DW radio wanaisema vibaya idara ya usalama

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,613
12,271
Radio ya ujeruman inazisema vibaya vyombo vya ulinzi wa Tanzania ikiwemo TIS wanasema wanatesa watu ikiwemo CHADEMA pia wamemuhoji Lissu na kiongozi wa juu wa CHADEMA.

Tunataka wakae kimya wakati tunajenga taifa, watoe ushahid wapi wamepata taarifa ni maafisa wa usalama?

Kipindi kilikuwa mbiu ya mnyonge leo 30/06/2016.
 
Watanyamaza kusema ndani ya nchi kwa kuwa radio zinaogopa kuwahoji wasije wakafungiwa bali radio za nje zitayaweka yote hadharani, hawataki wazifungie kama wanaweza.
 
Radio ya ujeruman inazisema vibaya vyombo vya ulinzi wa Tanzania ikiwemo Tis wanasema wanatesa watu ikiwemo chadema pia wamemuhoji Lissu na kiongozi wa juu wa chadema. Tunataka wakae kimya wakati tunajenga taifa.
watoe ushahid wapi wamepata taarifa ni maafisa wa usalama?

Kipindi kilikuwa mbiu ya mnyonge leo 30/06/2016.

Nenda ukawakamate uwahoji unataka sisi tufanyeje??
 
Radio ya ujeruman inazisema vibaya vyombo vya ulinzi wa Tanzania ikiwemo Tis wanasema wanatesa watu ikiwemo chadema pia wamemuhoji Lissu na kiongozi wa juu wa chadema. Tunataka wakae kimya wakati tunajenga taifa.
watoe ushahid wapi wamepata taarifa ni maafisa wa usalama?

Kipindi kilikuwa mbiu ya mnyonge leo 30/06/2016.
Waache wapige kelele,JPM anazidi kujenga nchi
 
DW wanaleta uchochezi..Inabidi tuwafungulie mashtaka.Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.:D:D:D:D:D:D
 
Mtoa hoja nafikiri ama hukusikia vizuri ama upo na mlengo furani. Kipindi kilikuwa kinamhoji mtu mwenyewe aliyeteswa na alitaja kwabisa nani walimtesa na walivyoenda kumtupa wakifikir kama amekufa. Ni mtu aliyekuwa anahojiwa na kituo cha DW ndiyo alikuwa anaelezea mwenyewe.
 
Radio ya ujeruman inazisema vibaya vyombo vya ulinzi wa Tanzania ikiwemo Tis wanasema wanatesa watu ikiwemo chadema pia wamemuhoji Lissu na kiongozi wa juu wa chadema. Tunataka wakae kimya wakati tunajenga taifa.
watoe ushahid wapi wamepata taarifa ni maafisa wa usalama?

Kipindi kilikuwa mbiu ya mnyonge leo 30/06/2016.
Wao waliandika na kutangaza kama ambavo wewe umewasikia ukaja kuleta huu uzi. Na ndiyo maana ya kila kitu ni habari, kama wewe hukuiona hiyo ni habari wao wameipa masafa makubwa zaidi kuliko hii ya kwako.
 
Back
Top Bottom