EAC an SADC - Rais Uhuru na Ramaphosa wa Afrika Kusini wapigiana simu na kujadili mikakati dhidi ya Corona

EYHjALnXsAAWfEb

Kwa hivyo ujumbe negates the fact Tanzania is Covid 19 high risk area? Think!
 
MY TAKE
Ikumbukwe mgonjwa wa kwanza Arusha aliingia Tanzania kwa kupitia Rwandair toka Brussel! Na pia wa Kagera alitokea Rwanda!
 
Na Rwandair imekuja juzi kubeba samaki kutoka Mwz kupeleka Brussels.
Si ndo maana mzee mzima JPM akaipotezea mikutano yao! Ona hii...

MY TAKE
While Kunyaland restrict movement at Namanga, Uganda does the same to Kunyaland at Malaba and Busia borders
 
MK254 sisi 🇹🇿 tuko busy na mikakati ya kuiba kura za wapinzani, na kuua upinzani kupitia NCCR MAGEUZI

Poleni ila Watanzania sidhani kama mpo tayari kwa siasa za upinzani au demokrasia, wananchi wenyewe washajichokea, kama hamkuwatoa CCM kwa mzuka mliokua nawo 2015 sioni tena, ingekua mnachagua kwa kuzingatia hoja, nahisi hii awamu ingeshindwa pakubwa maana had sasa hawana kitu hata kimoja hivi wamekamilisha kikaonekana, SGR yenyewe iliyokua ianze kutumika mwaka jana, nimesoma sehemu waziri mkuu anasema ndio sasa imefikia 77%

Aisei mnalo, poleni lakini, sema tu hili la corona duh! Yaani hamna jitihada zozote, tushukuru Mungu hiki kirusi kimehurumia Afrika kiaina maana kwa jinsi Tz imejichokea na kukata tamaa kwenye hili la corona, watu wangepukutika sana.
 
Nonsense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom