e-learnig Africa - WATANZANIA TUMEFAIDIKA NINI

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Nilipata nafasi kama supporter kwenye mkutano wakimataifa ulifanyika dar es salaam ujulikanao kwa e-learning africa na katika tathmini yangu kwa machache niliyoyaona ni kama haya

fursa ya kuona teknolia mpya ya mawasiliano inavyoweza kusaidia nchi zinazoendelea ikiwemo tz

idadi kubwa ya walioshiriki ni kutoka kenya, nigeria, uganda .................................................. na idadi ndogo ya facititator na participants wakitz.

lakustaajabisha ni jinsi wanausalama wetu walivyokua wakiwaziwia wananchi kuangalia maonyesho ya bidhaa ambayo yalikua (bure) free kwa mtu yyt. kwa kile walichokiita lazima uwe na kadi maalumu (beji). nilipata nafasi yakuwaulza waandaji ambao asili yao ni kutoka germani kwanini wamewapa wanausalama wenu masharti magumu.

alinijibu ivi nanukuu "Hatujawapa masharti hayo ya lazima kuwe na kadi maalum, maadam umekaguliwa unaruhusiwa kuingia. Na tumefanya mikutano mingi ya aina hii nchi nyingi za africa lakini kwa tanzania kwenu ni special case.

WATANZANIA TUBADILIKE
 
Back
Top Bottom