Duu hawa Panya...........balaaaa!

Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
3,169
1,711
Jamaa mmoja alikuwa anasumbuliwa na panya chumban kwake Akawategea sumu kwenye kitimoto, Asubuhi akakuta ujumbe SISI SOTE NI WAISLAMU JARIBU KWENYE SAMAKI!!!
 
Hata waislam wa kipindi hiki cha kikwete wanakula sn sasa hao panya labda hawakuwa na apetait tu. Hicho kitu kitamu balaaaa!
 
Ilikuwa ni kipindi cha mwezi mtukufu nini? Hata mangi jirani yangu analalamika "biashara ya kiti moto siyo kizuri kipindi cha mwezi mtukufu" Nadhani hata panya kipindi hicho walikuwa wamefunga
 
Back
Top Bottom