Mwalimu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 1,581
- 1,069
Anayefungua mashitaka ya impeachment ni bunge.Unamaanisha nini unaposema "impeachment" sio suala la kisheria bali ni "political process"?
DOJ & SPECIAL COUNSEL wanapeleka mapendekezo tu kutokana na report ya uchunguzi then bunge ndio linaamua kufungua mashitaka ya impeachment au la. Kwa mujibu wa sheria za DOJ hawana uwezo wa kumfungulia mashitaka ya jinai raisi alieko madarakani na hio imeelezwa pia na Mueller kwenye tamko lake.