TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,077
Asante sana , Mkuu, kwa kusoma post yangu na kupitia hiyo posti umenipa changamoto ya kupata majibu ya maswali kadhaa uliyouliza. Nakujibu kadri nilivyopata uzoefu kwenye ujukwaa hili, Mkuu wewe ukiwa mshiriki muhimu kwa kunipa uzoefu huo.
Karibu kwa majibu.
===
(b) Haya maneno nimeyazoea sana, nimeishawekwa kwenye 'ignore list' na bado hilo halijanikatisha taama ya kutaka
kuelendea kujifunza ili nijitambue. Hivyo, kama maneno ya namna hii yanakusaidia kuimarisha hoja yako kwa
wahusika, endelea tu kuyatumia. Ha ha haaa!
(c) Kuna uzi kwenye jukwaa hili kuhusu uchaguzi wa Marekani, wakuu akina Nguruvi3, na wengine ukiwemo wewe
mkuu mwenyewe, mlitufafanulia kinagaubaga juu ya utaratibu wa upigaji kura na upatikanaji wa ushindi kwa kura
za urais. Na hapa nakiri pia kuwa ni kupitia elimu yenu niliweza kuelewa namna mshindi wa urais wa Marekani
anapatika. Nina imani pia HR Clinton anajua utaratibu huo ndiyo maana wala hakukata rufaa kupinga matokeo.
Zaidi timu yake HRC iliibuka na tuhuma za kughushi za 'Russiagate'. Ili uwe rais wa US lazima ushinde "kura za
Majimbo". Sasa kuendelea kusema HRC alishinda uchaguzi wa US kwa kura milioni tatu, unajua tunakushangaa
hata sisi wanafunzi wako kwenye mambo haya.
(ii) Rejea pointi (b) hapo juu.
(iii) Hakuna aliye juu ya sheria huko na ndivyo ilivyo hapa kwetu. Vinginevyo, uje na ulinganifu wa unachomaanisha
kwa mifano ya matukio na sheria zilizokiukwa.
(iv) Ni makosa sana kugeuka misimamo yenu ya 'dunia kama kijiji' kwa kuacha kulinganisha kitongoji kimoja na kingine
kwenye kijiji hicho hicho. Ni kweli, US wana misimamo yao na sisi tuna misimamo yetu lakini hilo halitufanyi
kutafakari na kujadili pande hizi mbili kwa uoga/woga wa kuzifananisha. US ni nchi huru na Tanzania ni nchi huru
kwa vipimo vya kawaida vinavujulikana, hivyo hakuna haja kuogopa kujadili nchi hizi kwa ulinganifu.
(v) Tanzania ni kubwa. Usiichukulie kirahisi rahisi hivyo, Mkuu.
====
Nadhani nimejitahidi kukujibu kadri ulivyotarajia. Tuendelea na mjadala wa 'Duru za Siasa: Marekani(US) Chini ya Donald J....'
Asubuhi njema.
Karibu kwa majibu.
===
Wale wote wanaosubiri Main Stream Media (MSD) 'wanazozitaka' zitoe habari kisha wao kuzitafsiri kama zilivyo kisha kuzisambaza kama maoni yao na mara nyingi bila hata kutuonyesha kuwa 'wamechanganya za kwao'.Zinawapotosha kina nani?
Democrat na wapambe wao ambao inaelekea wameshindwa kusoma alama za nyakati hata baada ya kutahadharishwa hapo kabla.Nani hao wasiojifunza?
(a) Ndiyo.(a) HR Clinton alivimbishwa kichwa? (b)We mpuuzi kweli kweli. (c) Kwa taarifa yako alishinda kura kwa idadi ya wapiga kura milioni tatu.
(b) Haya maneno nimeyazoea sana, nimeishawekwa kwenye 'ignore list' na bado hilo halijanikatisha taama ya kutaka
kuelendea kujifunza ili nijitambue. Hivyo, kama maneno ya namna hii yanakusaidia kuimarisha hoja yako kwa
wahusika, endelea tu kuyatumia. Ha ha haaa!
(c) Kuna uzi kwenye jukwaa hili kuhusu uchaguzi wa Marekani, wakuu akina Nguruvi3, na wengine ukiwemo wewe
mkuu mwenyewe, mlitufafanulia kinagaubaga juu ya utaratibu wa upigaji kura na upatikanaji wa ushindi kwa kura
za urais. Na hapa nakiri pia kuwa ni kupitia elimu yenu niliweza kuelewa namna mshindi wa urais wa Marekani
anapatika. Nina imani pia HR Clinton anajua utaratibu huo ndiyo maana wala hakukata rufaa kupinga matokeo.
Zaidi timu yake HRC iliibuka na tuhuma za kughushi za 'Russiagate'. Ili uwe rais wa US lazima ushinde "kura za
Majimbo". Sasa kuendelea kusema HRC alishinda uchaguzi wa US kwa kura milioni tatu, unajua tunakushangaa
hata sisi wanafunzi wako kwenye mambo haya.
Ukweli Democrat ilionyesha udhaifu mkubwa na hasa tukirejea aliyofanyiwa Ben Sanders. Hivyo, ni kwa wale wenye macho ya ziada waliweza kuona Ushindi wa Trump kipindi hicho. Sasa kama Democrat kilishindwa hata kuhamasisha upigaji kura wa wafuasi wake katika majimbo yote muhimu ya kuwapa ushindi unaendeleaje kuzibwa macho kuwa HRC alishinda kwa kura milioni tatu. Ndiyo maana nasema, hii si kawaida. 'Mag3' siye yule niliyemzoea, huyu kabadilika. Kwa maelezo ya ziada rejea pointi (c) hapo juu.Nani alimshauri nani? Hata Trump mwenyewe alijua anashindwa. Wengi hawakusumbuka kujitokeza kupiga kura kwa sababu walijua Trump hawezi kushinda kwa idadi ya wapiga kura na kweli alishindwa kwa kura milioni tatu.
Halikuwa kosa bali nikuwa wakati huo Democrat hawakuwa na ushawishi halisi waliokuwa wameaminishishwa na 'kura za maoni' zilizopigiwa debe na vyombo vyao pendwa vya habari a.k.a MSM. Mkuu jitahidi kuliona hilo la upotoshaji wa 'kura za maoni'. Matokeo ya 2018 yalipatika wakati wingu zito la tuhuma za kughushi na kudhalilisha dhidi ya Trump mfano wa tuhuma ni 'Russiagate', 'Me too', nakadhalika ili kuficha sura za aibu za Democrat. Yale matokeo hayakuwa ya kuonyesha udhaifu wa Trump kuendesha serikali bali yalikuwa ya kuonyesha ubora wa kughushi tuhuma dhidi ya POTUS. Pia na hili unalifumbia macho; Mkuu unajua sikuelewi ujue! Ha ha haaa!Ndio maana mimi nasema it was a mistake. Mwaka 2016, watu walipuuza kujitokeza kupiga kura na hivyo Rais akapatikana kwa utaratibu mwingine na hata matokeo ya mwaka 2018 yalikuja kuthibitisha ukweli huo.
(i) Asante kwa kutujuza kuwa bado haujaanza utaratibu wa kuwa na 'uraia pacha'.@TUJITEGEMEE, (i) sisi wengine hapa si wapiga kura wa Marekani na (ii) nakuomba sana uache kukurupuka kwa hoja za kipuuzi. (iii) Yawezekana ndani ya hilo jiwe lenu mnauona Utrump lakini kaa ukijua huko kuna sheria na hakuna aliye juu ya sheria. (iv) Ndio maana nasema acheni kujadili mambo ya Marekani kwa jicho la Kitanzania. (v) Siasa za Bongo mwisho mpakani.
(ii) Rejea pointi (b) hapo juu.
(iii) Hakuna aliye juu ya sheria huko na ndivyo ilivyo hapa kwetu. Vinginevyo, uje na ulinganifu wa unachomaanisha
kwa mifano ya matukio na sheria zilizokiukwa.
(iv) Ni makosa sana kugeuka misimamo yenu ya 'dunia kama kijiji' kwa kuacha kulinganisha kitongoji kimoja na kingine
kwenye kijiji hicho hicho. Ni kweli, US wana misimamo yao na sisi tuna misimamo yetu lakini hilo halitufanyi
kutafakari na kujadili pande hizi mbili kwa uoga/woga wa kuzifananisha. US ni nchi huru na Tanzania ni nchi huru
kwa vipimo vya kawaida vinavujulikana, hivyo hakuna haja kuogopa kujadili nchi hizi kwa ulinganifu.
(v) Tanzania ni kubwa. Usiichukulie kirahisi rahisi hivyo, Mkuu.
Rejea post number 1117 ya uzi huu.Achana naye huyo, leo Chairman of the Joint Chiefs of Staff wa Marekani kampa somo conman-in-chief Trump akimwambia majadiliano lazima yafanyike kuhusu bendera za waasi (confederate flags) sanamu zao pamoja na majina yao kupewa vituo vya kijeshi na hatua kuchukuliwa kuziondoa hizo bendera, sanamu na majina kufutwa. Mambo yanazidi kuwa moto kwa huyo conman-in-chief!
====
Nadhani nimejitahidi kukujibu kadri ulivyotarajia. Tuendelea na mjadala wa 'Duru za Siasa: Marekani(US) Chini ya Donald J....'
Asubuhi njema.