E-mail ya Mch. Peter Msigwa (mb) wameidukua na kuitumia kuomba fedha

John Cannor

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
1,464
1,824
CkaUamtWEAEMMWH.jpg
Chanzo; Kutoka TWEETER ACC yake.
 
TCRA mpo wapi? Fanyeni kazi , kuna ma IT mtaani kibao wana ma degree na master hamtaki kuwapa ajira. siku watadukua hadi ya mh.
 
Mi naamini ni msigwa mwenyewe anaomba pesa baada ya posho kufutwa na naibu spika tulia...wabunge wa CHADEMA wameshaanza kufulia
 
View attachment 354769 Chanzo; Kutoka TWEETER ACC yake.
Huyu muongo, usikute alikuwa anaomba yeye mwenyewe (baada ya njaa kali kukosa hela ya posho na kunyimwa safari za mikoani ambazo zina posho). Sasa inaonekana huyo mtu tajiri aliyemuomba akaamua kuishare hiyo message kwa wadau, kuona hivyo Mh. kaja na hizi habari. Poleni CHADEMA, kama Mch. Msigwa alikuwa mtu safi sana ila baada ya kushirikiana na hao wapenda mlungula naye kawa mpenda mlungula
 
Huyu muongo, usikute alikuwa anaomba yeye mwenyewe (baada ya njaa kali kukosa hela ya posho na kunyimwa safari za mikoani ambazo zina posho). Sasa inaonekana huyo mtu tajiri aliyemuomba akaamua kuishare hiyo message kwa wadau, kuona hivyo Mh. kaja na hizi habari. Poleni chadema, kama Mch. Msigwa alikuwa mtu safi sana ila baada ya kushirikiana na hao wapenda mlungula naye kawa mpenda mlungula
Hivi hata siku moja maishani mwako huwezi kuandika jambo la maana? Kuna watu hata waki RIP ni ahueni kwa jamii
 
Sisi kazi yetu ni kuelimisha mtu kama wewe ambaye unaongozwa kwa rimoti toka mitaa ya ufipa. Funguka ndugu, njoo CCM, njoo tuungane na Dr. Magufuli kufanya kazi ya kuijenga nchi. CHADEMA ilishauzwa.
 
Huyu muongo, usikute alikuwa anaomba yeye mwenyewe (baada ya njaa kali kukosa hela ya posho na kunyimwa safari za mikoani ambazo zina posho). Sasa inaonekana huyo mtu tajiri aliyemuomba akaamua kuishare hiyo message kwa wadau, kuona hivyo Mh. kaja na hizi habari. Poleni chadema, kama Mch. Msigwa alikuwa mtu safi sana ila baada ya kushirikiana na hao wapenda mlungula naye kawa mpenda mlungula
Usifikiri kila mtu ana njaa kali kama wewe, Lumumba bana nikichomi.
 
Sisi kazi yetu ni kuelimisha mtu kama wewe ambaye unaongozwa kwa rimoti toka mitaa ya ufipa. Funguka ndugu, njoo CCM, njoo tuungane na Dr. Magufuli kufanya kazi ya kuijenga nchi. Chadema ilishauzwa.
We utamuelimisha nani? labda kawaelimishe wale nduguzo waliojitoa ufahamu ambao kila baya wao wanagonga meza tu.. njaa mbaya sana unaweza ukauza hata familia yako
 
Kama uelimishaji wenyewe ndio huu, ndio maana vilaza wamejaa huko
 
We utamuelimisha nani? labda kawaelimishe wale nduguzo waliojitoa ufahamu ambao kila baya wao wanagonga meza tu.. njaa mbaya sana unaweza ukauza hata familia yako
Kama alivyouza Dj familia yake na kumfukuza Dr Slaa?? Kama CHADEMA yako ilivyonunuliwa pamoja na wabunge wake wote?? Ktk nchi hii ni CHADEMA na wafuasi wake tu ndiyo wana bei, yaani mnanunulika!!!
 
Tena si unajua hana kondoo wa kuwachunga tena, hivyo unakuta kondoo wa mtaani ni very expensive!
vibinti vya vyuo pale Iringa mjini vinamuita PAPAA MSIGWA kwa ajili ya kuhonga..posho zimefutwa ataisoma namba sasa hivi
 
Huyu muongo, usikute alikuwa anaomba yeye mwenyewe (baada ya njaa kali kukosa hela ya posho na kunyimwa safari za mikoani ambazo zina posho). Sasa inaonekana huyo mtu tajiri aliyemuomba akaamua kuishare hiyo message kwa wadau, kuona hivyo Mh. kaja na hizi habari. Poleni chadema, kama Mch. Msigwa alikuwa mtu safi sana ila baada ya kushirikiana na hao wapenda mlungula naye kawa mpenda mlungula
Mnahangaika sasa UDC hamtaupata kwa Magu.
 
Back
Top Bottom