Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,681
- 1,698
Wakuu, juzi kati kupitia kipindi cha asubuhi wanakiita Joto la Asubuhi Gerald Hando alikuwa na mahojiano na mwanasheria Fatuma Karume 'Shangazi'.
Nilibahatika kusikiliza kama dakika 30 hivi za mwishoni lakini nilivutiwa mno kwa namna ya ueledi uliooneshwa na pande zote yaani kati wa mtangazaji na mwanasheria.
Sijui kama wana utaratibu wa kurejea kipindi (mahojiano) kama hicho chenye mvuto.