Duru za Siasa: Marekani (U.S) Chini ya Donald J. Trump

Ndugu yangu Mlenge, ningekushauri ujikite kwenye siasa za dunia ya tatu kama Tanzania, hii ya kimataifa inakuzidi kimo. Hii ni kama katoto ka chato kushiriki katika mijadala inayohusu matumizi silaha za nyuklia. Hiyo dola kaa tu ukiisikia, dola ni currency ya dunia na ndio maana hata katoto kama wewe kanaisikia. Dola ikiyumba, uchumi wa dunia unayumba. Uchumi wa Tanzania ukiyumba, ule wa jirani zetu wala hautashtuka! Kalaghabaho!

Mkuu Mag3;

Yawezekana kweli masuala ya kimataifa yamenizidi kimo, lakini hiyo haihusiki na usahihi wa hoja nilizotoa. Kujadili usahihi wa hoja kwa vigezo vya kimo cha mtoa hoja, si mahala pake kwenye jamii ya wanazuoni, hasa wa aina ya fikra za hali ya juu - great-thinkers..

Kukataa hoja kwa minajil ya kuangalia imetolewa na nani huitwa Ad hominem logical fallacy.. Hata saa iliyokufa husema kweli mara mbili kwa siku.

Hukutubainishia iwapo zilizosemwa ni kweli changamoto kuu kwa Marekani au la. Tujaalie na sababu za kuweka hoja hizo. Utakuwa umetufaa sana.
 
My apologies, nilikufananisha...it is all a case of mistaken identity, kunradhi.
 
Mkuu Mlenge
Awali ya yote niwashukuru wewe na Mag3 'for civility'

"Mlenge, post: 29818627, member: 450"]Marekani ni nchi inayopitia katika changamoto anuai.
Nadhani hakuna changamoto kubwa kwa Marekani kama:
US inapitia kipindi hiki kisiasa, kiuchumi na utengamano kwa kile kinachosemwa ''election have consequences'

Rais Trump alishinda primary za Republicans si kwa sera. Hakuwa na 'platform' inayoeleza atafanya nini pengine ukilinganisha na wenzake wote. Alitumia fursa ya kuwatisha watu na kuwatia matumaini yasiyo na uhalisia

Kwa mfano, alihidi kufuta Affordable care act (Obamacare) bila ya kuonyesha mbdala wake

Akaahidi kujenga ukuta 'wall'' akidai pesa zitalipwa na Mexico bila kuonyesha ni kwa namna gani

Akaahidi kufuta NATO na kuteteresha mkataba wa Brettonwood bila kueleza mbdala wake

Akaahidi tax cut bila kuangalia stability ya uchumi na kwamba mwisho wake utakuwa na faida gani

Akaahidi kufuta NAFTA bila kuangalia impact yake kwa wananchi wa Marekani

Akaiondoa Marekani katika mkataba wa TPP bila kuangalia madhara yake ya muda mrefu

Akaahidi kuiendea kombo China bila kufikiri hiyo ni second economy

Mambo mengi aliyoahidi yalikuwa kucheza na akili za wapiga kura ambao wengi hasa wa vijijini walivutika na mambo ya 'kibaguzi' zaidi ya hatma yao hasa kiuchumi

Kufuatia hilo akaweza kuiteka Republicans na kwavile hakuwa na sera zilizoandikwa yeye ndiye 'Republicans'

Chama kikaondoka katika misingi yake ya conservatism na hasa fiscal policy.
Matokeo yake ni uwepo wa neutral fiscal policy kutokana na uchumi aliorithiri kwa Obama wakati huo huo akifanya expansionary fiscal policy kama tax cut

Kwavile haelewi mpangilio na anadhani serikali ni kama Trump organization, anajikuta akitekeleza mambo mawili. Kwanza, fiscal policy ambayo yeye kama exec ana haki.
Pili,Monetary policy ambayo sasa ana mkwaruzano na Reserve bank chairman Jerome Powell

Kwa maneno mengine anachotaka kufanya ni ''implementations of fiscal policy and Monetary policy

Mambo hayo mawili yamesababisha 'market volatility' kila siku ambayo wataalam wa uchumi wanasema ni 'precursor of recession'. Masoko ya mitaji si kigezo cha uchumi lakini yanabeba sehemu kubwa ya mwenendo mzima wa uchumi. Recession iliyopita ilianza taratibu lakini masoko ya mitaji yalichangia sana
1. Ukubwa wa deni la taifa. Toka binadamu waweko kwenye dunia hii, rekodi zinaonyesha deni la taifa la Marekani ni kubwa kuliko taifa lolote lililowahi kuwapo duniani. Kimahesabu, nasikia deni hilo halilipiki, na itabidi Serekali ya Marekani ikatae kulipa baadhi ya madeni (default)..
Deni lilipungua kwa karibu nusu wakati wa Obama ingawahaisemwi. Ni GOP waliokuwa kidete kumzuia Obama wakijinasibu ni watu wa ''fiscal policy''
2. Nakisi ya bajeti ya taifa. Marekani inatumia fedha nyingi kuliko inazokusanya kwa mwaka, na hivyo kuwa na nakisi kwenye bajeti zake.
Tax cut imechangia. Apparently inasemwa kusisimu uchumi
Kwa undani hilo ni suala la muda mfupi huku investors wakiitumia fursa hiyo kujilimbikizia zaidi
Kampuni ya GM ni mfano mzuri
3. Ukichanganya changamoto na. 1 na na. 2 hapo juu, utaona kwamba ni wakati wa kuchukua hatua kali za kiuchumi (austerity measures) pamoja na kuimarisha matumizi ya sarafu ya Dola ya Marekani dunia nzima, na kuendeleza matumizi ya SWIFT na miundombinu mingine inayofanya miamala baina ya mabenki duniani kupitishiwa Marekani. Hizo politiki zingine zote ni sawa na kupiga zumari wakati Roma inawaka moto
Ni ngumu kufanya austerity measures kwasababu yeye ana vyote, neutral policy na expansionary policy.

Lakini pia anataka kufanya fiscal policy na monetary policy kama yeye.Marekani kuna mgawanyo wa majukumu ya istitutions

Reserve bank wanasema wanaongeza interest rate ku control inflation inayotokana na fiscal policy mojawapo ikiwa ni expansionary. Rais Trump anawashupalia wasifanye hivyo kwasababu za kisiasa

Kwamba, sekta kama Housing zitadorora na ajira zitapungua kwahiyo Job number za Ijumaa ya kwanza ya kila mwezi hazitasomeka vizuri na kumuathiri kisiasa

Pamoja na hoja yako kuwa ''politiki zingine ni kupiga zumari'' kwa Taifa kama Marekani huwezi kutenga politics, uchumi na usalama.

Tweet moja ya Trump ilivuruga masoko ya mitaji na kupoteza mabilioni ya dola. Investors hawataki 'uncertainty' .

Haya yanayoendelea katika politics hayatoi hatma ya Trump na hivyo wanakuwa na wasi wasi

Lakini pia politics zina impact yake. Nuclear deal na Iran inazisukuma nchi za EU kutafuta mbadala wa ''Currency' ili waweze kufanya biashara na Iran.

Mwisho, dollar inaweza kupoteza hadhi kama ''World's reserve currency''

Pamoja na yote hayo, Marekani ni Taifa lenye institutions imara kama anavyoonyesha J.Powell wa reserve bank

Ni nchi yenye viwanda na teknolojia ya hali ya juu.Ina nguvu na ushawishi katika biashara, uchumi na siasa

Marekani inaweza kuyumbisha uchumi wa dunia ikijiweka sawa, hata hivyo kuwa default katika madeni ni unlikely

Ile ni nchi ya mabepari , serikali inapoelekea kufanya 'default' inagusa pesa na mitaji ya watu

Lazima wahusika watafanya kitu, watatafuta sababu ili tatizo liondoke
 
ALHAMISI ILIYOBADILI MAISHA WH

RAIS TRUMP SASA KUZOEA MAZINGIRA MAPYA YA UTAWALA

Jana January 3 2019 Bunge la wawakilishi lilizinduliwa baada ya uchaguzi wa muhula (midterm election)

Uchaguzi ulikuwa na matokeo ya aina mbili,House kuchukuliwa na Democrats na Senate kubaki na Republicans

Kwa maana hiyo Spika ni mpya anayerudi katika kiti ni Bi Nancy Pelosi, aliyewahi kuwa Spika wakati wa Obama

Dems ndiyo yenye wajumbe wengi na hivyo kulishikilia Bunge la wawakilishi katika maamuzi

Seneti inabaki Republicans ikiwa na nyongeza ya wajumbe na kuipa nguvu GOP katika baadhi ya masuala

Nguvu ya seneti waliyo nayo Republicans ni katika kuthibitisha wateuliwa wa nafasi kutoka kwa Rais Trump

Itakuwa ni rahisi sana kwa wateuliwa wake kupitishwa kwa idadi ya maseneta wa GOP waliopo akiwemo VP

Kwa upande wa miswada, hali ni ngumu. Kwa taratibu mswada utakaotoka pande yoyote ni lazima uridhiwe na upande mwingine, kwa maana kati ya senti na House. Hapa ndipo mteremko wa Rais Trump ulipoondoka

Spika aliyemaliza muda wake, Bw Ryan alikuwa na majority ya GOP na hivyo kurahisisha upitishaji miswada

Kwa upande mwingine, ule ''ulinzi' aliokuwa nao kutoka kamati za House kama ile ya Bw Nunes sasa haupo

Kamati za House zitaongozwa na Dems kama ambavyo za seneti zinaongozwa na GOP

Kwa masuala yanayomtishia Rais Trump kama kashfa mbali mbali kuna ulinzi kidogo tu uliopo ndani ya seneti

Kwa hoja yoyote hata kama ni kushtakiwa 'impeachment' ni lazima theluthi mbili ya maseneta waikubali.
Yaani katika 100 unahitaji maseneta 67. Hiyo ni kinga aliyo nayo rais Trump

Katika House hali ni tofauti sana. Wawakilishi hao wana uwezo wa kuitisha nyaraka au kumhoji mtu yoyote kuanzia wajumbe wa baraza la 'mawaziri', wateuliwa, raia wa kawaida n.k. kwa njia ya kisheria 'subpoena'

Ulinzi huo ulikuwa muhimu sana kwani wenyeviti wa kamati walizuia nyaraka au kuhojiwa baadhi ya watu kwa kutaka kuficha au kumkingia kifua Rais Trump. Kwasasa hilo halitakuwepo na hapo ndipo kiwewe kinapanda

Pengine katibu muhtasi wake atahojiwa kuhusu mkutano wa June chini ya kiapo!
Pengine marejesho ya kodi za Trump aiyoficha miaka nenda rudi yatakuwa wazi
Pengine watu waliotoa ushahidi kwa usiri 'closed door' nyaraka zako zitakuwa wazi.
Pengine simu iliyofichwa namba ya June Trump tower itakuwa wazi
Pengine miamaa ya bank za ujerumani zenye uhusiano na Raussia itakuwa wazi n.k. n.k.

Kwa ufupi, Rais Trump anakuwa 'more vulnerable' kuliko ilivyokuwa

Jitihada za kukampenia maseneta zimezaa matunda kwa kumpa Rais Trump 'uzio' mwembamba na nafasi ya wateule wake kupitishwa bila mbinde

Gharama za kupoteza House ni kubwa, kwanza, anafungwa 'mikono' katika sera, pili, anawahitaji Dems, tatu habari zake zilizokuwa siri sasa zitaanikwa na kumwacha uchi kwa gharama kubwa ya kisiasa

Maisha ndani ya jumbe jeupe ya leo si ya jana au juzi au siku alipokula kiapo

Tusemezane
 
Mkuu,
Asante kwa andishi hizi.

Mimi nina maswli kadhaa

1. Je seneti haiwezi kuzuia baadhu ya mambo yanayoendelea House kusimama?

2. Rais hana uwezo wa kuivunja house?

3. Kama kuna baadhi ya mambo yamekwama house mfn miswada kushindwa kupita, bajeti kukwama, Seneti haiwezi kupitisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"General Mangi, post: 29887921, member: 190025"]Mimi nina maswli kadhaa
1. Je seneti haiwezi kuzuia baadhu ya mambo yanayoendelea House kusimama?
Mkuu, US wana Bunge(congress) lenye mfumo wa Bicameral ikimaanisha kuna upper chamber(senate) na Lower Chamber(House of reps) . Kwetu tuna Unicameral ambayo ni Bunge tu

Chamber hizi zinafanya kazi kwa ushirikiano ingawa senate ina majukumu zaidi ya kuthibitisha Wateuliwa

Senate haiwezi kuzuia shughuli za House na wala House haiwezi kuzuia shughuli za senate

Kinachoweza kutokea katika miswada ni upande mmoja kukwamisha upande mwingine
Ndiyo maana mswada wenye utata kwa pande mbili lazima ufanyiwe ''reconciliation''

Ni rahisi miswada kupita ikiwa chama kimoja kitamiliki House na senate
Spika wa House na senate majority leader wataongea lugha moja

Senate ina wajumbe wachache (100) akiwemo VP.

Ni wastani wa maseneta 2 kwa state, inaweza kuwa zaidi au pungufu kutokana na sheria kama za electoral college. State moja katika electoral college inaweza kuwa na wajumbe wengi bila kujali eneo lake

Pamoja na nguvu ya seneti ukilinganisha na House, Spika wa House ni mtu wa 3 katika ngazi za utawala

Rais ''asipokuwepo'' makamu wa Rais anafuata na kisha Spika. Hapa siyo senate majority leader

Ukilingaalia suala hili, utabaini walioweka walikuwa na makusudi.
Kwanza, Spika anawawakilishi wengi ndani ya House wanaotokana na wananchi moja kwa moja

Pili, kuhakikisha senate inabaki na nguvu za ''checks and balances'' hata Rais au VP wanapokuwa hawapo.

Miswada inayoweza kupewa 'veto' na congress kwamba Rais hana mamlaka ya kuibadili.
Tuliona katika vikwazo dhidi ya Russia ambapo Bunge liliona Trump anaweza kubadili au kuondoa vipengele. Ni kama mswada wenye ''seal''

Kwa ilivyo sasa House ni ya Dems ndiyo maana jana walipitisha mswada wa kufungua serikali
Senate ni ya Republicans bado wanasita kujadili hilo kwani ni kumweka Rais katika wakati mgumu
2. Rais hana uwezo wa kuivunja house?
Walioandika katiba ya US zama hizo wanasema Rais anachaguliwa kwa electoral college.

Senator na House rep wanachaguliwa moja kwa moja na wananchi.Rais hawezi kuvunja ''Congress'

Mifumo inayoweza kuvunja bunge ni ile ya Waziri Mkuu kuwa kiongozi Bungeni kama UK , Canada, n.k.
Endapo hataungwa mkono, au atapoteza kura ya imani basi jawabu ni kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi

Kwetu sisi mfumo umechukua huku na kule kwamba Rais ni kiongozi wa state na Government kama ilivyo US, lakini bunge letu ni la mfumo wa commonwealth. Hili nalo lilitakiwa kuangaliwa katika katiba
3. Kama kuna baadhi ya mambo yamekwama house mfn miswada kushindwa kupita, bajeti kukwama, Seneti haiwezi kupitisha?
Jibu lake ni kama nilivyoeleza awali

Ikumbukwe pamoja na uwepo wa Congress, Rais amepewa nguvu za kutekeleza mambo kadhaa bila ruhusa ikiitwa executive Order. Mambo hayo yameaanishwa kikatiba na yakikiukwa mhimili wa mahakama unatafsiri

Kuna shauri mahakamu kuu. Obama alitumia executive order kuruhusu wakazi (DACA) kupata muda zaidi wa kuishi US. Wapo wanaosema hiyo si sehemu ya mamlaka ya executive order, wamelifikishamahakamani

Rais pia amepewa kura ya 'veto', anaweza kuukataa mswada hata kama umepitishwa na senate na House

Senate nayo ina utaratibu wa mambo yanayoweza kupitishwa kwa simple majority na yanayohitaji 60 votes
Kwa maana kuwa ili kupata 60 kwa mgawanyo uliopo ni lazima suala likubaliwe 'bipartisan'

Hii si sheria ni kanuni zinazotungwa na senate na zinaweza kubadilishwa kwa kile wanachotania 'nuke option'

Kwa kuiangalia katiba ya US mfumo wao umesukwa kwa kutambua mihimili mitatu ya nchi ikiwa huru
Ni mfumo unaozingatia mgawanyo wa madaraka na unalinda kila upande kisheria

Congress inaweza kumuondoa Rais madarakani kwa makosa.
Mchakato 'process' hiyo si rahisi kama inavyodhaniwa.

Ni lazima kuwe na 'article of impeachment' ipitishwe na House na kisha ipate 2/3 ya maseneta
Kwa ujumla wa maseneta 100, ni lazima wapatikane 67

Kwa hali ya senate ya sasa ambayo ni takribani 47 kwa 53 , maana yake ni kuwa kama Dems watataka 'impeachment' kwa Trump lazima wapate Republicans 20 kuwaunga mkono

Hili halimaanishi haiwezekani, lakini lazima kuwepo na hoja za msingi za kufanya hivyo

Hoja hizo ndizo zinamtia Kiwewe Rais Trump na ''Russia''.

Kwamba, yanaweza kufumuliwa mambo yatakayosababisha GOP wamwache kama ilivyokuwa kwa Rais Nixon

Nixon alijiuzulu kwa kuwa maseneta wa Republicans walimuacha na kujiunga na Dems kwa uzito wa kosa
Hivyo, aliona ni vema ajiuzulu kwani asingeweza kuhimili kishindo

Kwa upande wa Majaji nao ni hivyo hivyo.
Huteuliwa na Rais aliyeko madarakani, huthibitishwa na seneti. Wakishakuwa majaji hiyo ni kwa maisha.

Kwamba, kuwaondoa kirahisi ni jambo gumu sana linalohitaji mchakato wa kimahakama

Lakini pia mfumo wao umetengenezwa kuhakikisha watendaji wanawajibika kwa Rais tu bali na congress. Kwamba wanaweza kuitwa na kuhojiwa na Bunge

Unaona wakuu wa FBI, Wakuu wa CIA na Intel community, Reserve bank n.k wakiitwa kufafanua hoja

Minyukano unayoiona US ni 'health' na ndiyo maana taifa hilo linaendelea.
Kwamba, kuna mifumo iliyotengenezwa kuhakikisha nchi inakwenda si kwa matakwa bali kwa mujibu wa katiba
 
Shukran mkuu,
Jana nimeona Trump akisema anaweza tumia National emergency kuweza kupitisha hiyo baneti ya ujenzi wa ukuta.
Hii imekaaje?

Pili,
Huko house na Senate kunakuaa na Mawaziri wa serikali ambao hujibu hoja za wabunge kama hapa kwetu?

Tatu,
Rais wa Marekani anaweza shitakiwa baada ya kustaafu kama alifanya makosa kwenye awamu yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran mkuu,
Jana nimeona Trump akisema anaweza tumia National emergency kuweza kupitisha hiyo baneti ya ujenzi wa ukuta.
Hii imekaaje?
Hoja si kupitisha bajeti kwasababu hana uwezo huo peke yake bila congress
Hoja ni kutaka kutumia 'national emergency' kujenga ukuta kwa kinachosema 'national security'

Uwezo wa kutumia pesa kwa 'emergency' anao kisheria na hakuna anayeweza kumzuia
Laiti ingalikuwa rahisi kiasi hicho Rais Trump angeshafanya kama alivyofuta sheria nyingi kwa exec order

Trump anaelewa katika nchi yenye institutions imara na wasomi, yenye uhuru wa maoni suala hilo linaweza kumweka katika wakati mgumu. Itabidi wataalam waiulize mahakama kuhusu 'emergency, national security n.k

Kwa hali ilivyo suala la ujenzi wa ukuta lipo muda mrefu kama Uzio na si ukuta.

Hata unaoonekana sasa 'fence' kwa baadhi ya maeneo zilijengwa muda mrefu zingine zikifanyiwa ukarabati
Swali ni je, ukuta ni suala la emergency kama linavyosemwa?

Kuhusu national security, takwimu zinaonyesha tangu ameingia madarakani Wahamiaji haramu wamepungua kupitia njia za panya. Je, kuna tishio la usalama? na tishio hilo linalizimisha uwepo wa ''emergency '' ?

Maamuzi yakiegemea upande wake atakuwa ameshinda na hakuna litakalotokea
Maamuzi yakienda dhidi yake, congress na House inaweza kuzusha mjadala wa kupokwa madaraka ya bajeti, matumizi mabaya ya ofisi na ukiukwaji wa taratibu zinazosimamisha mihimili mitatu

Pili,kuhusu mawaziri mfumo wao hauna maswali na majibu kama ule wa commonwealth

Kwetu sisi kwa maoni ni mfumo wa kijima kidogo.
Maswali yanatumwa na kutafutiwa majibu kinachofanyika ni kuyasoma na kutoa majibu

Tatu,sheria za US zina vipengele vingi kwa maana zimeanishwa kwa undani hazipo wazi tu kama zetu
Kuna kitu kinaitwa 'statute of limitations' yaani muda wa shtaka kupelekwa mahakamani kwa kusikilizwa
Muda ukiwa umekwisha huwezi kumshtaki awaye kwasababu ya kipengele hicho

Sasa kwamba Rais wa Marekani anaweza kushtakiwa akiwa madarakani bado ni mjadala unaoendelea hadi sasa
Baada ya madaraka itategemea aina ya kosa, limetendeka lini n.k.
 
Senate ina wajumbe wachache (100) akiwemo VP.

Ni wastani wa maseneta 2 kwa state, inaweza kuwa zaidi au pungufu kutokana na sheria kama za electoral college. State moja katika electoral college inaweza kuwa na wajumbe wengi bila kujali eneo lake

Senate ina wajumbe wawili wawili kwa kila state bila kujali ukubwa wa state yenyewe. Ndiyo maana kumekuwa na lawama kuwa maseneta kutoka state zenye watu wachache sana kama Alaska, Wyoming, North Dakota, South Dakota na Vermont wana nguvu sawa na maseneta wa kutoka state zenye watu wengi kama California, New York, Florida na Texas. States za Alaska, Wyoming, North Dakota na South Dakota ni za wakulima na watu wake wengi wanaishi huko vijijini, na hao ndiyo nguvu ya Trump na Republicans kwa jumla kwenye senate. Hizo state zote kwa pamoja zina watu wachache kuliko jiji la Dar es Salaam.
 
Mkuu Mlenge
...

Lakini pia politics zina impact yake. Nuclear deal na Iran inazisukuma nchi za EU kutafuta mbadala wa ''Currency' ili waweze kufanya biashara na Iran.

Mwisho, dollar inaweza kupoteza hadhi kama ''World's reserve currency''

Pamoja na yote hayo, Marekani ni Taifa lenye institutions imara kama anavyoonyesha J.Powell wa reserve bank

...

Tuko pamoja.

Hapo kwenye bold ndipo penye siri kuu ya ukubwa wa taifa la Marekani. Si suala la kulichukulia kwa masikhara kama ambavyo sasa hivi wa Mrengo wa Kushoto na wale wa Mrengo wa Kulia Marekani wanavyotumia nishati nyingi kubishana mambo yasiyo na matokeo makubwa sasa kuhusu sarafu ya Marekani na inavyotumiwa duniani.

Tayari wameanzisha taasisi mbadala wa zile swahiba wa Marekani (mf. mbadala wa IMF). Hii ni pamoja na hatua nyingine za kupunguza utegemezi kwa sarafu ya Dola ya Marekani. Mategemeo yangu yalikuwa ni kuona suala hilo linachukua uzito unaostahili kwenye siasa za ndani ya Marekani, lakini badala yake linaonekana ni kama mengineyo tu (footnote). Ukiangalia namba za mapato na matumizi ya Marekani ( http://www.usdebtclock.org ) matarajio ya kudhibiti deni la taifa yanakuwa madogo. Ukichanganya na kushuka kwa thamani ya 'shilingi' ya Marekani (US Inflation Calculator ), pengine ipo haja ya wao kuangalia upya vipaumbele vyao.
 
Senate ina wajumbe wawili wawili kwa kila state bila kujali ukubwa wa state yenyewe. Ndiyo maana kumekuwa na lawama kuwa maseneta kutoka state zenye watu wachache sana kama Alaska, Wyoming, North Dakota, South Dakota na Vermont wana nguvu sawa na maseneta wa kutoka state zenye watu wengi kama California, New York, Florida na Texas. States za Alaska, Wyoming, North Dakota na South Dakota ni za wakulima na watu wake wengi wanaishi huko vijijini, na hao ndiyo nguvu ya Trump na Republicans kwa jumla kwenye senate. Hizo state zote kwa pamoja zina watu wachache kuliko jiji la Dar es Salaam.
Mkuu, walioandika katiba na sheria za US walikuwa na hekma kwa kuangalia wakati huo ambazo naweza kusema zilikuwa na busara

Alaska , Wyoming, N.Dakota, S.Dakota na Vermont zina maseneta 2 kama ilivyo California, NY, Florida na Texas

Malalamiko kwanini zina maseneta sawa na state kubwa yanaweza kujibiwa kwa kuangalia electoral college map

Alaska ina wajumbe 3, N.Dakota 3, S.Dakota 3, Wyoming 3 na Vermont 3 kwa jumla ya 15
California wajumbe 55, NY 29, Texas 36 na Florida 29

Kwa hesabu, mgombea Urais hahitaji kukampeni Alaska, Wyoming, N, S Dakota au Wyoming kupata wajumbe 15. Muda huo angeutumia kukampeni Florida peke yake na kupata wajumbe 29, 14 zaidi ya state 5

Nadhani, kwa maoni yangu kutoa maseneta 2 kila state ni kutoa nguvu ya maamuzi katika Federal wakijua kuna state zina disadvantage katika kumchagua Rais kwavile mfumo ni electoral college siyo popular vote

Hivyo wanaolalamika kuwa state zenye watu wachache zina maseneta 2 watambue electoral college pia haipo fair kwa baadhi ya state katika kumchagua Rais

Generation iliyopo ina question sana kuhusu electoral college wakisema Rais anachaguliwa na state chache

Texas, NY, Florida na California zinatoa wajumbe 149 ikiwa ni zaidi ya nusus ya wajumbe wanaotakiwa kumchagua Rais kwa magic number 270
 
Ni kweli lengo la wakati huo la kuwa na idadi sawa ya maseneta ilikuwa kama ambavyo Nyerere alivyosema Zanzibar iwe na serikali yake, yaani kuweka namna fulani ya usawa kusudi state ndogo zisionekane kumezwa na state kubwa katika utungaji wa sheria. Tatizo ni kuwa kwa vile senate peke yake ndiyo inayotumika kuthibitisha uteuzi wa majaji, pamoja na watendaji wakuu wa serikali, maseneta wanane wa North Dakota, South Dakota, Wyoming na Alaska wana nguvu kubwa sana kwenye uteuzi huo. Huyu Justice Kavanaugh alipita kwa kura moja tu ya Senator Suzan Collins wa Maine mbayo nayo ni state ndogo sana, lakini sasa atakalia kiti hicho maisha yake na kuamua kesi zitakazohusu raia wa state zote..
 
SIASA ZA VIUNGA VYA DC WIKI HII
''SERIKALI KUFUNGWA'', MUELLER NA UCHUNGUZI

Mvutano wa kufunga serikali kwa baadhi ya idara umeendelea. Mvutano umetengenezwa na Rais Trump
Trump anataka kupewa bilioni 5.6 za ujenzi wa ukuta. Mwanzoni, GOP na Dems walikubaliana kuhusu mswada

Wahafidhina katika radio za mrengo wa kulia wakamatisha Trump kuhusu mswada uliopitishwa wakimtaka akomae na msimamo wa ujenzi wa ukuta ambao awali aliwaahidi Wamarekani utalipiwa na Mexico

Kikubwa kinachomweka katika kona ni kauli yake alipokutana na viongozi wa Dems akiwemo Spika Nancy
Trump alisema 'anafurahi kufunga serikali, atawajibika na Dems wasilaumiwe'

Kama tulivyoeleza awali , katika kutoka kwenye mkwamo, sasa hivi anataka kutumia ' emergency' kama kigezo
Hili litamsumbua likienda mbele ya mahakama, lakini kubwa zaidi ni matumizi nje ya utaratibu ku fund wall

MUELLER
Hayo yakiendelea mazonge zonge kuhusu uchunguzi wa Russia yamechukua sura mpya kabisa
Kwa muda mrefu kumekuwepo na hoja kuwa hakuna 'collusion' kati ya Trump kampeni na Russia

Katika hati ya mahakama iliyofutwa ili kuhifadhi baadhi ya vifungu(kisheria) mwanasheria wa aliyekuwa mwenyekiti wa kampeni Bw Manafort alighafilika katika kuziba baadhi ya maeneo na kuwezesha wanahabari kusoma kwa undani nini kilichojiri

Manafort anakabiliwa na mashtaka ya kutoa takwimu za ndani za kampeni 'internal poll' na kumpa Mrusi mwenye uhusiano na Krelin. Imethibitishwa pia wawili hao walikutana Spain wakati US ikiiwekea Russia vikwaazo

Jambo hili limeleta taharuki kubwa kwani mtunza takwimu naye pia kahojiwa na Mueller

Wachunguzi wanasema yapo mengine aliyo nayo Mueller yasiyojulikana kuhusu uchunguzi wake

ROSENSTEIN
Deputy AG Roseinstein ameelezwa kuondoka kazini kwa hiari baada ya AG Barr uthibitishwa
Kuondoka kwake kuna ashiri uchunguzi wa Mueller kufikia hatma. Huyu alikuwa Boss wa Mueller

WH YAAJIRI WANASHERIA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida WH imeajiri wanasheria 17 wakisemwa ni katika kujiandaa kuzuia taarifa ya Mueller kuwekwa wazi kwa kutumia ' executive privilege'
Nalo limeacha maswali mengi. Ikiwa hakuna kibaya kilichotendwa hofu ya kuweka taarifa wazi inatoka wapi?

COHEN KUHOJIWA NA KAMATI YA HOUSE

Mwanasheria wa Trump miaka 12 Bw Cohen anayetarajiwa kuingia magereza mwezi wa 3, amekubali kuhojiwa na kamati ya House chini ya Adam Schiff kuweka bayana kila anachojua kuhusu bosi wake Trump

KUPOTEZA HOUSE NA MATATIZO YAKE
Trump alipoteza House na hivyo Spika na wenyeviti wa kamati kuchukuliwa na Dems.
1. Kufungwa kwa serikali na kukwama kwa wall ni matokeo ya kupoteza House
2. Kamati za House kuchukuliwa na Dems kutaanika mambo yake meng hadharani
3. Mzozo mkubwa utazuka kuhusu taarifa ya Mueller kuwekwa hadharani.

Dems wakiwa na House hali inaonekana kutokuwa njema kwa Trump.
Kwa siasa za DC kila kitu kitakuwa wazi au kutakuwa na shinikizo liwe la kisheria au kisiasa kuiweka taarifa hadharani

Haya yanamweka Rais Trump katika mtanziko mkubwa. Kuna tusichojua ni suala la muda tu

Tusemezane
 
Hoja si kupitisha bajeti kwasababu hana uwezo huo peke yake bila congress

Hoja ni kutaka kutumia 'national emergency' kujenga ukuta kwa kinachosema 'national security'

Uwezo wa kutumia pesa kwa 'emergency' anao kisheria na hakuna anayeweza kumzuia
Laiti ingalikuwa rahisi kiasi hicho Rais Trump angeshafanya kama alivyofuta sheria nyingi kwa exec order

Trump anaelewa katika nchi yenye institutions imara na wasomi, yenye uhuru wa maoni suala hilo linaweza kumweka katika wakati mgumu. Itabidi wataalam waiulize mahakama kuhusu 'emergency, national security n.k

Kwa hali ilivyo suala la ujenzi wa ukuta lipo muda mrefu kama Uzio na si ukuta.

Hata unaoonekana sasa 'fence' kwa baadhi ya maeneo zilijengwa muda mrefu zingine zikifanyiwa ukarabati
Swali ni je, ukuta ni suala la emergency kama linavyosemwa?

Kuhusu national security, takwimu zinaonyesha tangu ameingia madarakani Wahamiaji haramu wamepungua kupitia njia za panya. Je, kuna tishio la usalama? na tishio hilo linalizimisha uwepo wa ''emergency '' ?

Maamuzi yakiegemea upande wake atakuwa ameshinda na hakuna litakalotokea
Maamuzi yakienda dhidi yake, congress na House inaweza kuzusha mjadala wa kupokwa madaraka ya bajeti, matumizi mabaya ya ofisi na ukiukwaji wa taratibu zinazosimamisha mihimili mitatu
General Mangi , hapo ndipo Trump alipofikia kama tulivyoeleza
 
SIASA ZA VIUNGA VYA DC

KITANZI 'KINABANA' KWA TRUMP UCHUNGUZI WA MUELLER

Jana tulieleza utawala wa Trump kuajiri wanasheria 17 kukabiliana na taarifa ya mwisho ya uchunguzi wa mueller

Kila uchao kuna jipya linatokea likieleza uzito wa 'kitanzi' anachokabiliana nacho tajiri Trump

Gazeti la NYT linaripoti kuwa baada ya kumfukuza James Comey wa FB, idara ilianzisha uchunguzi kubaini iwapo Trump anafanya kazi kwa niaba ya Russia au anakuwa influenced bila kujijua,Uchunguzi ulirithiwa na Mueller

Ikumbukwe Comey alipofukuzwa Rais Trump alionekana WH akimtuhumu kama 'no job'

Kwa muda, wachunguzi wamefuatilia kwa umakini Rais Trump na mahusiano yake na Russia
Mkutano wa Helsinki na kauli za Trump kukana Intel community zake kwa gharama ya Russia kuna maswali

WH imejibu taarifa ikisema Comey na McCabe walifukuza kazi bila kukanusha kama taarifa ni kweli au si kweli
Kwa taarifa ya WH isiyokanusha na ikiwatuhumu wawili hao, kuna kila sababu ya kuamini taarifa hiyo pasi shaka

Tulieleza awali, kitendo cha kuwatimua maafisa waandamizi huku akiwacharua hakina mwisho mzuri

Kuvuja kwa taarifa hizo kuna weka ugumu zaidi na kunachagiza taarifa ya Mueller kuwekwa wazi

Habari kama hii ya NYT haiji tu kama taarifa, inaambatana na nyakati(timing) na nini kinaendelea

WANASHERIA
Wanasheria 17 wameajiriwa kwa minajili miwili
1. Kuhakikisha vifungu vya sheria vinatumika taarifa ya Mueller isiweze kutolewa hadharani

Baada ya kuliangalia suala zima na taasisi zilivyo nchini Marekani inaonekana hata mbele ya mahakama suala hilo ni ugumu, na mahakama ikiamua itolewe hadharani madhara yake yatakuwa makubwa

2. Plan B, ni kuichukua taarifa ya Mueller na kuihariri kwa hoja kwamba ni 'classified information' hivyo si kila kitu kinapaswa kuwekwa wazi mbele ya jamii. Hivyo 'edited' taarifa itakuwa na 'reductions' kuficha baadhi ya mambo

HOJA;
Kwa muda Trump na kampeni yake pamoja na wapambe katika magazeti na mitandao wamedai uchunguzi wa Mueller kuhusu collusion hauna jipya. Hadi sasa hatuwezi kusema ipo au la hadi taarifa ya mwisho

Taarifa ya uwepo wa mahusiano ya kikazi kati ya Meneja au mwenyekiti wa kampeni Manafort kuhusu takwimu imeonyesha uwepo wa jambo, tena zito. Suala ni je, Trump alijua, na alijua nini na lini

Pili, iwapo uchunguzi ulikuwa ''witch hunt' kwanini Trump anahaha taarifa ikiwa haina chochote kuwekwa ?

Kwanini anahangaika taarifa ifichwe na kama kutolewa itolewe ikiwa imehaririwa na kufichwa vifungu?

Kwa nchi kama Marekani hakuna namna taarifa hiyo itaweza kufanyiwa editing au kufichwa.

Mueller ataiandika katika hali ambayo labda kufutwa yote, uhariri utakuwa mgumu

Kama taarifa itakuwa classified kuna watu wanaoruhusiwa kisheria kuiona na miongoni mwao ni viongozi waandamizi wa Democrats.

Lazima kutakuwa na shinikizo la kuitoa taarifa hiyo kisheria au kisiasa

Hapa tulipo ni wazi kitanzi kinabana kwa Trump

Ila Trump ana Moyo wa Chuma,
Pamoja na masekeseke haya, anaonekana kutokujali huku akiendelea na mambo mengine...

Leo ni siku ya 22 baadhi ya taasisi za serikali zimefungwa. FBI wameomba bunge na ikulu iwape pesa.

Trump kawaita Democrats warudi Washington kupiga kura upya.

Tukiachana na haya, naona kutotulia kwa siasa ya marekani imefanya Mataifa mengine marais wao kuwa makatili.

Trump hajali siasa za kimataifa hata kidogo.
 
Mkuu Mlenge
Awali ya yote niwashukuru wewe na Mag3 'for civility'

US inapitia kipindi hiki kisiasa, kiuchumi na utengamano kwa kile kinachosemwa ''election have consequences'

Rais Trump alishinda primary za Republicans si kwa sera. Hakuwa na 'platform' inayoeleza atafanya nini pengine ukilinganisha na wenzake wote. Alitumia fursa ya kuwatisha watu na kuwatia matumaini yasiyo na uhalisia....
Asante tena Angalia kiambatisho cha video ifuatayo. (CHANZO: Mitandao).
 
Attachments

  • VID-20190120-WA0027.mp4
    15.7 MB · Views: 2
Nawapenda Marekani. Hata kama una tuhuma kiasi gani unakuwa mtu huru hadi pale ushahidi unaotosheleza kushtakiwa ukipatikana ndipo unakamatwa na kufikishwa mahakamani mara moja. Kabla ya hapo wewe ni mtu huru na unaweza kutumia uhuru huo kuongea unavyopenda na kutamba unavyopenda kama alivyokuwa akifanya Roger Stone.

Lakini siku ya siku ikifika unadakwa kama mpira na si ajabu maneno na tambo ulizokuwa ukizunguka na kuyahubiri yakakubomoa badala ya kukujenga. Sijui nani atafuatia baada ya Roger Stone lakini ni wazi Trump anatakiwa akae chonjo kwani ukuta anaotamani kuujenga unaweza ukamwangukia yeye na kamfunika!

Breaking News: Roger Stone’s Arrest Is the Signal for Congress to Act - The Atlantic

The indictment of Roger Stone moves the Trump-Russia story forward—but leaves the country stuck in exactly the same place.
Stone has been indicted for obstruction, making false statements, and witness tampering, but here’s what he was lying and witness-tampering about: his repeated communications with WikiLeaks to further and enable Russia’s interference in the 2016 campaign.

On the basis of the indictment, it appears that the Trump campaign had advance knowledge that the October WikiLeaks dump was coming—and what its contents might approximately include. Via Stone, the Trump campaign coordinated messaging with WikiLeaks. Stone’s link to WikiLeaks told him, “Would not hurt to start suggesting HRC old, memory bad, has stroke, neither he nor she well. I expect that much of next dump focus …”

But here’s how we’re stuck. We are now entering the third year of a presidency tainted from its start by clandestine assistance from Russia. That corrupt connection overhangs every strategic decision: the president’s repeated threats to quit NATO; his refusal to implement congressionally voted sanctions to punish Russia for nerve-agent poisonings in the U.K. Only 31 percent of Americans feel confident that Russian President Vladimir Putin is not blackmailing their own president, according to the latest Marist poll.

Thanks to the Mueller inquiry, individuals associated with this election scandal are beginning to face justice. But also thanks to the Mueller inquiry, the nation remains as vulnerable as ever to the consequences of the scandal: a president beholden to a hostile foreign power.

When the Mueller probe was initiated almost two years ago, I worried here at The Atlantic:

A special prosecutor could wrap the investigation of the Trump-Russia matter in secrecy for months and years—and ultimately fail to answer any of the important questions demanding answers.​

I worried because:

A special prosecutor … seeks crimes. The criminal law is a heavy tool, and for that reason it is thickly encased in protections for accused persons. The most important protection from the point of view of the Trump-Russia matter is the rule of silence. A prosecutor investigating a crime can often discover non-criminal bad actions by the people he is investigating. If those bad actions do not amount to crimes, the prosecutor is supposed to look away.

Today’s Stone indictment pounds home that warning. Mueller does not have a record of bringing frivolous charges. If Mueller convicts, Stone will then face a lengthy term in prison, perhaps alongside his former lobbying-firm partner, Paul Manafort. Mueller is likely moving now to the next step in the chain, and more indictments will ensue.

But how does this backward-looking justice serve the country now? The Mueller investigation has impressively suppressed all leaks. It has spoken only to slap down news reports it regards as incorrect and inflammatory, such as the BuzzFeed report last week that President Donald Trump had directly counseled his former lawyer Michael Cohen to lie to Congress.

The result of this praiseworthy discretion is that the main thing the country has to worry about—Trump’s obligations to Putin—remains wrapped in official silence. The prosecutorial mission is being carried out with textbook professionalism. Meanwhile, we are losing sight of the underlying purpose of the mission—to protect the country from a potentially disloyal president.

Through the election and to this day, the Russians have held damaging information about Trump, information that is only now being confirmed to Americans. In October 2016, it was an obvious inference that the Trump campaign was working with WikiLeaks. Now that obvious inference forms the basis of an indictment.

Many other inferences could be drawn today, but there is not yet public evidence to support them, and they are not yet lodged as formal criminal charges: financial connections between Trump and Russia, the sharing of operational campaign information, and other terrible possibilities, too.

The truth about these things is presumably known to Robert Mueller and his team. To the extent that this truth is prosecutable, Americans will eventually learn more of it through further indictments and—if the next attorney general allows it to be released—a future Mueller report. Perhaps that will happen this year, or maybe next.

But now—now!—the country is in danger. Now—now!—it is headed by a president whose fundamental loyalty to America cannot intelligently be trusted. Waiting for Mueller has always been a slow option. That slowness more and more appears a danger that the country cannot safely risk.

It’s time for Congress to step in, not with a view to punishing the guilty, but with a view to protecting the security of the nation from the guilty, whether they are ever juridically punished or not.
 
Back
Top Bottom