Duterte ni mzima kichwani kweli?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,170
24duterte.jpg
Huyu Rais wa Phillipines amekuwa akijigamba kwa kutekekeza mauaji ya watu wa madawa ya kulevya kwa muda sasa.

Hivi karibuni amejigamba kuwa kati ya waliouwawa yeye mwenyewe kwa mkono wake ameua wachache.
Mbaya zaidi anasemekana kumtosa kutoka kwenyenhelikopta mtu mmoja aliyemshuku.

Je, huyu ni rais kweli wa nchi ya kidemokrasia?
Au ni kiongozi wa Murder Inc.
 
Back
Top Bottom