Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Sep 19, 2011 #1 (Mtoto);Mama hivi kwanini huyu jirani yetu anatupatia misaada mingi sana? (Mama);Kama kila kitu ningemtegemea baba yako hata wewe usingezaliwa!
(Mtoto);Mama hivi kwanini huyu jirani yetu anatupatia misaada mingi sana? (Mama);Kama kila kitu ningemtegemea baba yako hata wewe usingezaliwa!
TANMO JF-Expert Member Apr 12, 2008 11,510 11,271 Sep 19, 2011 #3 kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo?
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Sep 19, 2011 Thread starter #4 TANMO said: kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo? Click to expand...

You are right!
TANMO said: kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo? Click to expand...

You are right!
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 19, 2011 #5 huh..................akija huyo baba wa kambo amabae ndo namtambua nampa ukweli
Mtego wa Noti JF-Expert Member Nov 27, 2010 2,591 1,599 Sep 19, 2011 #6 kuna baadhi ya vitu ukiambiwa unaweza kuzimia hasa zaidi kama we ndio mwenye mali...
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Sep 20, 2011 #8 Mama kazidi kwa utegemezi kuliko hata serikali ya jk
NG'ADA Senior Member Sep 2, 2011 152 15 Sep 20, 2011 #9 finally nimenyoosha mbavu zangu...thanks jaguar...
Mtalingolo JF-Expert Member Aug 4, 2011 2,181 409 Sep 20, 2011 #10 Duuh naenda kusema kwa dingi, tena namfata hukohuko kazini.
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,781 Sep 20, 2011 #11 na hiyo misaada jamaa anatoa ni kwamba analea mwanae kwa style ya ku-out source.inakubalika hiyo! TANMO said: kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo? Click to expand...

na hiyo misaada jamaa anatoa ni kwamba analea mwanae kwa style ya ku-out source.inakubalika hiyo! TANMO said: kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo? Click to expand...

Jamsuldash Member Jul 14, 2011 69 24 Sep 20, 2011 #12 Duh! huyu baba wa kambo kashndwa kutoa huduma zote kipesa hadi mambo yetu yaleeee. . . .
Jaguar JF-Expert Member Mar 6, 2011 3,438 1,026 Sep 20, 2011 Thread starter #13 Mtalingolo said: Duuh naenda kusema kwa dingi, tena namfata hukohuko kazini. Click to expand...

Nenda kaseme ili utimuliwe uende kwa babako halisi mchoma mkaa!
Mtalingolo said: Duuh naenda kusema kwa dingi, tena namfata hukohuko kazini. Click to expand...

Nenda kaseme ili utimuliwe uende kwa babako halisi mchoma mkaa!