E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Haya mambo sidhani kama mkuu anaambiwa kwa lugha fasaha na akaelewa, kuna Bomu kubwa linaandaliwa hapa, mtaji wa Benki wa kuanzia ni 15bil na kwa ufahamu wangu tuna Benki chanche ambazo zina capital ya 200bil+ hili clause ya 10bil italeta shida sana kwenye banking industry.
 
soine

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,113
2,308
Hi Good People.

Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha,
Kabla ya kuedelea na hili naomba nikueleze kamba, private sector sio mshindani wa serikali bali ni partner wa serikali, ipo dhana ambayo serikali inajihadi kuimanisha hadhira kwamba private sector ni mshindani, this is totally wrong, ili kucatalize economic growth jambo kubwa ni kuhakikisha jamii inaelewa kwamba private sector engagement is inevitable.

Naomba nianze hvi.

Baada ya serikali kupitia TRA kuzibana benki kwa lengo la kuhakikisha zinacomply na e-tax banking, sasa hivi serikali imekuja na tender ambayo wanataka benk wakubaliane na TRA KWAMBA, kwa kila benki inayotakiwa kukusanya kodi za serikali lazima iweke deposit ya 10bil despite of the bank size na baada ya kudeposit hiyo pesa, bsi watapewa kibali cha kukuanya government tax na fao lao itakuwa ni 0.25% per collection.

Serikali inadhamilia kuua Banks, wapi tunaenda kupata 10bil? From creditors? From where?
Na hii ndo shida ya kuwa na watu ambao wako more of theory other than practical, sidhan kama mtu anayewaza sawa anaweza kuja na kitu kama hiki, this Government is more of control badala ya kufungua milango ya watu wengine washawishike na kuwekeza kwenye banking industry, practically,. Mimi ninapokusanya pesa ya serikali maana yake nadebit account ya mteja na kutuma pesa siku hiyo, why should I depost 10bil? Ingemake sense kubwa sana kama nadebit wateja and then nakaa na hiyo pesa kwa lengo la kuizalisha at lest 6months ili nijaribu kuangalia kama naweza kurecover 10bil niliyodeposit through Ivestiment. wao wanataka 10bil tupeleke BOT ikae pale kama ilivyo Statutory Minimum reserve, hii ni akili gani?

Serikali ina wafanyakazi 700max, private sector as a whole not less than 2.6mil. ili kucontrol unemployment rate lazima tuendelee kuencouradge private sector badala ya kuwasupress. Hivi haw watu wana nini vichwani mwao? Is it fine kwa hili wanalolifanya kweli? A lot of business are crossing down, people are loosing their jobs, multiplier effect is too massive lakini hili hawalioni?

Naomba kwa nafasi yako kama mbunge mwenye uchungu na nchi, tafuta tender moja au mbili ambazo zimetuma kwa banks usome kwa muda wako and then utafuta namna ya kuadress hili tatizo ndani ya bunge hili kabla halijaisha and then tujue namna ya kutoka hapa sababu kila mtu kwenye banking industry yuko kwenye cross road, we have a lot of pickels at the mid of this journey, tuliowatengemea watusaidie kutoka hapa ndo wa kwanza kuturudisha nyuma, dhamira ya hawa watu ni nini.

Je, akifikiri kuwa labda serikali haina pesa na inatazitaka zifanye hivi ili kupata pesa za kuendesha nchi, sidhani kama itakuwa sawa maana Rais mwenyewe kasema tuko vizuri, hazina wanasema tuko salama.

Ni nini maana ya haya yote? Tulikomaa na wafanya biashara kwa kuwakadiria kodi lukiki na nyingi hata wakafunga au kuhamisha biashara zao....Leo hii tunawaomba wafungue biashara zao.

Je, tukishawakamua wawekezaji na wafanyabiashara kitafuata nini? Je, ni kupunguza wafanyakazi wa umma? Kuanza kuhoji watu wenye hawala kubwa kwenye mabenki? Je, kodi ya kichwa itarudi? HIZI ni ndoto tu za asubuhi.

HAPANA sidhani kama tutafika huko, nchi iko salama na serikali inafanya kazi.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,550
18,022
Hizi ni measures gani za kiuchumi wanatumia haileweki kwa kweli.....
 
mkomatembo

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,477
811
Wewe huna basic knowledge katika banking systems!

Mimi nadhani wewe ndio usoelewa! Sasa hivi kuna baadhi ya BAnks ambazo zimeingia mkataba na TRA kukusanya TAxes , Domestic REvenues na d Comm for Customs , sasa hebu nikuulize, hiyo Bil 10, BAnks zikisema hazina na more obvious kuna Banks zitashindwa unadhani NINI KITATOKEA? Kodi itakusanya kama sasa hivi ambapo kuna urahisi wa kulipia kokote mtu anapotaka? je tumejitayarisha vipi ! Anyway ngoja tuone labda kuna neema inakuja
 
luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Hi Good People.

Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha,
Kabla ya kuedelea na hili naomba nikueleze kamba, private sector sio mshindani wa serikali bali ni partner wa serikali, ipo dhana ambayo serikali inajihadi kuimanisha hadhira kwamba private sector ni mshindani, this is totally wrong, ili kucatalize economic growth jambo kubwa ni kuhakikisha jamii inaelewa kwamba private sector engagement is inevitable.

Naomba nianze hvi.

Baada ya serikali kupitia TRA kuzibana benki kwa lengo la kuhakikisha zinacomply na e-tax banking, sasa hivi serikali imekuja na tender ambayo wanataka benk wakubaliane na TRA KWAMBA, kwa kila benki inayotakiwa kukusanya kodi za serikali lazima iweke deposit ya 10bil despite of the bank size na baada ya kudeposit hiyo pesa, bsi watapewa kibali cha kukuanya government tax na fao lao itakuwa ni 0.25% per collection.

Serikali inadhamilia kuua Banks, wapi tunaenda kupata 10bil? From creditors? From where?
Na hii ndo shida ya kuwa na watu ambao wako more of theory other than practical, sidhan kama mtu anayewaza sawa anaweza kuja na kitu kama hiki, this Government is more of control badala ya kufungua milango ya watu wengine washawishike na kuwekeza kwenye banking industry, practically,. Mimi ninapokusanya pesa ya serikali maana yake nadebit account ya mteja na kutuma pesa siku hiyo, why should I depost 10bil? Ingemake sense kubwa sana kama nadebit wateja and then nakaa na hiyo pesa kwa lengo la kuizalisha at lest 6months ili nijaribu kuangalia kama naweza kurecover 10bil niliyodeposit through Ivestiment. wao wanataka 10bil tupeleke BOT ikae pale kama ilivyo Statutory Minimum reserve, hii ni akili gani?

Serikali ina wafanyakazi 700max, private sector as a whole not less than 2.6mil. ili kucontrol unemployment rate lazima tuendelee kuencouradge private sector badala ya kuwasupress. Hivi haw watu wana nini vichwani mwao? Is it fine kwa hili wanalolifanya kweli? A lot of business are crossing down, people are loosing their jobs, multiplier effect is too massive lakini hili hawalioni?

Naomba kwa nafasi yako kama mbunge mwenye uchungu na nchi, tafuta tender moja au mbili ambazo zimetuma kwa banks usome kwa muda wako and then utafuta namna ya kuadress hili tatizo ndani ya bunge hili kabla halijaisha and then tujue namna ya kutoka hapa sababu kila mtu kwenye banking industry yuko kwenye cross road, we have a lot of pickels at the mid of this journey, tuliowatengemea watusaidie kutoka hapa ndo wa kwanza kuturudisha nyuma, dhamira ya hawa watu ni nini.

TRA are too mechanical,hawana some ABCs za uchumi, hawajui impact ya mamikataba kama haya, wakati Ghana wanapambana kuleta unafuu kwenye mabenki na wafanyabiashara wengine kwa kuondoa unnecessary taxes huku kwetu ndo tunapambana kuua kabisa hawa watu, we need someone who can think reasonably.
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
12,190
14,185
haya mabenki acha yabanwe kwani yameshashushiwa riba na BOT lakini ni benki moja tu BankABC ndio imepunguza riba ya mkopo hadi 11%, CRDB wao wanasema wamepunguza hadi 17% halafu mnakuja kulalamika tatizo walizoea kufanya kazi na serikali badala ya watu binafsi
 
Uelewa wako mdogo sana, hujui chochote
 
Killmonger

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
2,006
2,165
Fungeni muondoke. Tunataka wawekezaji wenye tija. Wapo wenye kuweza kuweka hizo 10 B bond wengi wataendelea. Hatuhitaji wababaishaji this time around.

Mkuu? Kinachohitajika ni deposit ya 10 billion au ni deposit cash ya 10 billion ?
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom