Dw radio nayo tarehe 28 october ilisema mpinzani mkuu wa jk ni lipumba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dw radio nayo tarehe 28 october ilisema mpinzani mkuu wa jk ni lipumba!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Singo, Oct 31, 2010.

 1. S

  Singo JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Anae wafahamu wahariri wa idhaa hii ya kiswahili dw radio niliyo ishusha hadhi yake kwa kushindwa fuata maadili naomba majina yao.katika habari yao ya tarehe hiyo 28 october saa saba mchana walionesha pindisha ukweli kwa wasikilizaji wa radio hiyo kwa kutangaza kwamba jk ndie atashinda bila toa sababu, na mpinzani mkuu katika uchaguzi huo ni lipumba wakati watanzania wamefuatilia kampeni na hamasa imeonekana wazi kwamba dr slaa amepokelewa kwa mikono miwili kuliko hata huyo jk ambae alikua akisomba watu na magari na kuwapa fedha kujaza mikutano yake ya kampen. Pia nauliza je udini udini unawafanya hivyo hasa kwa othmani miraji aneonesha kuwa bias sana katika uchaguzi wa tanzania kwa kumpamba jk(rejea meza ya duara tarehe 29 october). Heshima ya mtu kwa jamii ni bora kulKio hata hela wanazohongwa na kupindisha ukweli wa mambo. Mungu ibariki tanzania
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  98% ya Watangazaji wa DW wanatoka Pwani ya Tanzania. What do you expect from them??
   
 3. SOARES

  SOARES Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 6, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ng'wanangwa hapo simo au kwa vile ni watani wako. katika kuutafuta uhuru toka kwa mkoloni mweusi tunakuwa kitu kimoja. walioko nje hawawezi kutushauri kitu wao yaliwashinda wakakimbia
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Ni kweli ni watani zangu, lakini utani mwingine unapitiliza ....... kivipi mtu aseme Mshindani Mkuu wa JK ni Lipumba(Prof)? Mnyamwezi?

  Bora hata angekuwa Msukuma
   
Loading...