E-mails kati ya James Rugemalira na Rais Jakaya Kikwete zitamaliza kesi

Hata kama hawatafungwa, lakini kule kuwataja tu kwamba wanahusika ni ujasiri mkubwa. Maana huko nyuma hakuna aliyekuwa anathubutu hata kuwataja kwamba wamesaini mikataba mibovu.

Hakuna matusi mabaya kama kuambiwa na watoto wako ukweli hata kama hawatakufanya kitu.
 
Una maanisha pamoja na JPM kupangua pangua safu za nyuma bado anaweza kuangushwa? Hii sidhani kama inaweza kutokea kirahisi hivyo. JPM naona anafanya well calculated movements and he has got the good guy to help him find the best direction for the time being.

Hizi calculated moves aangalie tu zisije mtokea puani
viongozi halisi husimama na kuhesabiwa na kuweka process
ambayo open na inatabirika
 
Magufuli anamchimba JK huku akiuma na kupuliza. Anasema nendeni mkamuhoji Chenge, Yona, Karamagi etc ila JK hatajwi. Sasa akina Rugemarila wanashughulikiwa na along the way jina la JK litaibuka tu.

Safi sana Magufuli. Wasomeshe namba mpaka wajute kukufahamu. Japo huenda wasifungwe, ila cha moto wanakipata.

Muache mstaafu apumzike
 
JR is not stupid kama mnavyo fikiria

anazo paper trail ambazo zinaweza kuiangusha serikali. Na hapa siongelei email zilizokuwa humu JF kisha zikaondolewa. By paper trail nina maanisha nani alilipwa nini na lini na pesa ziliwekwa account zipi na baadae zilitolewa na nani....

JR ataimuimplicate JK (alikuwa waziri wa nishati na madini) na hii itawagusa watu wengi sana waliopo na wasiokuwepo.

The only solution ya hili jinamizi ni Katiba mpya lakini kwa kuangalia ile rasim ya katiba iliyopendekezwa means kuwa Rais Magufuli naye akiondoka ataweza kushtakiwa.

Hii movie bado mbichi sana na sidhani kama tutafika kokote kule. Unless JR apatwe na ugonjwa wa moyo....

Nitarudi shortly kuna wageni wamekuja

Tuwe na subira, kwa nini tuandikie mate?
 
Back
Top Bottom