DV-Lottery 2020 (BAHATI NASIBU ya kuhamia Marekani) Ameanza rasmi,-Changamkaa!

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Naam,

Ni ile Bahati nasibu pekee na ya aina yake inayokuwezesha Mtanzania kuhamia MAREKANI,
Bila zengwe wala longolongo.

Itambulike,
Hii ni Bahati nasibu,
Inavyo vigezo na masharti maalumi vya kufuatwa na kuzingatiwa, mojawapo ikiwa ni Elimu ya Juu kwa mifumo wa Elimu wa Marekani,
(Kuanzia KIDATO CHA NNE kwa TANZANIA)

Ni utaratibu wa kila mwaka kwa Nchi kadhaa teule,
TANZANIA tumo.

Ingawa zitakuwepo gharama (Ambazo hulipiwa UBALOZINI) kadiri mchakato unavyoendelea ukifanikiwa kuchaguliwa,
Hatua ya kuicheza Bahati nasibu hapa mwanzoni NI BURE.

Hata hivyo,
Unahitajika umakini kujua nini hasa kinatakiwa kujazwa ili kujiondolea uwezekano wa kuenguliwa mbeleni,
Hasa iwapo utafanya makosa wakati una icheza Bahati hapa mwanzoni.

Narudia tena,
Utaratibu wa kuicheza ni BURE na hulazimiki kumtumia wakala wa kukuchezea ingawa kuepuka makosa ambayo yanaweza kukugharimu baadae ni vyema kumtumia Mtu ambae anajua na kufahamu nini kinahitajika kuanzia MWANZO hadi mwisho,


NA HAPA NDIPO NINAPOKUJA MIMI.

Kwa gharama ndogo sana njoo tuelekezane,
Tubahatishe na tuombe Mungu huenda Bahati ikawa yako.

Nipigie:+255714591548.

La ikiwa unajiamini unaweza kufanya mwenye,
Soma maelezo kwa umakini kisha endelea,
Ila usisahau ukifanikiwa si vibaya unanikumbuka hata kwa vizawadi

https://travel.state.gov/content/da...Translations/DV-2020-Instructions-English.pdf

Nawasilisha.
 
Wewe kwanini usichangamke ukaenda Marikani mkuu? Au umeridhika na maisha ya udalali wa vyumba na fremu kibongo bongo?
 
Back
Top Bottom