E L alishinikiza Dr Batilda kugombea jimbo la Arusha mjini.

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,051
2,205
Inasemekana mh sana EL(EDO LO WASAA) alipendekeza na kuwahakikishia wana chichiem jimboni Arusha mjini kuwa mwanamama huyu angepita kiulaini.
Ubaya wa tetesi hizi zinatokea bar moja maarufu mkoani Arusha.
 
ukweli ni kwamba alikuwa anampa kila aina ya sapoti yaani kama ni garama za uchanguzi basi hapa arusha zitakuwa juu sana kwa upande wa CCM..
 
Back
Top Bottom