Duu! Lecturer wa chuo ataga baada ya kupigishwa paper | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duu! Lecturer wa chuo ataga baada ya kupigishwa paper

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by KYALUMUKUNZA, Aug 29, 2012.

 1. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  jamani ajabu na kweli jamaa alieomba nafasi ya tutorial assistant (lecturer) katika chuo cha mwalimu nyerere memoral academy(MNMA) matokeo yametoka angalieni (PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS) amelamba zeroooooo! kwa lugha nyingine ametaga najiuliza jamaa amemaliza chuo gani na je angemfundisha nani au na wahitimu wa sasa wa vyuo nao wanamaliza vyuo hawajui kusoma na kuandika? naomba kuwakilisha.
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  mbona hiyo kawaida? Wewe kama ulipiga one form six unafikiri tukikurudisha utapiga tena div one? Sioni ajabu .. Kuna utaratibu tu haujafuatwa hapa
   
 3. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  inategemea na mtihan ulivomkuta
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 679
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mwanangu hiyo title yako imeniacha hoi mbaya..
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  He he he heeeeee chezea elimu ya bongo wewe!!
   
 6. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  WEWE na we ni mtoto kufeli si kitu cha kushangaza unajua alikuwa katika hali gani wewe wangekua wanafaulu wote pepa ya nini?jipange na ukue mambo ya kuponda watu hayafai ingekua ni wewe umepondewa ivo ungefurahi?watu wengine sijui wakoje
   
 7. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  duh,hiyo kwel,inategemea alimaliza chuo miaka ip,na mtihan ulivyokua,kufel ktu cha kawaida,kwani wanaoenda kuchukua phd wote wanafaulu
   
 8. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  acha ushamba wa kupindukia nimeleta hiyo mada ili watu wachangie point na kuchambua hivi jiuliza kama jamaa amemaliza chuo na anavyeti na GPA KUBWA kiasi kwamba anajisikia kuwa lecturer halafu unapata zero hii ndo inaniletea wasiwasi au alikuwa anahonga na kupitishwa kwenye mitihani ya chuo jamani hata moja tu asiambulie aaaa hapana huyu lazima atakuwa ni kihiyo.
   
 9. R

  Rubesha Kipesha Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up kwa huo utaratibu wa ajira wa PSRS
  utasaidia sana kupunguza wafanyakazi wasio na uwezo
  ambao wanabebwa na ndugu zao kupata ajira!
   
 10. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  we mtiani wa maisha wenyewe umefeli mbona hakuna aliekucheka ndugu kuwa makini yatakurudia na wewe...kuwa lecturer si sababu ya kufaulu na historia yako si sababu ya kukufanya uwe na ufaulu mzuri JIPANGE
   
 11. K

  KYALUMUKUNZA Senior Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ndugu mbona unahamisha mada hapa tunazungumzia elimu wala si kufaulu au kufeli maisha au ndo wewe nini
   
 12. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  watu hawakui kabisa...age hyo ya kucheka mtu kafeli paper ya interview..
   
Loading...