Duuuh! Hivi huu ushirikiana hadi ulaya upo kweli maana sasa sielewi.

Hakuna nchi iliyobobea kwenye ushirikina kama South Africa. Hivi sasa wanaomba mswada watambuliwe na masomo yafundishwe vyuoni.
bdff71ca78f959c50077504f5892c183.jpg
 
Mzee shinyanga halifariki alipoenda kufata pesa zake zilizokuwa ndani ya nyumba (guest house) mwanza mjini iliyokuwa inaungua sasa baada ya hapo ndo majanga tena yakafuata mzee wa watu akawa marehemu
 
Ni vigumu kuthibitisha haya mambo sababu evidence sayansi inakataa ila uchawi na ushirikina vipo.
Sio maskini sio tajiri wote huvitumia. Maskini wanawanga na kuroga matajiri hutoa kafara wapate mapesa.
 
Mzee shinyanga halifariki alipoenda kufata pesa zake zilizokuwa ndani ya nyumba (guest house) mwanza mjini iliyokuwa inaungua sasa baada ya hapo ndo majanga tena yakafuata mzee wa watu akawa marehemu
Kwa hiyo tukio la kufa kwake lilihusiana na ushirikina mkuu?
 
No' huku ulaya hakunaga issue hizo....
Ispokuwa baadhi yao ambao wamejiunga na chama cha kuabudu Satan
< freemasons > ndio huwa wanasacrifice
watu haswa in Africa....
pia waafrika wenyewe haswa Tanzaniano
huwa wanabebaga mailizi yao eti wapate kazi au wapendwe na wazungu bu*l*sh*T...
Wakinogewa huwapigia simu bbu zao...utasikia## bbu' kuna mtu hapa naona ananizidi kete...ss mpepelushe...Yo Yo Yo
after 2 weeks...unaanza kupamis Tz...kinachofuata mi cjui•
 
Itakufaa nini ukipata kila kitu kilicho ndani ya dunia hii halafu ukakosa kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
 
Back
Top Bottom