E- commerce

kwa uzoefu wangu mimi ..ninachojua cost zake ni kutokana na yafuatayo:
1. wakati wa registration wa domain name yako : (USD 20 - 200 kulingana na package unayotaka :mfano Domain Name Registration Tanzania Domain Registration .CO.TZ
2. gharama za ku host hiyo domain..hapa inategemea maana makampuni ya kuhost yamejaa tele na kila mtu na bei zake na details zao...its your choice( from USD 5 -15: ingawa mara nyigi wanao register pia wanata huduma ya ku host mfano .TZ Domain Registration - .TZ Domains - Register Tanzania Domain Name .TZ
3. kutengeneza hiyo webpage...unaweza ukawa unajua kutengeneza/designing wewe mwenyewe..so utakuwa umeokoa gharama..ila zaidi ya hapo inabidi utafute mtu au kama ni kampuni wakutengenezee hiyo website..ambayo pia inategemea na bei za huyo mtu au hiyo kampuni kulingana na vigezo vyao...(from USD 200 na kuendelea kulingana na contents za website yako )
4. Gharama ya kuitangaza hiyo website yako ili watu tuijue..(inategemea utaitangazia wapi na vipi)

(so unaweza piga calculation za haraka haraka apo ukajua cost yako inaanzia wapi...ila ni vyema ukafanya utafiti zaidi online..)

Ukishafinikisha hayo na web yako ikiwa online..inabaki kazi ya kulipia u hiyo domain kwa ile kampuni unayotumia ku host domain yako ambayo mara nyingi ni unachagua kulipia kwa mwezi au mwaka...it depends! Baada ya hapo unakuwa unaendelea na biashara zako kama kawaida..
 
Nauliza inacost kiasi gani Tz,kufungua website for online sale?

Tafadhali mwenye ufaham naomba anipe jibu.
Mkuu kufungu website ya online sale sio issue kubwa sana ila itategemea na mauzo unayotaka kufanya na ugumu wa mifumo yetu ya malipo na kuaminiana.

Kuna mitandao mingi wanatoa hii huduma bure ila tu vya bure vinakuwa na restriction nyingi
Mfano mimi binafsi nasubiri bidhaa zifike toka nje na nimeanza kwa kutengeneza website yangu ili niweze fanya biashara online tembelea hapa ipo katika maboresho na bado haijaanza kazi
Bongo Store

Hawa jamaa wa miiduu,com wanayo ya free kama niliyotumia mimi lakini wanakulimit kuweka bidhaa 15 tu na futures kibao hupati hadi upgrade kwenda ya kulipia, na hapo wana bei tofauti kulingana na mahitaji yako watembelee Miiduu Pricing - Free Online Store, shopping cart, eCommerce web store

Uzuri wao Tamplets zao zipo rahisi sana kutumia, una drag na kudrop, au upload kisha una type maelezo au una copy na kupaste, hauitaji utaalamu mkubwa just a basic knowledge ya matumizi ya komputaHata hivyo itategemea na ukubwa wa biashara unayofanya, kama ni kubwa sana si vizuri kutegemea hizi website za kutengeneza kwa ku drag and drop inabidi uwaona professional wa kazi hizi wakutengenezee kitu cha uhakika na usalama zaidi

Ila kama ni hizi web zetu za kishkaji poa tu komaa na hao miiduu wapo powa na ukipata uzoefu utajua nini cha kufanya
 
Tatizo kubwa ni jinsi ya kuaccept payment, kama unataka kuuza kwa nchi za nje itabidi utafute payment processor anayekubali biashara za Tanzania kwa mfano PayPal haikubali Tanzania kwa kazi hiyo na wateja wengi watagoma kutoa details zao kama payment processor hawamjui.

Kama una access ya bank account ya nchi za nje na product unayotaka kuuza ni ya kawaida ningekushauri kutumia turn-key ecommerce providers kama http://www.corecommerce.com kwa hiyo wewe unakuwa hauna haja ya kuumiza kichwa kuhusu hosting, security, payment processing etc wewe unajaza product zako tu na ku customize website kidogo wao wanatake care mengine.
 
Tatizo kubwa ni jinsi ya kuaccept payment, kama unataka kuuza kwa nchi za nje itabidi utafute payment processor anayekubali biashara za Tanzania kwa mfano PayPal haikubali Tanzania kwa kazi hiyo na wateja wengi watagoma kutoa details zao kama payment processor hawamjui.

Kama una access ya bank account ya nchi za nje na product unayotaka kuuza ni ya kawaida ningekushauri kutumia turn-key ecommerce providers kama http://www.corecommerce.com kwa hiyo wewe unakuwa hauna haja ya kuumiza kichwa kuhusu hosting, security, payment processing etc wewe unajaza product zako tu na ku customize website kidogo wao wanatake care mengine.
Mkuu ni kweli kabisa usemacho
Tatizo la bongo huu mfumo bado ni mgeni kabisa, na hizi biashara za online zinataka mfumo strong na wenye securty nzuri kumlinda mnunuzi na utapeli.

Wenzetu ebay,amazon nk ni paypal ndio insuarence wao anaosimamia zoezi zima la malipo, unapotaka kununua kitu ebay unampa details zako paypal na yeye ndio ata process malipo kwenda kwa seller na ikitokea chochote paypal watakurudishia pesa yako maana wao ndio wamebeba dhamana ya kuhakikisha buyer ni wa uhakika hadi wakamlipa

Hapa Bongo sheria kama hiyo haipo,sana mtaishia kulipana kwa ku deposite kwenye bank acc, au mpesa kitu ambacho hakina security yoyote, na ningumu kama ulivyosema kutoa bank details zako kwa seller direct bila securty yoyote.

Hapa maranyingi inabakia kuwa website ni kama sehemu ya kujitangaza unabidhaa gani na anaye hitaji mnawasiliana na kuaminiana au mnaonana ana kwa ana na kuondoa dhana nzima ya online selling
 
Back
Top Bottom