e Government pay

Mwananchi A anataka kuilipa Taasisi ya Umma B kiasi cha shilingi C.

Taasisi B inatengeneza "Control Number" inayoonyesha A and C. Malipo yakifanikiwa yanawekwa akaunti D ya benki, na "Control Number" inafutwa.

Bonus: Kabla ya kufanya malipo yoyote kwa serikali unaweza kuhakiki "Control Number" ya GePG kwa kubofya *152*00# na kufuata maelekezo.
 
Control Number unapaswa kupewa na unayemlipa mfano. Chuo, TRA, Taasisi nk

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo ni moja ya maeneo yanayohitaji maboresho. Mtu ukitaka kulipia chochote serikalini ulitakiwa uweze kujitengenezea control number na kuilipa serikali. Badala yake watu hupoteza muda mwingi kwenye foleni za kutengenezewa "control number". Inapoteza maana nzima ya malipo ya kielektroniki.
 
Back
Top Bottom