DW mna maslahi gani na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania?

Taarifa zake za habari za msiba wa mpendwa ilikuwa ni kupondaponda tu, ila yule wa upinzani alipofariki aliandaliwa kipindi cha meza duara na akasemwa vizuri sana
I remember walimwita Mandela wa Zanzibar na mmoja wa wachangiaji alisema toka kuzaliwa kwake hajawahi kuona mazishi yaliyohudhuria na watu wengi Kama ya maalim Sasa huo Kama sio unafiki Ni nini?
 
Kazi ya chombo Cha habari Ni kuhabarisha jamii juu ya kinachoendelea Sasa Kama chombo Cha habari kimechagua kuhabarisha mabaya tu na kuficha mazuri lazima tuwe na walakini nacho kuwa kina nia gani?

Na Kama chombo kinasimamia uhuru wa kujieleza kwa nini kisiwape fursa sawa kwa sawa ccm na upinzani then wananchi wachague kipi Cha kukibeba.
Sasa mbona TBC chaneli yetu ya Taifa hawaisemi hapa .. Kutwa kucha habari za CCM
 
Hahahahaha mpumbavu kweli wewe! Unaona chuki ya DW lakini chuki inayopandikizwa na msccm hadi kufikia kuteka, kutesa, kubambikia kesi kupoteza/kuua HUIONI!!! Hebu tuondolee upumbavu wako...
Mtu anayetukana anajionyesha kwa kiwango gani amefilisika uwezo wa kufikiri chuki zako dhidi ya ccm sizikupumbaze dw ni chombo Cha habari kazi yake ni kuripoti bila ya kuegemea upande wowote jukumu la kutoa hukumu haliwahusu
 
Hahahahaha mkuki kwa nguruwe siyo 😂😂😂 wewe kuniita mimi ignorant sawa ila mimi kukuita mpumbavu kosa 🤣🤣🤣 upuuzi wako mwisho lumumba siyo humu.

Mtu anayetukana anajionyesha kwa kiwango gani amefilisika uwezo wa kufikiri chuki zako dhidi ya ccm sizikupumbaze dw ni chombo Cha habari kazi yake ni kuripoti bila ya kuegemea upande wowote jukumu la kutoa hukumu haliwahusu
 
Tuondolee upuuzi wako hapa!!!! Vyombo vya habari vilivyo huru haviogopi kusema kweli kwa sababu havina hofu ya kufungiwa, wana habari wake kutekwa, kubambikiwa kesi fake kama Kabendera au kupotezwa/kuuawa kama Azory.
Umeongea fact !
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kazi ya chombo Cha habari Ni kuhabarisha jamii juu ya kinachoendelea Sasa Kama chombo Cha habari kimechagua kuhabarisha mabaya tu na kuficha mazuri lazima tuwe na walakini nacho kuwa kina nia gani?

Na Kama chombo kinasimamia uhuru wa kujieleza kwa nini kisiwape fursa sawa kwa sawa ccm na upinzani then wananchi wachague kipi Cha kukibeba.
Kwani TBC inawapa nafas sawa ccm na upinzani au hilo ulioni unataka tu vyomb vya nje viwape usawa
 
Ndio maana awamu ya tano iliamua kuvipiga pin hivi vyombo vya habari.Kwa upande mwingine serikali ilikua sahihi.
Haikuvipiga pini lolote,, DW na BBC zilikuwa zinaripoti kipindi cha mwendazake

Kama ilishindikana kuvifungia kwenye kile kipindi cha giza haitakaa itokee tena
 
Kazi ya chombo Cha habari Ni kuhabarisha jamii juu ya kinachoendelea Sasa Kama chombo Cha habari kimechagua kuhabarisha mabaya tu na kuficha mazuri lazima tuwe na walakini nacho kuwa kina nia gani?

Na Kama chombo kinasimamia uhuru wa kujieleza kwa nini kisiwape fursa sawa kwa sawa ccm na upinzani then wananchi wachague kipi Cha kukibeba.
Unapoteza muda ndugu, kama lile dubwana lilishindwa kuvifungia, havitakaa vifungiwe tena

Hao wasemaji wa Srrikali wanapigia simu ili watoe ufafanuzi ila hawapokei, sasa watawahoji vipi?
 
Sisi Kama Watanzania bila ya kujali tofauti tulizonazo tuna jukumu la kusimama kwa pamoja na kulinda maslahi ya nchi yetu dhidi ya yoyote mwenye nia ya kutugawa.

Mimi Baba Morgan Ni miongoni mwa wasikilizaji wazuri wa DW/Swahili yenye maskani yake mjini Bonn nchini Ujerumani hata hivyo Mimi Ni miongoni mwa vijana wachache tulioamua kuegemea kwenye mantiki zaidi na kuacha kuegemea kwenye kihisia.

Ni kwa muda Sasa kituo hichi Cha kimataifa kimeshindwa kudhibiti hisia zake za chuki dhidi ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania taarifa na vipindi vyake vinaegemea katika kuichafua taswira ya uongozi wa Tanzania.

Wachambuzi wanaopewa nafasi ya kuongea kwenye redio hiyo Ni wale ambao wanaoichukia serikali wanatanguliza hisia zao zaidi kuliko hali halisi ilivyo na ukweli Ni kuwa hao mnawahoji ni sehemu ndogo ya Watanzania haiwafanyi kufika hitimisho kuwa wanayoongea ni misimamo ya Watanzania.

Najua mlimchukia sana hayati na mlifurahi siku ya kifo chake hamkuwahi kumsema kwa mazuri hata siku moja ukweli ni kuwa sisi Watanzania tulisikitishwa na kifo chake licha ya mapungufu ambayo hayati alikuwa nayo na ushahidi Ni mazishi yake jinsi Watanzania tulivyojawa na simanzi kwa Sasa mnataka kuendeleza chuki zenu dhidi ya Mh Raisi mama yetu kwa kuanza kukosoa matamko yake.

Mwisho.
Ni vyema kutumia taaluma yenu kuhimiza umoja kwa wananchi bila ya kunyoosha kidole kuwa fulani Ni mbaya kwani Kufanya hivyo mnapandikiza hisia za chuki dhidi ya ndugu na mhakikishe kuwa taarifa na vipindi vyenu vinalenga zaidi kwenye mantiki kuliko ushabiki.

From northern part of Tanzania.
Umesema Magufuli alikuwa na mapungufu? Lini TBC waliyasema hayo mapungufu yake ili wananchi wa Tanzania waishi wakijua Rais wao ana mapungufu haya waendane naye.
Tutajie pungufu moja wapo la Magufuli na lini uliwahi kulisema kabla ya kifo chake?
 
Kazi ya chombo Cha habari Ni kuhabarisha jamii juu ya kinachoendelea Sasa Kama chombo Cha habari kimechagua kuhabarisha mabaya tu na kuficha mazuri lazima tuwe na walakini nacho kuwa kina nia gani?

Na Kama chombo kinasimamia uhuru wa kujieleza kwa nini kisiwape fursa sawa kwa sawa ccm na upinzani then wananchi wachague kipi Cha kukibeba.

Ni sawa ila kama CCM hawajalalamika juu la hilo au hawakuliona hilo basi jua papo wanaposemea yao na yanaenda wewe tu ndio unapishana na Habari zao

Na pia kama unaangalia mara kwa mara DW basi jua unapendelea habari zao aidha zina mvuto au zinaeleweka
 
Back
Top Bottom