Mmmhh! Sio kama hivyo mkuuhapo anapunguzwa uoga.
Hatari sana hii Clueless14:Aki nitakumeza mzima nikiona unamfanyia mwanangu hivi. Ukikosea kumdaka utaniambia nini hivi?
unashtuka nini wakati mtoto anapaa kama boeing mpya
Huyo mtoto atadakwa na Mavi. Atakunya.
Anamfundisha ukomandoo
Hapo kwa haraka haraka huyo ni baba wa kambo