Mawenzi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 1,251
- 345
MAMBO YA SHULE ZETU ZA MSINGI!!
Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa??
Denti 1: Siyo mimi!
Denti 2: Wala sihusiki!
Denti 3: Kwanza mimi jana sikuja shule!
Ticha alipoona wanafunzi wote ni majuha, akaamua kumwita Mkuu wa Shule. Mkuu wa Shule aliwauliza swali lile lile, na mambo yakawa yale yale! Ndipo Mkuu wa Shule akamwita mwalimu pembeni na kumnong'oneza: "Lakini una hakika muuaji yumo darasa hili??!!"