E-voting without fraud - Tanzania tutaweza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

E-voting without fraud - Tanzania tutaweza?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by epigenetics, Nov 5, 2010.

 1. epigenetics

  epigenetics JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: May 25, 2008
  Messages: 260
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45


  source: Vijana FM
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. A

  August JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  titaibaje kura? wewe una nia mbaya na sisi?
   
 3. admissionletter

  admissionletter Senior Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  E Voting haiwezekani Afrika kwa sababu mbili: (i) Watu wengi bado ni illiterate, matatizo ya umeme kutokuwepo na/au kukatika katika na (ii) Inategemea kuamini teknologia kwa sababu hakuna paper trail na observers wanakuwa almost hawana kazi (powerless!). Kinachofanyika ni kwamba observers wana verify machine kabla ya zoezi kuanza. Sasa "tsunami" inayoweza kutokea ni kwamba baada ya observers kupitia machine, mtu akizichakachua hizo machine ndio basi tena kakuna njia ya kuokoa jahazi sababu huna paper trail. Ndio maana US kuna baadhi ya States wamekataa e voting hasa baada ya experience mbaya na Florida. Wengi wanao advocate e voting kwa sasa ni makampuni yanayotaka kuuza machine na teknologia. Kuna uwezekano kwa e voting kutumika Africa kwa chaguzi ndogo ndogo kama za viongozi wa vyuo vikuu, vyama vya wafanyakazi, etc lakini si kwa chaguzi za taifa
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I think this is the best option to contain Lewis Makame and his Fraudful gang
   
Loading...