Duuuh kumbe kutawaliwa na wazungu pays a lot....sijui tumrudishe cameroun? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duuuh kumbe kutawaliwa na wazungu pays a lot....sijui tumrudishe cameroun?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kapwani, Jun 18, 2010.

 1. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa ni greenpoint stadium cape town...South Africa

  [​IMG]
   
 2. M

  Malunde JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Weusi wa sauzi wanaongoza siasa lakini sio uchumi.Kutawaliwa na wazungu pays alot but, who gets the lion share?
   
 3. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndiyo una hoja...ni yale yale ya kusema kuwa tuna masupamaketi makubwa tena yana bidhaa za quality nzuri ilihali wananchi wengi hawana uwezo wa kuingia na kununua kilichopo...your absolyutli right but ina maana hawa wa south hawafaidiki kwa lolote? hata barabara nzuri .....sijafika south sijui kama kuna barabara mpaka vijinini au uzunguni tu...sijui vyou vyao wanasomaje? wanalipa kama sisi au inakuwaje? mbali ya huduma za afya na za kijamii kama makji safi! je maisha ya mswahili wa tz au malawi yanafanana na mswahili wa south africa?
  mix with yours
   
 4. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  badala ya kwenda kuwahamasisha watu watoe viongozi wabovu we unafikiria kutawaliwa kisa uwanja wa mpira au sijui hayo magorofa pembeni. Kipi bora kujijenga au kujengewa kwa masharti? watu bwana sometimes kabisa unafikiria kutawaliwa na mzungu mwenzetu.
   
 5. g

  gutierez JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 1,254
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  baba usipime wenzetu wameendelea,ndio raia wanatubu ni upumbavu wao wenyewe hawataki kazi na kujituma wanataka serikali iwafanyie kila kitu,wewe huduma za jamii unaumwa unatibiwa bure na unapewa breakfast kusubiri kumuona dk haijalishi raia au mgeni hiyo ukiona hakuna basi hiyo sehemu mweusi kaingia ndio katoa mambo hayo,wasiojiweza na hata wanawake wakizaa mtoto analipwa kwa mwezi sema nayo siku hizi kuingia kwa mweusi anaanza kuondoa mambo haya,ila uongozi wa mweusi nao unaanza kuhalalisha rushwa,walikuwa hawajui rushwa kabla hawa watu.hiyo ni mother city,kaapsta,ekapa,sasekapa,cape of good hope majina yote hayo.
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Unapinga tu bila kuangalia fact, hata kama mtu mweusi ana uwezo wa kiakili labda hata zaidi ya Nzungu, lakini maendeleo ya kweli kwenye nchi ni lazima Mzungu awepo, hiyo ndio fact ya dunia ya leo.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni Cameron na sio Cameroun,pia kuna Cameroon.......naona hata wana habari wetu wanamwita Kameruni badala ya Kameroni
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sijuio sisi tulitawaliwa na mwarabu?
   
 9. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  yes ..ndo maana vape town ni miongoni mwa Majiji bora duniani
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mimi nadhani nchi za Kiafrika ambazo zina sizeable population of Europeans kama raia na sio wa kuja na kuondoka mafano SA,Zimbabwe,Kenya,Namibia,Botswana hata Angola kidogo zina maeneleo macho ukilinganisha na zile full wakwere kama sisi...kwa nini...sijajua bado
   
 11. Makalangilo

  Makalangilo Senior Member

  #11
  Jun 21, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waarabu ni sawa tu na Wanyamwezi,Wazungu wao ni tofauti wana akili na maarifa na wameendelea sana.Bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu labda tungekuwa kama Sauzi.
   
 12. bona

  bona JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  we should at least let germans in this country to stay longer, lets face it we cant do it ourself!!!!!!!!!!!
   
 13. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hivi ina-maana fact ya maendeleo ni kuwepo kwa wazungu, hivi unajua siasa zao zilivyokuwa azina mchezo wa kijinga kijinga kama sisi. Tuna raisi ambae ajui kwanini sisi maskini uchaguzi umebakia miezi michache leo kachukua form na atashinda kwa vishindo. And how do you expect any changes, kama raisi mwenyewe kaitoa nchi hipo kwenye uafuaeni kidogo na kuipeleka katika mahala ambapo inflation it seems is beyond control, ajira wawekezaji wanaona bora walete wageni, mashirika ya umma wapiga mahesabu kutoka bangladeshi, viongozi awana imani na wananchi kuleta maendeleo wanaona bora ije hiyo EAC. Bado mnaenda mpa miaka mitano mingine, hivi unajua Cameron anacho kifanya sasa kupunguza madeni yao si sawa na yetu kabisa kaka the're are talking about £476 billion.

  Bado ana challenge za kuakikisha ajira hazipotei kiivyo na aje na mbinu mpya za kuleta ajira kwenye cuts zake, kukuza uchumi wao kwa namna nyingine without government spending. Hayo mambo haya itaji mzungu yanahitaji kichwa tu apparently JK ana. Hata wazungu wanaelewa ni kichwa tu sometimes despite their racist approach inapobidi muweke mwenye yeyote atakae leta maendeleo a good example is 'Mr Tidjane Thiam' its for you to figure his job.

  Sisi tunauwezo kishinda wao tuna ardhi kubwa mno ya kututosha wote the next phase is the right minds not JK wala mzungu ndio tuanze kuangalia vitabu vya facts. Ni kitu ambacho if im honest huelewi hizo facts zenyewe (based on your awareness of facts) it would be point less for me to argue them, it likes 'kumpigia mbuzi gitaa', pointless and waste of time. Tusione vinaelea vimeundwa embu tujifunze vimeundwaje na si kupenda vitu rahisi rahisi tu na quick fix.
   
 14. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Penye red....hapo ndipo ninapoona umuhimu wa kurudi chini ya himaya ya cameroun
  Penye pink hapo ndio kuna mdoto za mchana kweupeeeee

  mix with yours
   
 15. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  May be baba! hilo naliwaza kila siku....nilalapo niamkapo ni heri mama weee!
  mix with yours
   
 16. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu pia ni ukweli mwingine
  mix with yours
   
 17. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nisamehe sikijua kama makaburu wamejenga hayo yote kwa masharti mkuu. Pia zoezi la kuhamamsisha watu watanzania wachague kiongozi bora huku wakiwa na njaa hii naona ni ndoto ya mchana ndio maana......unajua demokrasi inavyofinyangwa hapa do you thik watu hawa wanategemea kura kujitangazia ushindi? mimi nasema hii ni ndoto ya mchana....
  Naona kuliko raisi wetu kushinda ulaya na USA anaomba bora wale jamaa waje tu huku...itapunguza hata gharama za utendaji serikalini....wao kutuongoza kwa rimot ina cost sana.
  Pia huu mji si maghorofa tu na uwanja.....hiyo ni mind set....ni fikra...watu wamekaa wamefikiri ..kisha wamefanya kazi na nature ...kukapatikana jambo la aina hiyo....kuchemsha bongo kwa aina hii nani anataka huku kwetu?
  Nani yupo tayari kuamini kuwa dhahabu zetu, tembo, mito namilima yanaweza kuzaa Tanzania ya kupendeza??? kucheza na maliasili iliyopo tupo tayari? na kama hatupo tayari .....kwanini mimi nisimtamani cameroun? kama hatujiamini tunawaamini hawa na kuwauzia kila kitu kwa bei poa kwanini wasije kukaa tu huku? sema kwa wao itakuwa gharama kuendesha makolono kwa sasa kwa upande wao ni bora ikulu yetu itenge mabilioni ya safari za viongozi kwenda kuchukua madesa na ahadi kwao.
  Mix with yours
   
 18. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Bona, this could be another Berlin of Africa,
  Waafrica tumeproove hatuwezi wenyewe, tazama mfano wa Haiti na Dominican republic, kwa miaka 25 baada ya Uhuru, hizi nchi zilikuwa moja, na kwa bahati nzuri chini ya Mwafrika, baadaye the Mulatos wakajitenga, wakawapush waafika in the North (Haiti). Sasa hivi ukienda Dominican republic, unaweza ukadhani uko Europe while it is opposite in the other side (Haiti) hii ni proof tosha kwamba Hatuwezi, tuna tatizo donda ndugu. let's admit the facts
   
 19. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Panga pangua huu ndio ukweli ambao hata CCJ na conservativu pati ya UK wanaujua
  Mix with yoours
   
 20. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #20
  Jun 22, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwapani,
  Where you mentioned concern kwenye hiyo red yako, mi naita ndio ukweli wenyewe JK cannot produce the goods and has no tricks left under his sleeves. Hiyo isiwe only a concern tu bali it needs to be your worst nightmare (assuming you really care about tanzania), he is getting another term to mess up even more. Mungu wangu sijui tutakuta nini wengine tukirudi kwenye mabanda yetu huko uswazi.

  Things don’t just happen a process has to occur to turn into a different state and clearly JK is not the right catalyst for Tanzania progression. I don’t blame him much, but the system that allows people like him to get into high office yet we know scientific facts don’t lie the relation between a bozzo and succes will produce a weak correlation.

  Tunaona matokeo ya JK na utendaji wake ni ushamba wa hali ya juu sijui mechi za mpira, miss allocations of social funds almost in every public sector, zero policing of policies where lots of funds disappear na hizi ni sehemu ambazo hata hao akina Lowassa hawana makono.

  Siitaji kukwambia namna yake au idea yao uwekezaji yaani hapo huwa napata kichefu chefu mara nyingi nikisoma. The problem yaani tujue si yeye tu bali the whole team stinks either hao washauri wake wanamshauri ujinga kwa faida zao au wote mazuzu wa hali ya juu, im gonna go with former. Kibaya zaidi atashinda tena kwa vishindo na nyimbo ataimbiwa na ngoma atachezewa.

  Sasa hapo hata akija huyo mzungu atakwambia first we need to get rid of leaders like them, that is just common sense. Pili atakwambia we need to educate the masses that praises leaders like those huyo kama anania ya kutuletea maendeleo kwa sababu wote hao ni matatizo na ni kama complimentary goods.

  Vinginevyo ukitaka ya SA mjengewe watakuja walambe ardhi wawajengee hayo maendeleo butu kupitia resources ambazo tunashindwa kuzitumia sisi wenyewe kwa kuwa tuko busy kuendekeza binadamu wasio na uwezo kushika nchi na kuendelea kuuchekea mfumo ambao unaleta matatizo haya over and over again. For one simple reason wenye nchi bado hawajajua nani ana majukumu yao mpaka hapo(wenye nchi waelewe siasa) amna jipya Tz wala africa.

  Kwenye pink unapoongelea ndoto hapo kaka ndio inabidi u-mix na vitabu, zako kutoka kichwani utaona ni ndoto tu. Hila the guy is doing it as we speak and he is even thinking where else to go cut ndio ukweli wenyewe.

  Sasa basi remember I told you siasa zao azina ujinga ujinga, some of those cuts are gonna produce huge job losses na watu wana ma obligation ya ma mortage na kadhalika ndio watafidiwa for a duration, lakini what about their future trust me critics expect another strategy of returning these people to work. Hivyo inabidi ajue mbinu aliyo nayo or else jamaa watamkalia kooni kwa kupoteza ajira something a western a politician is not supposed to do. Of course debt is supposed to be paid lakini responsibly sio radically at the cost of peoples’ welfare.

  Hiyo ndio challenge yake si ndoto kaka hiyo bali ndio ukweli wenyewe or else coming the next election he is out. People dont care much about owing or the speed of paying the debt, people want safety in their lives and not uncertainties’, the second world war debt the last cheque was written in 2004 or 02 im not sure between the two.

  The new PM already he has angered some with false promises of not cutting front line services wakati kesha anza kata matumizi ambayo serikali ya awamu iliyopita ilitenga hela kwa ajili ya hospital mpya yeye kazuia who knows what will follow in his time.

  Kama nilivyosema this is not a joke if people are worse off under your leadership say goodbye. And he just like JK had long term ambitions of being a PM, though unlike JK he is a proper economist, therefore one would assume he knows his challenges and his marching orders if doesn’t deliver. Simple as that no ndoto at the job, you either deliver or face the suck from the public.

  Sasa ukitaka kumpa nchi huyu bwana atakujengea very little utaona maendeleo, kwa kuwa we do nothing on the other hand he will take a lot. Huko SA maskini wote ni weusi na mashamba yote ya wazungu its for you to find what percentage of those produce leave the coountry. People are gonna pay taxes, the government would put that money into football pitches, mabarabara lakini black south african ujue watakua maskini tu unless the system changes.
   
Loading...