official p-dozen
Member
- Jun 25, 2019
- 6
- 3
Jamani, nashida sana na vitabu vya kiswahili in soft copy,hakuna link ya group au page yenye vitabu vya kiswahili mnisaidieMkuu hauna Soft Copy unipe,?
By the way, hicho kitabu kilipigwa marufuku kwa sababu inasemekana kilikuwa kinaukashifu ukatoliki,
hasa huyo Rosa anafananishwa na Maria mtakatifu,
Pia riwaya hiyo inaakisi maisha ya viongozi wetu wanavotumia madaraka na fedha kuwanyanyasa wasichana...
Ndipo Rungu likapita na kitabu kikapigwa marufuku
Sent using Jamii Forums mobile app