic recession watu wanayolia kwasasa. atatokea mtu mmoja ambaye atakuwa kama mleta matumaini ya uchumi bora duniani,atakuwa mtu wa amani kwa miaka kama mitatu na nusu, na atakuwa mtu mwuaji na mkatili ajabu kwa miaka mitatu na nusu baadae tofauti na ile trust ambayo watu walimpa mwanzono.

  hapo kanisa la Mungu litakuwa limenyakuliwa na dhiki kuu ndo itatokea, hapo ndo ile nama 666 itatokea kama alama, kama hauna hautauza wala kununua. KWA WALIOKO ULAYA, mnajua mabenki mengi hauingii mlangoni bila kuweka dole gumba mlangoni uchukuliwe finger print....hasa kwa nchi kama Ufaransa, Italia etc. Pia watu mlioishi france, Italy na nchi kama za uswiss mnajua kitu fulani kinaitwa Codice fiscale (Tax code) ambayo mtu anapewa halafu anakuwa connected kwenye system zote za nchi nzima etc. au hata vitambulisho vya kawaida tu. kwa hapa bongo, angalia ATM mashine zikigoma watu wanavyolalamika na kuomba nauli kwasababu hela haitoki, mwanadam mmoja anao uwezo wa kufunga kwa a single click watu wakawa hawauzi wala kununua, mambo yoote ya sayansi na teke linalokujia haya, ni maandalizi tu. miaka ya hamsini hakukuwa na matumizi ya credit madukani huko ulaya, lakini sasahivi watu wachache wananunua vitu kwa cash, pia miaka ya nyuma tz hakukuwa na machine ya kuchukulia hela ambayo kama wakiswich off south africa wakati wa mahesabu mfano kwa NBC, basi tena subiri kesho, bosi kaamua. so you can see how easy it is gonna be for the Anti-christ kuucontol ulimwengu woote kiganjani pake. na maendeleo ya dunia kwasasa, kiuchumi, kisiasa, kijamii, kisayansi na teke linalokujia etc, ni maandalizi ya mpinga kristo, hivyo SIKU YA KUJA KWA BWANA YESU IMEKARIBIA KULIKO TULIVYOKUWA TUKIFIKIRI ZAMANI. Heri wazifuao nguo zao katika damu ya mwana kondoo, wasije wakaingia uchi, wakapata aibu watu wakauona uchi wao siku hiyo. MWENYE MASIKIO YA KUSIKILIA NA ASIKIE.
   
Loading...