Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

(A) My view ni kwamba Trump anaonyesha significant shift kutoka kwenye election mode kwenda kwenye kuongoza.
Well, though I guess you aren't serious...could you mention one significant shift that would make you assert anything like that? If anything his presidency has revealed who he really is inside and to expect change at 80 is but a pipe dream.
Mwanzoni ilikuwa worse kuliko hivi sasa, ingawa bado anaendekeza elements za kampeni which is not good.
Hapana, mwanzoni ni kama vile he had a free reign and it is the media that let him get away with almost anything he did or said however ridiculous and absurd. Actually it can be said that it is the media that emboldened him by overlooking his shortcomings...maybe this was in the hope that he would change but then, to their dismay, Donald remained Donald. What we are witnessing now is the real Donald, the one we were warned about by a few who really knew him.
Lakini hili suala la 'Russian collusion' linahusiana na uchaguzi, na lilianza katika kipindi cha kampeni na toka lianze hadi leo hakujawahi kuletwa ushahidi wa maana kuwa Trump ni 'puppet' wa Russia.
Hang on, dont jump the gun...huo ushahidi ulitaka utolewe wapi na nani? Kwa kuwa sasa tunaye special counsel, why dont you just sit back and watch (or listen) to what's likely to develop? Kumbuka Republicans controlled almost every thing na ingekuwa ajabu ilioje binadamu kukubali haraka haraka kukata tawi alilokalia!
Habari yenyewe ili/imegawanyika vipengele tofauti, mara Russia wali-spy na ilibidi watafute namna ya kuwaunganisha WikiLeaks na Russia, mara Russia wali-hack vifaa vya uchaguzi kwenye majimbo matatu (jambo ambalo liligundulika halikuwa kweli). Sasa hivi aina yoyote ya mahusiano au anything to do with Russia ni crime!!. Ndio maana Trump anasema hii ni 'political witch hunt'.
Naomba nikuulize swali moja tu linanisumbua...Between Trump and what you call the "liberal" media, which side would you bet on and who would you believe without question? When put under close scrutiny who really is likely to be the master purveyor of what is called fake news?
Democrats walichokifanya ni kutunga a beautiful Russian collusion story na kutaka rasilimali zitumike kutaka kuthibitisha walichokitunga in the hope of dragging Trump asitekeleze ajenda yake. Walijua kuna Republicans wanachukia Russia na watacheza ngoma yao, which is true.
Huu ni uongo, ninavyojua mimi Republicans walio wengi wanacheza ngoma ya Donald Trump na hata pale anapoonekana kuchafua hewa wako tayari kumtetea. Mimi nasikiliza sana hizo Conservative radio na TV, kwao Trump is like a messiah, does no wrong!
Trump anajua kila kitu, labda anachokosea ni namna ya ku-deal na haya mambo. Kwa mfano amechelewa kuwapa democrats 'special counsel' kwa sababu hili suala la Russia Dems walipanga kukomaa nalo popote litakapowapeleka.
Eti Trump kawapa democrats special counsel...could you tell this to the birds? Democrats hawakutaka special counsel walitaka independent counsel na Republicans katika juhudi zao kumuokoa Trump, uteuzi wa special counsel umewapa ahueni ndio maana wameunga mkono.
(B) Kitu kingine ambacho ni fact ni kuwa Trump haja-graduate kutoka kwenye kuendesha kampuni (CEO) kwenda kwenye kuongoza serikali au kuongoza nchi (POTUS) kwa asilimia kubwa. Kwa mfano Trump ana-struggle kuendana na mfumo wa serikali ya US ulivyo na unavyomtaka aongoze. But this is someone ambaye hajawahi kuwa kiongozi yeyote katika ngazi yoyote serikalini na waliomchagua waliamua kumpa benefit of doubt. Learning curve yake bado ipo vizuri.
This is B/S...does this apply only to Trump or are you in any way insinuating that Americans have no idea how their country is run unless they have held political posts? Do you know how many hours were spent by experts briefing him once he was declared the official runner?
Kosa analofanya Trump ni kendekeza U-CEO kwenye nafasi ya POTUS which is not good. Trump anashauriwa mambo ya kufanya na jinsi ya kufanya, but along the way anajikuta ameshakosea. Kwa mfano suala la ku-tweet kila mda nadhani ameshashauriwa hata na Ivanka kuacha ila anaamua tu kuwa mtukutu.
Would you be specific? Anakosea, anakusudia ama hajui? Utasemaje anafanya kwa utukutu hata anaposhauriwa halafu hapo hapo unadai hana uzoefu? Kwa nini usikiri tu kwamba jamaa hafai na Urais unamzidi kimo?
Pia nakubaliana na wanaosema Trump ana tatizo la kauli, ndio maana mda mwingine kauli zake zinaleta utata au kuwa inconsistent na matokeo yake zinakuwa habari. Kitu ambacho anajisahahu ni namna media za US hasa zile zisizompenda zilivyo sensitive na kila neno linalotoka kwake. Kuna mda media ni unfair na dishonest lakini sio mda wote.
Trump anaita media fake news zinapoandika kwa usahihi habari ambazo zimetokana ama na matendo yake au kauli zake. Ingawa wewe mwenyewe unakiri kwamba kauli zake zinaleta utata au kuwa inconsistent, kwa nini unasita kukiri kwamba nyingi za hizo kauli ni uongo? Nadhani naweza nikawa sahihi kwa kudai kwamba katika historia ya Marekani hakuna mgombea Urais aliyekuwa muongo na mzushi kumzidi Trump.
Trump inabidi aelewe kuwa kuna liberal na conservative media. Apige kazi tu, awaache liberal media wafanye yao kwa sababu hawezi kuwabadilisha kwa maneno yake au tweets zake.
Ni kweli Trump anao mashabiki ambao hata akisema nini na hata akifanya nini hawawezi kumuacha na ni wale aliowasema kwenye kampeni kwamba I could stand in the middle of Fifth Avenue and shoot somebody, and I wouldn’t lose any voters, OK?” Bahati mbaya sio majority ya Wamarekani...please you are free to join them, but me Mag3? I just happen to be older and wiser.

Update...

[B]El Jefe[/B], I hope you are following the developments that are taking place in both houses yesterday and today...especially the Deputy AG's testimony in full-Senate and full-House

Breaking News: Firing that nut job!


merlin-to-scoop-121875371-2431-master768.jpg

WASHINGTON — President Trump told Russian officials in the Oval Office this month that firing the F.B.I. director, James B. Comey, had relieved “great pressure” on him, according to a document summarizing the meeting.

“I just fired the head of the F.B.I. He was crazy, a real nut job,” Mr. Trump said, according to the document, which was read to The New York Times by an American official. “I faced great pressure because of Russia. That’s taken off.”

Mr. Trump added, “I’m not under investigation.”

cc: El Jefe
 
Mkuu @Mag3 ahsante maana kuna habari nyingine mtu ukisoma unaweza kujiuliza kama sote tunaishi dunia moja

Kuna utetezi dhaifu sana kwamba Trump aliingia WH bila uzoefu wa kuendesha serikali.
Wanaosema haya hawatafuti facts au hawana uelewa wa historia ya karibuni ya viongozi wa US

Jimmy Carter alikuwa Gavana, George Bush Sr. alikuwa VP, Bill Clinton alikuwa Gavana, Bush Jr alikuwa Gavana
Obama alikuwa community organizer tu, kisha Junior senator na Rais akiwa na umri mdogo

Trump ana umri wa miaka 70, ameona viongozi kuanzia Kennedy akiwa na umri mkubwa.
Trump amewaona akina Johnson, Nixon, Reagan hadi Obama.

Trump ni mfanyabiashara mkubwa duniani. Ameshiriki na anajua serikali na bureaucracy zote

Kwa kuwa CEO wa kampuni kubwa ana uzoefu wa uongozi wa watu hata kama si serikalini

CEO anawasiliana na watu wa aina mbali mbali anajua diplomasia inavyofanya kazi

Umri wake tu ni mtaji mzuri wa kuelewa mambo ya dunia akiwa Rais kuliko aliokuwa nao Obama

Huyu anaposemwa eti anajifunza kwa haraka ni kichekesho. Obama hajawahi kuongoza taasisi yoyote ukiachilia nafasi ya useneta. Huyu ndiye alipaswa kufanya madudu si mtu mwenye umri mkubwa, uzoefu, CEO n.k.

Hivi kweli kuna mtu anaamini kuwa Trump anahitaji kujifunza kuhusu middle east?
Kwamba Trump hajui healthcare ni complicated kiasi gani. Kwamba, Trump hakujua dunia ya Russia, China, Israel, Arab world ambazo hapa JF kwa makupuku zinajadiliwa.

Kama Trump hakujua hayo ni kituko na kwamba eti anajifunza ni kichekesho. CEO hajui dunia kweli?

Trump hakujua nini kilitokea wakati wa Nixon au Clinton! Real ! anapewa pass eti anajifunza, kichekesho sana

Media: Watu wanaamini media zinamshambulia Trump bila sababu. Hii ni kwa wale wanaoamini Trump ni messiah

Huyu Trump si alisema jeshi la US limeoza. Leo anasema ni bora duniani.
Si huyu bwana alisema namba za ajira ni feki, leo anazitumia. Orodha inaendelea

Ugomvi wa Trump na media ni kuwa media zinamuonyesha ukweli kuhusu yeye.
Trump hataki hilo. Waulize wanaosema media ziko biased ni kwa kitu gani. Hawana jibu.

Anayelisha media habari ni Trump na siku hizi zinawekwa na ushahidi. Hoja iliyobaki ni 'leak' kama ilivyo leo

Media za right zimeandika eti aliyeteua counsel ni Trump, zinafumbiwa macho kwasababu zinatetea Trump

Trump hataki media kwasababu zinaweka wazi sura yake. Hivi si huyu aliyesema atahamisha ubalozi wa US Jerusalem
Leo anasema ni kazi ngumu na haiwezekani. Media zikionyesha anasema ni fake news

Russia: Kama hakuna tatizo kwanini asiharakishe uchunguzi ili awe huru.
Wanomsikiliza Kellyanne Conway wanakuja na hoja za kipuuzi eti ni kupoteza rasilimali. My foot! Kwa US?
Gharama gani ikiwa walipa kodi wanataka kujua ukweli na kwa Taifa kubwa kama US
Ni kiasi gani ukiwauliza hawana jibu kwasababu wamesikia Kellyanne Conway, masikini hawajishugulishi tena

Kampeni: Wanasema kaacha kampeni sasa anatawala. Juzi akiwa na Rais wa Columbia walimsikia akizungumza?

VP Pence kakaa kimya maana inatosha, masikini wasiojua bado wanaamini kabisa miezi 4 bado ni ya kujifunza, hawaangalii community organizer alifanya nini ndani ya muda huo na alikuta nchi ipo wapi

Leo anamsumanga FBI Dir kwa Russia halafu anasema make America great again!
Obana alimtimua Flynn na McCrystal, hakukuwa na drama tunazoona leo hii
 
Well, though I guess you aren't serious...could you mention one significant shift that would make you assert anything like that? If anything his presidency has revealed who he really is inside and to expect change at 80 is but a pipe dream.

Mkuu Mag3,

Nipo serious. Less than three months ago Trump talked a lot about elections, beating democrats and Hillary, frequently describing how his victory was against all odds and so forth. Now, exactly four months in charge, Trump is focused on fulfilling his promises and pushing his agenda. He talks more about the obstacles, the opposition he faces in his efforts to making changes and willingness to compromise to get things done.

Trump is 70 not 80 and Hillary is 69. Trump may be the oldest at inauguration but he is not the only one. Ronald Reagan was inaugurated on Jan. 20, 1981, literally 17 days from his 70th birthday. My point is, change is dynamic regardless of age. The Trump you see today is not 100% the same as the one who used to run The Apprentice. He just wants to do what he said he would do.

Hapana, mwanzoni ni kama vile he had a free reign and it is the media that let him get away with almost anything he did or said however ridiculous and absurd. Actually it can be said that it is the media that emboldened him by overlooking his shortcomings...maybe this was in the hope that he would change but then, to their dismay, Donald remained Donald. What we are witnessing now is the real Donald, the one we were warned about by a few who really knew him.

You are kidding, right? The media gave him a pass? You can't be serious. The media's unfairness and dishonesty that Trump points out quite often started the time he said he was running for office.

You don't need to take his word for it, every study that has looked into the media relationship between the Trump and Hillary campaign during the elections have concluded that the media was biased and unfair toward Trump than Hillary.

That is something that Trump thought would change after elections. What I said is that, as time goes by, Trump is realizing that he has promises to keep and that is the most important thing than engaging in petty politics.

You wrote something about warning, let me tell you something, not every warning is a real warning during elections, you've got to reason deeply. Look, you understand why people get frustrated with politicians? Mitt Romney gave his warning too but he was among those considered for the SoS position!


Hang on, dont jump the gun...huo ushahidi ulitaka utolewe wapi na nani? Kwa kuwa sasa tunaye special counsel, why dont you just sit back and watch (or listen) to what's likely to develop? Kumbuka Republicans controlled almost every thing na ingekuwa ajabu ilioje binadamu kukubali haraka haraka kukata tawi alilokalia!

Ok, I'll hang on. I'll sit back and enjoy the show run by the special counsel.

Hayo mambo wanayofanya Republicans hata Dems huwa wanayafanya.

Naomba nikuulize swali moja tu linanisumbua...Between Trump and what you call the "liberal" media, which side would you bet on and who would you believe without question? When put under close scrutiny who really is likely to be the master purveyor of what is called fake news?

Believe someone without question? Not any side, for I know that leaders have lied before and so has the media. The second part of your question depend on what you describe as 'close scrutiny', but as far as I know, there is close scrutiny already for both of them and fake news still finds its way through.

Huu ni uongo, ninavyojua mimi Republicans walio wengi wanacheza ngoma ya Donald Trump na hata pale anapoonekana kuchafua hewa wako tayari kumtetea. Mimi nasikiliza sana hizo Conservative radio na TV, kwao Trump is like a messiah, does no wrong!

Uongo wangu upo wapi? Kwamba hili haliwezekani kwenye siasa za US au kwamba Democrats hawana nia ya kumsaidia Trump kutekeleza aliyoyaahidi?

Republicans kama ilivyo kwa Democrats, wanawatetea viongozi wao, that's politics. Hivi unategemea conservatives wacheze ngoma ya Democrats against Republicans wenzao kwenye masuala yenye sura ya kisiasa?. Hata liberal news networks zinawaona viongozi wao kama Mamessiah.

Kuna Republicans, nadhani unawajua wakisikia issue za Russia na kwamba kiongozi wao anahusishwa nao, wanakamatika kirahisi hata waandishi wa habari wanawakimbilia kuwahoji.

Hao conservatives hawana tofauti na wewe, maana hata wewe kipindi kile, Obama alipoonekana kuchafua hewa ulikuwa tayari kumtetea.

Eti Trump kawapa democrats special counsel...could you tell this to the birds? Democrats hawakutaka special counsel walitaka independent counsel na Republicans katika juhudi zao kumuokoa Trump, uteuzi wa special counsel umewapa ahueni ndio maana wameunga mkono.

Hamna tofauti kati ya 'special counsel' na 'independent counsel', ni sawa na Obamacare na ACA. Hizi ni terminologies tu. Wengine wanaita 'special prosecutor' au 'independent prosecutor', ni the same thing.

Neno 'Independent' ni sifa muhimu anayotakiwa kuwa nayo huyo mchunguzi, maana bila hiyo sifa hakuna haja yeye kufanya uchunguzi.

Neno 'prosecutor' linamaanisha kazi yake, Congress hawafanyi prosecution ila yeye akiona kuna makosa (indictment) ana-prosecute mahakamani. Ushahidi hapa unatakiwa uwe 'beyond reasonable doubt' sio ule wa kuhisihisi au kuungaunga kama wa Democrats.

Jukumu la 'Independent counsel' chini ya 'United States Office of Independent Counsel' lilianzishwa baada ya uchunguzi wa Watergate chini ya sheria iliyoitwa 'Ethics of Government Act ya mwaka 1978, iliyosainiwa na Rais wa muda huo, Jimmy Carter.

'Independent counsel' ilikuwa formal name ya 'independent prosecutor, na Indep. Cousel ndiye aliyemchunguza Bill Clinton kwenye 'Whitewater'.

Hiyo sheria iliyoanzisha US office of Independent cousel ilisha-expire mwaka 1999, kwahiyo US office of indep. counsel haipo tena badala yake regulations mpya zinatambua hiyo nafasi kama 'special cousel' na sio 'independent cousel'. Kwahiyo watu wanaita hiyo nafasi majina za zamani, mapya na a.k.a, lakini formally kwa sasa inaitwa 'special counsel'.

Huo uchunguzi ukiisha bila Trump kupatikana na hatia, Democrats watatia huruma.

This is B/S...does this apply only to Trump or are you in any way insinuating that Americans have no idea how their country is run unless they have held political posts? Do you know how many hours were spent by experts briefing him once he was declared the official runner?

You talk about hours in briefings, but forget he has spent decades in the corporate world. Engaging with the government is not the same as taking part in it especially on the top most post, it requires some quick learning and Trump is mastering his job in a more convincing way.

If someone want to bring comparison between Trump and Obama in terms of experience at inauguration, let him look at Obama's time not just as a community organizer but also his 8 yrs as a member of Illinois Senate and additional 4 yrs as a US Senator from Illinois.

Nobody said Trump doesn't have an idea about how the country is run!. He campaigned and debated against someone with 30 yrs of experience in public service and won!.

Would you be specific? Anakosea, anakusudia ama hajui? Utasemaje anafanya kwa utukutu hata anaposhauriwa halafu hapo hapo unadai hana uzoefu? Kwa nini usikiri tu kwamba jamaa hafai na Urais unamzidi kimo?

Obama mwenyewe alisema Trump hafai lakini baada ya kushinda akawaambia watu wasimu-underestimate.

Well, Trump ni mtu mzima sio mtoto halafu kubwa zaidi ni Rais wa nchi. Ma-Rais wote wana washauri na wanashauriwa ila mwisho wa siku wanaamua wenyewe ushauri gani wachukue na upi wauache.

Trump ni mtu wa kusikiliza ushauri, hiyo cabinet yake tu ni kielelezo tosha kwamba ni mtu wa kusikiliza washauri na alivyorekebisha baadhi ya ahadi zake bila kupoteza mantiki ni ushahidi tosha kwamba anafuata ushauri.

Kusema kwamba hafai kuwa Rais nahitaji kuangalia Facts tofauti tofauti then nazi-weigh kuangalia uzito wa kila moja then uzito wa jumla. So far, Trump is struggling to move different parts together lakini hamna strong indications zilizo so explicit kwamba hafai kuwa Rais, although kuna a few light indications ambazo ni rectifiable na fixable, hence, I will give him more time.


Trump anaita media fake news zinapoandika kwa usahihi habari ambazo zimetokana ama na matendo yake au kauli zake. Ingawa wewe mwenyewe unakiri kwamba kauli zake zinaleta utata au kuwa inconsistent, kwa nini unasita kukiri kwamba nyingi za hizo kauli ni uongo? Nadhani naweza nikawa sahihi kwa kudai kwamba katika historia ya Marekani hakuna mgombea Urais aliyekuwa muongo na mzushi kumzidi Trump.

Mwisho wa siku people will make judgement about which media outlet is the reservoir of fake news.

Kwa upande wangu nafuatilia both the conservative na liberal media networks. Kama Trump akisema uongo hutaona namtetea na Media zikitoa fake news, siwi upande wao.

Hayo madai ya 'uongo na uzushi' wa Trump kama mgombea wa Urais kupita wagombea wengine wote katika historia ya US, sikubaliani nayo wala siyakatai kwa sababu sina taarifa ya kutosha kwa sasa kuweza ku-argue for or against it. Ila nitaangalia my sources baadae then nita-comment.

Ni kweli Trump anao mashabiki ambao hata akisema nini na hata akifanya nini hawawezi kumuacha na ni wale aliowasema kwenye kampeni kwamba I could stand in the middle of Fifth Avenue and shoot somebody, and I wouldn’t lose any voters, OK?” Bahati mbaya sio majority ya Wamarekani...please you are free to join them, but me Mag3? I just happen to be older and wiser.

Unam-judge Trump kwa metaphor?
That statement was nothing but a metaphor akielezea how loyal wapiga kura wake walivyo. Hata research nyingi zilizofanywa zinaonyesha Trump voters wapo loyal.

Ukisema hao Trump voters sio majority ya wamarekani, ni kwa sababu unatumia matokeo ya uchaguzi wa mwaka jana. Ila kuna tafiti kadhaa zimefanywa zinaonyesha kwamba uchaguzi ukirudiwa mwezi huu baina ya Hillary na Trump, Trump atashinda kwa majority votes. That should mean something to you.

Update...

[B]El Jefe[/B], I hope you are following the developments that are taking place in both houses yesterday and today...especially the Deputy AG's testimony in full-Senate and full-House

Rosenstein amenifurahisha kwenye maelezo yake. Amesisitiza mambo muhimu kuhusiana na memo yake, kwamba, nanukuu "I wrote it. I believe it. I stand by it", "I thought it was appropriate to seek a new leader".

Huyu mtu mnasema hakupenda au hakuhusika kwenye kuondolewa kwa Comey?, eti alikuwa 'exonerated' na Trump?. Pia hiyo memo ilipitiwa na rundo la watu kuhakikisha kilichomo kabla hajai-sign.

Rosenstein na Sessions walishajadili toka mwaka jana haja ya kumuondoa Comey kazini.

Eti mnambebesha mzigo wote Trump!!! Trump alibeba mzigo wote wa kumfukuza Comey lakini inaonekana sio wa kwake wote.

Breaking News: Firing that nut job!


merlin-to-scoop-121875371-2431-master768.jpg

WASHINGTON — President Trump told Russian officials in the Oval Office this month that firing the F.B.I. director, James B. Comey, had relieved “great pressure” on him, according to a document summarizing the meeting.

“I just fired the head of the F.B.I. He was crazy, a real nut job,” Mr. Trump said, according to the document, which was read to The New York Times by an American official. “I faced great pressure because of Russia. That’s taken off.”

Mr. Trump added, “I’m not under investigation.”

cc: El Jefe

Hiyo kauli haijakaa vizuri.

Ila umesema nikae niangalie au nisikilize kinachoweza kutokea kwa kuwa sasa hivi special counsel yupo kazini.

Nadhani tumuachie special counsel Robert Mueller atafanyia kazi haya mambo yanayohusiana na Russia, atatuambia kama kuna collusion au hamna.
 
Frm FBI Dir. COMEY KUFIKA MBELE YA KAMATI

Habari zilizotandwa na ile kauli ya Trump kwa ujumbe wa Russia kuhusu Comey 'nut Job'
Kufukuzwa kwa Comey akiwa kulichukuliwa kama kudhalilishwa

Wengi wanadhani tatizo ni kutimuliwa kwa Comey, Rais Trump ana uwezo huo
Laiti angalifanya hivyo mapema mjadala usingekuwa kama ulivyo.

Trump alisubiri mauza uza ya washirika wake na kauli ya kampeni inchunguzwa akachukua hatua. Timing ya kumfukuza Comey ndiyo tatizo lililopikhusishwa na uchunguzi unaoendelea

Rais Obama aliwawatimua kazi Gen Flynn na Gen McChcrystal aliyeheshimika sana katika vita
Obama alimwita na kumpa habari za kufukuzwa akilinda masilahi ya general ya jeshini.
Baada ya wawili hao kutimuliwa kwa nyakati tofauti hakukuwa na kauli za maudhi a

Kufukuzwa kwa Comey kulionekana ni kumdhalilisha na kauli zinazofuata zinashadidia
Trump amesema ndiye aliyemtimua na alipanga kufanya hivyo siku nyingi.

Comey na Mueller wamefanya kazi pamoja, Comey akiwa deputy wake.
Comey amekubali wito wa kamati ya seneti kufika kwa mahojiano ya wazi kwa umma.

Katika hali ya kawaida, Mueller angemzuia ili kutoharibu uchunguzi anaotaraji kuanza.
Katika mazingira yaliyojitokeza hilo halikutokea na ni kana kwamba kuna ' kuridhiana'

Isitegemee Comey atatoa kauli nzito dhidi ya Trump au kauli za maudhi au siri za kazi
Atakachokifanya ni kueleza professionally anayoyajua yatakayokuwa na mjadala muda mrefu

Wakati special counsel Mueller anataraji kuanza kazi, kauli za Trump dhidi ya Comey wakati na baada ya kumtimua hazitamsaidia kama Comey ana la kusema

Trump anaweza kumtimua Mueller. Ieleweke Mueller yupo DOJ lakini ana uhuru zaidi.
Atakuwa na ofisi tofauti akiweza kutumia FBI hata kuajiri na kutaka nyaraka zozote anazohitaji

Haitawezekana kumtimua kutokana na mazingira ya Comey yanaonekana ''obstruction of justice''

Atakayosema Comey yataendelea kuwa habari. Mueller atasaidia kupunguza habari za ''Trump Russia tie'' pengine mwaka 1, 2 au 3. Matokeo yake ni mazito ikiwa lipo jambo

Mueller hatutasikia habari zake , hiyo ni disadvantage kwa umma wa US, matokeo yake yatakuwa ' kuna hujuma au hakuna hujuma' bila kuwa na maelezo ambayo watakuwa nayo wenyewe

Tatizo ni moja, ikiwa kuna washirika wa kampeni ya Trump wenye 'hatia' kitakachosemwa 'kuna hujuma' ikiwa hakuna 'itasemwa hakuna hujuma''.

Kwa wingu lililotanda majibu yanaweza kuwa faraja au shubiri, hayawezi kuwa maji ya uvugu vugu.

Tusemezane
 
Niliwahi kuandika post moja kuhusu mbilikimo kuwa kuna wale wanaokosa hormones zinazotakiwa mwili kukua hivyo wakabaki na umbo la kitoto. Kuna wasiwasi kuwa Trump naye alikosa hormonoes zinazsaidia ubongo kukua akabaki na ubongo wa kitineja maisha yake yote. Ni mtu mwenye hasira anayeweza kumchukia mtu yeyote wakati wowote bila hata sababu yeyote, asiyependa kukiri makosa hata yaliyo wazi, anaependa kulialia wakati wote akitaka yeye ndiye asikilizwe tu. Atakapoelemewa atapata mental breakdown!
 
ZIARA YA TRUMP MASHARIKI YA KATI

FUKUTO LINAENDELEA NYUMBANI

Rais Trump yupo ziarani mashariki ya kati kuanzia Saudia Arabia, Israel, Vatican na Italy
Ziara Saudia, kitovu cha Uislam imekuwa na mvuto wa pekee kutokana na yaliyopita

Trump na GOP baadhi walisisitiza kutumia neno 'islamic terrorist'
Alimshutumu Obama na Hillary Clinton. Toka wakati huo kauli imekuwa kibwagizo

Tatizo la kauli ni kujumuisha dini nzima . George Bush hakuwahi na alipinga matumizi yake
Bush alisema nchi za magharibi hazipo katika vita na dunia ya Waislam

Trump alipoingia WH moja ya EO zake ni ku ban watu kutokan nchi za kiislam.
Alihojiwa na kusema Waislam hawawapendi Wamerekani akiendelea na kauli za mudhi

Ziara Saudia iliangaliwa kwa jicho hilo la kauli dhidi ya 'waislam' na ndipo penye mvuto
Tofauti, Trump alipewa mapokezi makubwa na mazuri sana kiasi cha kushangaza wengi

Leo amehutubia viongozi wapatao 41 kutoka Arab world waliokusanyika mjini Riadh.
Hotuba yake sehemu ya kwanza haikuwa tofauti na ile ya Obama ya Cairo, Egypt

Trump kama Obama, alisema US haiamuru middle east nini wafuate , waishi au waamini

Kilichoshangaza wengi ni kutotumia neno 'Islamic terrorists' hata mara moja.
Alisoma Teleprompter ambayo ilionyesha hakuwa katika hali ilibidi tu iwe hivyo

Katika kampeni alisema '...Radical Islamic terrorism, you know what we have a president who refuses to use those words, there's something going on''.

Leo kama Obama hakutumia maneno hayo!!!

Ameziomba nchi za Arab kusaidia mapambano dhidi ya magaidi, kama Obama akiwa Cairo

Mapokezi aliyopata si kwasababu amesamehewa kwa kauli dhidi ya Waislam, kuna siasa
Siasa za middle east ni complicated kuna wakati zinashangaza kwa 'wageni' wa siasa hizo

Baadhi hawaelewi US inategemea Saudia kama nchi kiongozi, na Saudia inategemea US
Kutegemeana ni katika uchumi na ulinzi na hapa siasa za sectarians zinaingia kwa nguvu

Kwanini Trump alipata mapokezi makubwa na mazuri? Inaendelea.....
 
ZIARA YA TRUMP (II)
Kwanini amepata mapokezi makubwa tofauti na ilivyotegemewa?

Jana US na Saudia zimesaini mkataba wa mabilioni ya dollar ukihusisha manunuzi ya silaha
Hili ni baada ya mahusiano kati ya Obama na Saudia kudorora katika nyakati za mwisho

Kuzorota kunatokana na mashambulizi ya Saudia kenda Yemen, yanayolenga madhehebu ya Shia
ambayo waumini wake wengi wapo katika nchi ya Iran

Kuenea kwa Shia Yemen ni tishio kwa Saudia Arabia yenye sehemu kubwa ya waumini ni Sunni
Saudia inaona Iran na silaha za Nyuklia ni tishio ni mwanzo wa 'ubabe' mashariki ya kati

Hivyo sera za Obama za mazungumzo yaliyopelekea kusitishwa kwa utengenezaji wa silaha hazikutazamwa na Saudi Arabia kwa jicho zuri kama ambavyo Israel haikupendelea

Saudia na Israel zingependa Iran ipewe kipigo na kufutilia mbali mpango huo. Mbabe ni US

Hofu yao, mazungumzo hayatoshi ipo siku wanaweza kumiliki silaha kama Pakistan au India

Kauli za Trump dhidi ya Iran zinaonekana kuwapendeza Saudia, wakitumaini ipo siku kipigo kitatokea
Lakini matumaini hayo ni si ya kuaminika. Trump anatumia sera za vikwazo za Obama tofauti na ahadi

Swali la Nyuklia na Iran atakutana nalo akienda Israel. Tayari magazeti yanamwandika kama 'tapeli'
Kwanza, ahadi ya makao makuu Jurusalem amebadili kwa hoja ya 'itavuruga mazungumzo'
Pili, kutounga mkono upanuzi wa majengo ilikuwa ni kuwadanganya Waisrael

Kwa upande wa Saudia, wao walichotaka zaidi ni kupata deal la silaha, hawakumwamini Russia
Saudia inaamini Russia ipo karibu zaidi na Iran. Bora watende jambo kupata mradi wao US

Kutokubaliana kati ya Obama na Saudia kuhusu Yemen, kuna hoja nyingine zilizogusa mahusiano
Obama alisisitiza kuhusu haki za wanawake na ni pro LBGT mambo yasiyokubalika middle east

Na sababu ya mwisho kuhusu Trump ni ushauri wa majenerali kama HR McMaster waliomweleza lazima asome teleprompter na ahakikishe haendi nje. Middle east ni 'volatile region'

Eneo analokanyaga linasikilizwa na watu 1.6 Bilioni
Pamoja na tofauti za madhehebu kauli moja tu inaweza kuleta balaa

Tumalizie kwa kusema shamra shamra alizopata Trump si kwasababu ya sera, kuna mambo nyuma ya pazia mazito kueleweka. Siasa za middle east si za ushabiki au picha

Ni siasa 'complicated to navigate' na haikuanza leo wala jana.

Akiwa ziarani nyumbani moshi unafuka, Michael Caputo naye kawa Subpoena
Huyu ni 'staff manager' wakati wa kampeni za Trump.

Aliomba kuhojiwa, hata hivyo kamati imetoa amri afikishe nyaraka 'muhimu'

Tusemezane
 
d0487cafb42798d27056d7687fef142f

U.S. President Donald Trump touches the Western Wall, Judaism's holiest prayer site, in Jerusalem's Old City
 
Gen FLYNN AKATAA WITO WA KAMATI

'WASHINGTON POST YAELEZA YA TRUMP/NSA/DNI''

Habari zilizotanda kwa siku ya jana ni za Gen Flynn kukataa wito wa kamati kuhojiwa

Flynn amesema kupitia wakili wake atatumia kinachoitwa 'plead the fifth' kifungu cha katiba
Kifungu hicho kinazuia afisa wa serikali kutotumia 'uwezo ' wake katika mahojiano (tafsiri isiyo rasmi)

Flynn alitaka kamati impe 'immunity' kwa atakayosema yasijekutumika katika kumfungulia mashtaka.
WH imekataa kutoa faili la Flynn kuonyesha vetting ilivyofanyika wakati wa usaili kwa nafasi yake

Hoja inayozunguka vichwani ni kuwa kwanini Gen Flynn anahangaika kuficha taarifa?
Kwanini WH inaonekana kumkingia kifua ikiwa hakuna jambo lenye utata kuhusu Flynn?

Rais Obama alimshauri Rais Trump kuhusu Flynn. AG Sally Yates alitoa tahadhari kuhusu Flynn WH

Orodha imeongezeka, aliyekuwa chair wa transition Christie Christ naye kaeleza kuhusu tahadhari
Habari zilizopo sasa ni kuwa Gen Flynn alidanganya wachunguzi siku za awali

Wakati ya Flynn yakiendelea, gazeti la Washington limeeleza 'nukuu' za wakuu wa vyombo vya usalama wakisema Rais Trump aliwaambia 'waachane na suala la Russia''

Inasemwa Rais aliwashinikiza kutoa kauli za kukanusha kuhusu suala la Russia collusion
Hawa ni Dir of national intelligence na Dir. of national security agencies.

Orodha hiyo inaongezeka, wakwanza akiwa Dir. FBI J.Comey

Hii inaeleza jambo moja, kwamba wakuu hao watalazimika kueleza nini walijua na walijua lini
Bila kujali kuna collusion au hapana, tayari kuna dalili za obstruction of justice na zitachunguzwa

Madai ya Comey (FBI) kwamba alitakiwa aachane na uchunguzi yanapata nguvu kutoka kwa Intel chief wawili wanaosema jambo hilo hilo

Kuwakubusha tu wasomaji wetu, katika uzi wa kampeni za uchaguzi, tulisema 'ugomvi wa Trump na media na Intel community utamrudi mbele ya safari' na ndicho kinachoonekana sasa hivi

Lakini kama kuna mtu amebeba siri nzito ya sakata zima Gen Flynn ni mmoja wao.

Tusemezane
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Suala la Russia collusion limeingia mahali pagumu sana. Stay tuned
Ushuhuda uliotolewa na Mkururgenzi wa zamani wa CIA , John Brennan, na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taifa, Daniel Coats, umezidi kumweka Trump mahali pagumu kuliko wakati wowote ule uliopita na kufunika kabisa habari ya safari yake huko Ulaya na Mashariki ya Kati.

Yapo mambo matano waliyoyasema ambayo yanazua maswali kuhusu ushirikiano wa timu ya kampeni ya Trump na majasusi wa Kirusi. Lakini kubwa kuliko yote ni jitihada za Trump katika kuwataka wakuu wa usalama kuingilia kati na kuzima upelelezi ulikokuwa ukiendelea.
  • “It should be clear to everyone that Russia brazenly interfered in the 2016 [presidential] election process.” — Former CIA director John Brennan
  • “My radar goes up early when I see certain things that I know what the Russians are trying to do, and I don't know whether or not the targets of their efforts are as mindful of Russian intentions as they need to be.” — Brennan
  • “These are contacts that might have been totally, totally innocent and benign as well as those that might have succumbed somehow to those Russian efforts.” — Brennan
  • “I believe they tried to damage and bloody her before the election.” — Brennan
  • “Any political shaping of [the intelligence community] would not be appropriate. I have made my position clear on that to this administration, and I intend to maintain that position.” — Director of National Intelligence Daniel Coats
Swali linalowaumiza wadau mbalimbali ni kwa nini sasa Trump anahitaji msaada wa kisheria kumtetea kama kweli tuhuma zinazomkabili anaamini ni za uongo. Tatizo linazidi kuwa kubwa pale matamshi yake yanapozidi kuchochea moto mambo ambayo kama angekaa kimya yangeweza kupoa na labda kuzimika.

Halafu pia kuna hili tatizo kutoka kwa wafuasi wake wanaoamini kila kauli anayoitoa na kudai yanayosemwa juu yake ni njama za tu Rais mstaafu Obama na aliyekuwa mgombea Clinton. Utetezi wao na matamshi wanayoyatoa kwa pamoja bila kuzingatia ripoti za vyombo vya upelelezi yanazidi tu kuchochea mtafaruku.
 
Nilikuwa sijaiona hii...

Mkuu Mag3,
Hamna tofauti kati ya 'special counsel' na 'independent counsel', ni sawa na Obamacare na ACA. Hizi ni terminologies tu. Wengine wanaita 'special prosecutor' au 'independent prosecutor', ni the same thing.

Neno 'Independent' ni sifa muhimu anayotakiwa kuwa nayo huyo mchunguzi, maana bila hiyo sifa hakuna haja yeye kufanya uchunguzi.

Neno 'prosecutor' linamaanisha kazi yake, Congress hawafanyi prosecution ila yeye akiona kuna makosa (indictment) ana-prosecute mahakamani. Ushahidi hapa unatakiwa uwe 'beyond reasonable doubt' sio ule wa kuhisihisi au kuungaunga kama wa Democrats.

Jukumu la 'Independent counsel' chini ya 'United States Office of Independent Counsel' lilianzishwa baada ya uchunguzi wa Watergate chini ya sheria iliyoitwa 'Ethics of Government Act ya mwaka 1978, iliyosainiwa na Rais wa muda huo, Jimmy Carter.

'Independent counsel' ilikuwa formal name ya 'independent prosecutor, na Indep. Cousel ndiye aliyemchunguza Bill Clinton kwenye 'Whitewater'.

Hiyo sheria iliyoanzisha US office of Independent cousel ilisha-expire mwaka 1999, kwahiyo US office of indep. counsel haipo tena badala yake regulations mpya zinatambua hiyo nafasi kama 'special cousel' na sio 'independent cousel'. Kwahiyo watu wanaita hiyo nafasi majina za zamani, mapya na a.k.a, lakini formally kwa sasa inaitwa 'special counsel'.

Huo uchunguzi ukiisha bila Trump kupatikana na hatia, Democrats watatia huruma.
Are you sure [B]El Jefe[/B]? Do you even know what you are saying? Kwa nini Republicans hawakumtaka independent counsel lakini wakaridhia special counsel?
 
TUJITEGEMEE tuchepuke kidogo nikikumbushe kuhusu 'Repeal and replace Obamacare' uliyosema imeshapita kwavile tu congress yenye GOP wengi ilipitisha

Nilikueleza lazima iende seneti na huko itaangaliwa upya. Juzi CBO wametoa taarifa, katika jambo lililoshtua ni lile la watu milioni 23 kukosa insurance. Maseneta wanasema ni 'DOA' yaani dead on arrival

Wengi wanasema haiwezekani kuandika Health act mpya kwa kubomoa ACA yote
Kama kitaandikwa kitu kingine, lazima structure ya ACA ibaki

Anyawy turudi sakata la Russia linalozidi kuleta sintofahamu.
Sessions naye katajwa tena, kamati zimekalia kooni Flynn.

Hoja inayosumbua watu Flynn anaogopa nini? Kwenda kinyume na taratibu za kijeshi! au kwenda tofauti na taratibu za mambo ya nje au kubeba nyaraka zinazohusiana na kampeni!

Flynn katakataa kata kata kutoa nyaraka. Sasa hivi nyaraka zitaletwa kwa nguvu ya kisheria
 
Nilikuwa sijaiona hii...


Are you sure [B]El Jefe[/B]? Do you even know what you are saying? Kwa nini Republicans hawakumtaka independent counsel lakini wakaridhia special counsel?

I think you should tell us your version of the difference/similarity between an 'independent counsel' and a 'special counsel'.
 
Kuhusiana na ACA, hivi mnajua CBO waliipa ObamaCare rating ipi? Mnakumbuka projections zao? Maana zingekuwa sahihi ACA ingekuwa affordable sasa hivi na Republicans wasingekuwa wanahaingaika kui-replace.

Scores za CBO ni indicative scores na sio absolute, zinaweza kuwa challenged maana wana historia ya kukosea projections zao. Which means, sio kwa sababu CBO wame-project x, y, z basi itakuwa x, y, z.

Mawazo ya Democrats inabidi yasichukuliwe kwa uzito sana manaa wao wameshaapa kupinga kila kitu. Kila kitu kwao ni siasa.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
I think you should tell us your version of the difference/similarity between an 'independent counsel' and a 'special counsel'.
While it is true that both are tasked to investigate potential legal breaches amid conflicts of interest in the government,
One is appointed by the Executive (WH via DOJ) while the other is appointed by the Judiciary (CJ via a panel of Judges)

Whereas,
  • A special counsel is a government prosecutor who has been appointed to oversee a criminal investigation where the Justice Department has a conflict of interest or under certain circumstances where it would be in the public interest to appoint an investigator outside the department.
  • A special counsel can be appointed only by the president, the attorney general or the deputy attorney general.
  • As special counsel, after investigation is over, can either pass his findings to Congress or leave the decision on what to do with the findings with the attorney general.
On the other hand...
  • An independent counsel is an attorney who investigates and prosecutes criminal activity in government...he holds people who make and implement laws accountable for their own criminal activity.
  • An independent counsel can only appointed by a three-judge panel picked by the Chief Justice after a law of ethics has been enacted. Currently there is no such Law...it expired in 1999. Democrats knew this congress would never enact such law, not in its present form.
El Jefe, a special counsel does not enjoy the kind and level of independence that an independent counsel enjoys.
Kuhusiana na ACA, hivi mnajua CBO waliipa ObamaCare rating ipi? Mnakumbuka projections zao? Maana zingekuwa sahihi ACA ingekuwa affordable sasa hivi na Republicans wasingekuwa wanahaingaika kui-replace.

Scores za CBO ni indicative scores na sio absolute, zinaweza kuwa challenged maana wana historia ya kukosea projections zao. Which means, sio kwa sababu CBO wame-project x, y, z basi itakuwa x, y, z.

Mawazo ya Democrats inabidi yasichukuliwe kwa uzito sana manaa wao wameshaapa kupinga kila kitu. Kila kitu kwao ni siasa.
Kwanza, projections za CBO kwa ACA, kama si kwa hujuma za wazi zilizoendeshwa na Republicans zingefikiwa. Pili, walikataa katakata kushirikiana na Democrats hata kujadili tu mapungufu yaliyojitokeza na kuyafanyia marekebisho.

Kumbuka walikuwa wameapa kuhakikisha Obama hafanikiwi toka ile siku ya kwanza anaapishwa mwaka 2008. Please be fair wakati mwingine, awali Obama alijitahidi sana kutafuta muafaka lakini Republicans walishaamua tokea kitambo kumkwamisha.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Kwanza, projections za CBO kwa ACA, kama si kwa hujuma za wazi zilizoendeshwa na Republicans zingefikiwa. Pili, walikataa katakata kushirikiana na Democrats hata kujadili tu mapungufu yaliyojitokeza na kuyafanyia marekebisho.

Kumbuka walikuwa wameapa kuhakikisha Obama hafanikiwi toka ile siku ya kwanza anaapishwa mwaka 2008. Please be fair wakati mwingine, awali Obama alijitahidi sana kutafuta muafaka lakini Republicans walishaamua tokea kitambo kumkwamisha.
Ni huyo huyo aliyesema kinachosubiriwa ni CBO.

Hakujiuliza kwanini House ilipitisha mswada kabla ya CBO. Jibu lilikuwa rahisi ukweli wa CBO

Kwa Obama CBO ili project sawa sawa, kilichofanya namba zikabadilika ni kesi na sijui kama ana habari kuwa zipo states ambazo hazikushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa ObamaCare

ACA (Obamacare) ime set bench mark, hakuna anayeweza kuja na kitu akakwepa cores issue

ACA: Inaruhusu watoto chini ya miaka 26 kuwa katika insurance za wazazi wao
Republican Plan: Watoto chini ya miaka 26 wabaki katika insurance za wazazi wao

ACA: Insurance company haziruhusiwi kukataa wenye pre existing condition
Republican plan: state zinaweza kuacha insurance kutoza wenye pre existing condition.

Plan imependekeza 8B ku subsidize wagonjwa. Kiasi kinatosha atu 80,000 katika mamilioni

Kwa kutumia ACA wengi wamenufaiki na hapa ndipo kuna mtinange na mtego kwa Republicans. Waliofaidika si masikini tu ni pamoja na watu wa vijijini ambako Republican walishinda.

ACA: Ilitanua medicaid insurance kwa wasiojiweza (poor)
Republican plan: Imeondoa na kutoa flexibility kwa state kwa kusaidiana na federal.
Imefuta 880B kwa miaka 10

Again kuna misconception maskini ni weusi bila kufikiri weupe wenye matatizo ni waathirika

ACA: Women healthcare, makampuni ya insurance yalizuiwa kuwatoza wanawake zaidi ya wanaume na huduma ziliongeza huduma kwa contraceptive na maternity
Republican plan: Hakuna kutoza wanawake zaidi ya wanaume kwa insurance kama ilivyo Obamacare (ACA)
Hata hivyo insurance kampuni zinaweza kuacha huduma kama contraceptives na maternity

Huu ni mwiba, wanawake bila kujali itikadi za vyama wanaungana na hili, ni mitihani

ACA: Insurance hazitakiwa kutoza wazee mara tatu zaidi ya vijana
Republican plan: Wazee wanaweza kutozwa mara 5 wazee kuliko vijana na state zinauwezo

Waathirika ni wastaafu ambao ni wapiga kura vijijini katika kundi lililounga mkono Republicans

ACA: Iliongeza wigo wa Medicare kwa kutoza wenye uwezo ili kufidia wasio na uwezo
Republican: Futa medicare na taxes kwa wenye uwezo

ACA: Kampuni zinazoajiri zaidi ya watu 50 zinalazimika kuwekea insurance lasivyo kuna penalty
Republican plan: Makampuni hayalazimiki kuwekea watu insurance

ACA: inataka insurance kulipia huduma kama za harura, uchunguzi, dawa, maradhi ya akili
Republican Plan: Zinatoa mamlaka kwa state kuamua au kujitoa katika mpango

Hapa waajiri wanaipenda sana Republican plan, Waajiriwa wanaichukia inaondoa coverage
Hili ni moja ya sababu za kuwa a watu milioni 23 wasio na insurance ukichanganya na sababu nyingine

Waajiri wanatamani ACA ife, makampuni ya insurance yapo njia panda kwasababu wateja watapungua

Kwa upande mwingine makampuni yanapenda Republican plan kwasababu inawapa uhuru wa kutoza watakavyo na kuondoa baadhi ya huduma wanazopaswa kulipia mteja

Kuna hoja ya gharama. Haiwezekani kupunguza gharama bila kuathiri wananchi
kuondoa tax kwa wenye uwezo ni kupunguza uwezo wa medicaid na medicare kwa wananchi

Katika hilo wanawake, wenye kipato cha chini, wazee watakuwa waathirika wakubwa.
Hilo linatishia Rep, ni kundi kubwa likiwa limesambaa vijijini na mijini. Hapo ipo kasheshe

Kwa maneno mengine, ili kupunguza gharama lazima kuondoa baadhi ya huduma, kupunguza federal subsidy
Hili litahamishia gharama kwa wananchi, litapunguza walio insured

Senate inasema ni DOA .
Hivi ni kwa uchache wa namna gani unaweza kuangalia ACA na Republican plan


Tukiacha hilo, mkuu Russia collusion imeingia sebuleni. Jared Kushner yupo katika radar za FBI
Amerejea nyumbani na wakili wake akisema atafika popote atakapotakiwa

Kushner aliongea na balozi Kislyak aliyemuunganisha na CEO wa Bank ya Russia yenye uhusiano na Putin iliyowekewa vikwazo na serikali ya Obama.
 
... Russia collusion imeingia sebuleni. Jared Kushner sasa yupo katika radar za FBI. Amerejea nyumbani na wakili wake akisema atafika popote atakapotakiwa

Kushner aliongea na balozi Kislyak aliyemuungani na CEO wa Bank ya Russia yenye uhusiano na Putin iliyowekewa vikwazo na serikali ya Obama.
El Jefe amemuunga mkono Trump katika dai lake kwamba Russian collusion ni uzushi tu na witch-hunt iliyovaliwa njuga na Democrats kwa hasira ya kushindwa uchaguzi...!
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom