Vaislay JF-Expert Member Jun 26, 2011 4,532 1,822 Sep 15, 2011 #1 Hivi jaman,wimbo wa dushelele kikubwa umebeba nini mana naona watu wanaselebuka tu,dushelele,dushelele,
Hivi jaman,wimbo wa dushelele kikubwa umebeba nini mana naona watu wanaselebuka tu,dushelele,dushelele,
U uporoto01 JF-Expert Member May 23, 2008 4,700 1,415 Sep 15, 2011 #2 acha kuuliza maswali sogea ucheze,dushelele,dushelele hahaha!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Aug 10, 2012 47,708 40,911 May 20, 2014 #3 Dushelele lina maana yake huku ujue