Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya? Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.Well, the establishment wa DC wamemuonyesha nini heshima yao, huku McCain akipiga pigo la mwisho, pigo lililomaliza safari ya repeal and replace hadi wakati huu.
[B]TUJITEGEMEE[/B], hebu soma hapa kuhusu Marekani...samahani sikupata muda wa kuitafsiri.Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya? Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.
Mkuu Mag3 kalieleza hili hapo juu kwa undani"TUJITEGEMEE, post: 22536329, member: 31026"]Mwalimu, hivi kwenye katiba ya US hakuna kipengele kinachomruhusu Rais wa Marekani kuvunja seneti na congress na kuitisha uchaguzi upya?
Hakuna tatizo ndani ya Congress.Kama kitakuwepo, ningemshauri aitishe uchaguzi upya ili akate mzizi wa fitina.
Ni nani ali entertain haya? Jibu ni TrumpNa leo Russia kaanza kujibu mapigo, na kasema hizi ni za rasha rasha bado vuli na masika. EU hasa Germany na France wamesema watajibu mapigo kwa manyanyaso wanayofanyiwa na US. US inataka kuvuruga biashara ya nishati kati ya Russia na EU kupitia mradi mkubwa wa Bomba la gesi linaloikwepwa Ukraine.
Breaking News: Obamacare has prevailed...the vote was 51-49!
The Senate has rejected a measure to repeal parts of former President Barack Obama’s health law, dealing a serious blow to President Donald Trump and the GOP agenda.
Unable to pass even a so-called “skinny repeal,” it was unclear if Senate Republicans could advance any health bill.
GOP has failed to deliver! Trump's promise to repeal Affordable Care Act has fallen flat on its face!
Cc: [B]El Jefe[/B]
Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe. Je GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?Trump akikutana na kikwazo katika kutekeleza sera zake una-note ila akifaulu huandiki!!.
Obamacare repeal and replace is far from over, bado ipo live, Republicans wamekosa kura moja tu. So it's not 'failed to deliver' but 'failed attempt to deliver'. There are still more attempts coming.
Sasa hivi Sen. Mcain anamiminiwa kila aina ya sifa na Dems, ila naamini ameamua kufanya hivyo ili kuwapoza Dems waliompa pole zao za dhati kutokana na taarifa ya kuugua kwake. Mda si mrefu Sen. Mcain atagundua kwamba bipartisan kwenye ACA repeal & replace sio leo wala kesho na utashangaa atakavyopiga kura ya ndio ya partisan bill next time.
Nadhani unaona hata House wanapeleka mbele recess. Very soon Senate Republicans watapitisha o'care repeal and replace bill. Hayo mengine ni changamoto tu.
Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe. Je GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?
Breaking News: Reince Priebus replaced: Donald Trump names General John Kelly as new White House chief of staff.Mag3 unakumbuka healthcare plan ya mwanzo kabisa ya Dr. Price? Unadhani kwanini Trump alimteua kuwa Secretary wa HHS?
Hiyo plan ime-undergo adjustments na amendments kadha wa kadha kadri debates za healthcare zinavyoendelea. Mwisho wa siku GOP leadership wana-compile provisions ili ku-accomodate concerns za watu wao na kupeleka bill itakayopata kura za kutosha. Ukisema GOP hawana plan yao ile ACA repeal bill ya 2015 ilikuwa ya nani? Na vipi Cruz Amendment ilikuwepo mwanzo?
Hivi McCain angepiga kura ya ndio na Pence aka-break tie kwenye healthcare bill iliyowasilishwa ungeandika kuhusu Reps kuwa na Executive na majority House, Senate & magavana?
By the way, nadhani umesikia kuhusu maombi ya kuteuliwa kwa special counsel wa pili atakaeshughulika na madhambi na maovu 14 ya serikali ya Obama, Hillary Clinton, Loretta Lynch na James Comey. I hope akishateuliwa utafuatilia progress yake pia.
Nothing new so farAnything meaningful about Russia yet?
Russia Russia Russia!Nothing new so far
Kushner alikuwa kwenye house comm, alisahau email aliyotumiwa na Don ilikuwa inahusu nini
Paul Manafort alikataa kufika mbele ya kamati, akawa subpoenaed akaingia deal ikaondolewa
Huenda muda ukifika atakwenda kwenye kamati
Don Jr bado hajapata tarehe ya kufika mbele ya kamati, alikataa ku testify hadharani
Mueller inasemwa alikuwa anaangalia mambo ya financial , hatutajua kwa sasa
Hakuna jipya kwa upande wa Russia
Kwa upande wa WH kuna mengi mapya
Kubwa zaidi ni kifo cha repeal and replace Obamacare, repeal alone na Skinny Obamacare
Haikuwezekana day one, 100, sasa ni nusu mwaka. Tunasubiri nini kitatokea
Kuhusu media
Ile habari ya CNN uliyosema ni fake, Trump amethibitisha alipewa dossier akiwa pres elect kama ilivyoripotiwa. Anasema kilichomuudhi ni leak siyo fake news
Habari ya Fake news za Russia nayo imepata ufumbuzi.
Hakuna shaka kampeni ilikuwa na contact. Kinachochunguzwa ni je kulikuwa na collusion?
Media zilikuwa sahihi maana ziliibua hata email za watu ingawa zinaambiwa ni fake news
Otherwise ni mazongezonge yasiyo ya kawaida lakini ndiyo ''modern presidency''
So far hakuna kitu lakini kuna yanayoendeleaRussia Russia Russia!
So far hamna kitu.
It's a wild goose chase!!
Mkuu hapa hutapewa jibu hata kwa dawa. Unauliza manifesto isiyokuwepo!"Mag3, post: 22539441, member: 10873"]Sawa, hebu kwanza tupe hiyo healthcare plan aliyoahidi Trump kwenye kampeni...kumbuka wengine tulisema hana, wewe ukasema ipo inasubiri tu aapishwe.
Hawakuwa na plan yoyote, waliyokuwa nayo ni repeal and replace bila chochoteJe GOP walikuwa na plan au hawakuwa nayo? Ukweli ni kwamba wana House, wana Senate, wana Executive na wanaongoza kwa Magavana...Mungu awape nini?
Here is the full list of things the Second Special Counsel would be instructed to investigate:Breaking News: Reince Priebus replaced: Donald Trump names General John Kelly as new White House chief of staff.
The ongoing Shakespearean drama that is Donald Trump’s White House has taken another twist, after the President announced he was replacing his chief of staff Reince Priebus.
President Donald Trump announced Friday he was appointing Homeland Security head John Kelly to be White House chief of staff, ending the tumultuous six-month tenure of Reince Priebus.
Reince Priebus parted ways with White House on airport tarmac...
Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.
Priebus was returning with Trump and other White House staff from an event in Long Island, New York. Upon their return to Andrews Air Force Base, Trump made the announcement Priebus was out of the top White House position.
In a rain-soaked Washington, D.C., Priebus had initially gotten into a van with White House Policy Adviser Stephen Miller and White House Social Media Director Dan Scavino on the tarmac, Reince Priebus parted ways with White House staff on the tarmac outside of Air Force One Friday following the announcement he would no longer serve as President Trump's chief of staff.
Sintofahamu WH yaendelea...
Mkuu hili limekuwa hoja kubwa kwa RepublicansRepublicans taratibu nao wanaanza kumuhofia Trump kwamba wakimfuata kichwa kichwa sera zake anaweza kuwagharimu mid-term elections mwakani.