Duuh...hii miti pembeni ya barabara noma

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,143
15,130
252186_164838276913795_5347606_n.jpg
 
Kaaaa!hapa alipona mtu kweli?mbaya zaidi kama uliazima halafu ukawa hai unaweza ukajiua...
 
Hii ni moja ya dawa za kuondoa kitambi, na kupunguza uzito.
Kadi ya gari benki, bima daraja la tatu.
 
Mimi na third party ni kama uji na mgonjwa -mwaka wa ishirini sasa.
Yaani usipopata noma yoyote aaah raha tu, ishu itokee noma kubwa afu gari bei mbaya na bado mpya...lazma uogope aisee,ni Mungu saidia tu
 
Mimi na third party ni kama uji na mgonjwa -mwaka wa ishirini sasa.

Me nakatia comprehensive. ..roho inauma..tangu niendeshe sijawahi gonga..wala kugongwa..next year nampango nikate third part ss ukute ndo ntapata msala mmh ntajuta
 
Back
Top Bottom