Duu kweli kuna watu wenye roho ngumu!!! Cheki jamaa akipigana denda na nyoka aina ya cobra

Steven mushi mushi

JF-Expert Member
Jul 25, 2016
533
737
80c180bdf45e697ab65315393d8c3854.jpg
 
Mkuu kuna binadamu unawaona kwa macho lakn uhalisia wao sio binadamu...
Mm nitakataa milele endapo nikiambiwa huyo ni binadamu
 
Kuna video nilikwepo nayo jamaa anafanya mapenzi na nyoka dah nilicheka sana,

sim nikajakuipoteza
 
Ukichukua Uoga wako na kuvaa uhusika wa jamaa,utaona haviwezekani...
 
That was God's original plan. All is nature and nature is all. One connected harmony!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom