Duu! Huyu Head Teacher Nouma!!

Mawenzi

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,251
344
MAMBO YA SHULE ZETU ZA MSINGI!!

Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa??

Denti 1: Siyo mimi!

Denti 2: Wala sihusiki!

Denti 3: Kwanza mimi jana sikuja shule!

Ticha alipoona wanafunzi wote ni majuha, akaamua kumwita Mkuu wa Shule. Mkuu wa Shule aliwauliza swali lile lile, na mambo yakawa yale yale! Ndipo Mkuu wa Shule akamwita mwalimu pembeni na kumnong'oneza: "Lakini una hakika muuaji yumo darasa hili??!!"
 
Huenda wote wapo sahihi manake kunaerza kukawa na mwanafunzi anaitwa mkwawa lakini ingekuwa sahihi angeuliza nani alimuua chifu mkwawa wa iringa nadhani hao madent wangekuwa magenious!!! Bt ni kali tu hahaahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom