Kaaaa!hapa alipona mtu kweli?mbaya zaidi kama uliazima halafu ukawa hai unaweza ukajiua...
Mimi na third party ni kama uji na mgonjwa -mwaka wa ishirini sasa.Acha tu...hizi third party hadi naogopa aisee natamani nipark tu hadi nikatie comprehensive...hatariii
Mimi na third party ni kama uji na mgonjwa -mwaka wa ishirini sasa.
hahahaaaa hatuchekani mkuu yaani majanga tupu unatembeza gari huku unawaazaaa...aaah basi tuNgoma ni kwetu tunaokatia third party
huu msitari wa mwisho unapelekea mstari wa juu ugeuke kuwa kifo cha dharula...Hii ni moja ya dawa za kuondoa kitambi, na kupunguza uzito.
Kadi ya gari benki, bima daraja la tatu.
huu msitari wa mwisho unapelekea mstari wa juu ugeuke kuwa kifo cha dharula...Hii ni moja ya dawa za kuondoa kitambi, na kupunguza uzito.
Kadi ya gari benki, bima daraja la tatu.