Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Google+ japo bado iko kweye beta sasa iko open kwa watu wote wenye gmail account kusajili a kuexperince. Lakini kilichonituma kucopy and paste a uzi haka ni huu uchahmbzui wa wataalam juu ya ushindani wa kiteknohama kati ya Google na facebook. Miaa ya nyuma Microsoft kwa kutumia bing aliamua kuingia kwenye biashara ya search engine iliyokuwa inahodhiwa na google na Sasa google kaamua kuingia kwenye e- social media inayohodhiwa na FB
Facebook Tries to be More Like Google+, Users Complain
Soma habari kamili google+ Vs facebook
Je
Facebook Tries to be More Like Google+, Users Complain
Facebook would never admit it, but Larry Page and company must be getting a bit under their skin. With Google Inc.'s (GOOG) release of Google+, Facebook has a legitimate international contender for the first time in years. While it still enjoys a massive lead, it's clearly a bit concerned, as it's made a series of sweeping changes which bring your friends and feeds a bit closer to Google+'s Circles and sharing.
I. Facebook: "Scared About Google Plus's Circles"?
Last week Facebook announced [press release] new friends lists. The feature automatically grabs lists of your friends who currently go to the same school as you, work at the same employer as you, or are in your family.
A "Close Friends" list was also added, which is left for the user to populate. This is similar to past lists in terms of sharing, but adds extra filtering to feed stories, so you can be sure to see all the posts from your "Close Friends". People in the list (like other lists) can't see the title of the list, but they will see each other's names.........
Soma habari kamili google+ Vs facebook
Je
- Wadau wanaojishughulisha na biashara trough mitandao hapa kwetu bongo wana nini cha kujifunza, kugain au kupoteza?
- Je mitandao mikubwa na global kama Google na FB ina pause challenege na opotunities gani kwa mitandao ya yetu midogo midogo ya kitanzania?
- Watanzania wenye mitandao inayoendana endana kimaudhui na mtandao mikubwa kam FB na mingineyo wafenyeje kujulikana ,kukubalika na kutumiwa na watanzania.