Duuh!!!! hii kali

CaptainDunga

JF-Expert Member
Jul 17, 2009
1,567
1,375
GEORGE: Mke wangu duniani kuna watu balaa kweli yaani kha!.
LAURA: Kwanini mume wangu?.
GEORGE: Huyu jirani yetu mlango wa pili. nani huyu wanamwita Massubo sijui.
LAURA: Eee kafanyaje tena mume wangu?.
GEORGE: Kha! nasikia kashatembea na wanawake karibu wote mtaani hapa, kama kabaki mwanamke ambae hajawahi kutembea nae, basi mmoja tu.
LAURA: Mh!. huyo atakua mama Sule tu maana mwanamke mkorofi yule sijapata ona. na ni mropokaji sana.
 
Back
Top Bottom